Usisahau
๐ต 1630 characters
โฑ๏ธ 5:17 duration
๐ ID: 21494500
๐ Lyrics
Nooooo Nooooo
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
Angalia Kule tumetoka Angalia Kule tunako enda
Vile tulivyochoka vile vile tulivyosotaa
Angalia wengi Wanavyo ishi maisha Bila Yesu
Hayafurahishi hata hawafanikiwi
Wengi wamejazwa na chuki, wengine wamejaribu wizi
Jameni kosa letu Ni nini, wengi tunachezea dini
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
Wengine wanatupa vijusi
Wengine amepatwa na virusi
Wengine amejaza matusi, Kazi nikuitana fisi
Siku za mwisho jameni Ndizo Hizi
Bibilia yasema hivi
Tulipewa rafiki, Tubu leo atakubariki
Hakuna kusubiri Kesho
Hajui kama utakuweko
Sisi tulipewa rafiki, tubu leo atakubariki
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeh ah eh ah
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
It's a lyrical intention eh ah
To get your attention eh ah
No more hesitation eeeeh
No more situations that lead you astray
You better have a vision (vision)
That has Jesus seated on throne as the King
You better pray daily (daily)
Oooh Kesho wewe usisahau
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeh ah eh ah
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
instrumental
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
Angalia Kule tumetoka Angalia Kule tunako enda
Vile tulivyochoka vile vile tulivyosotaa
Angalia wengi Wanavyo ishi maisha Bila Yesu
Hayafurahishi hata hawafanikiwi
Wengi wamejazwa na chuki, wengine wamejaribu wizi
Jameni kosa letu Ni nini, wengi tunachezea dini
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
Wengine wanatupa vijusi
Wengine amepatwa na virusi
Wengine amejaza matusi, Kazi nikuitana fisi
Siku za mwisho jameni Ndizo Hizi
Bibilia yasema hivi
Tulipewa rafiki, Tubu leo atakubariki
Hakuna kusubiri Kesho
Hajui kama utakuweko
Sisi tulipewa rafiki, tubu leo atakubariki
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeh ah eh ah
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
It's a lyrical intention eh ah
To get your attention eh ah
No more hesitation eeeeh
No more situations that lead you astray
You better have a vision (vision)
That has Jesus seated on throne as the King
You better pray daily (daily)
Oooh Kesho wewe usisahau
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeeh ah eh ah
Imba leo
Sifu leo
Tubu leo
Usisahau Kesho
Aliyekuumba we Aaaah Eeh ah eh ah
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
no no no usisahau
no no no
instrumental