Huyu Yesu
๐ต 1261 characters
โฑ๏ธ 3:48 duration
๐ ID: 22292556
๐ Lyrics
Ooh Hallelujah
Oh, ooh, still alive! (still alive)
Huyu Yesu si sanamu, Si mwanadamu adanganye, eeh
Ahadi zake zote kweli, Na Amina nimemuona, mmh
Akisema ndio, Hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akikuahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyo, Oh ooh
Huyu Yesu (hee), huyu Yesu, si hadithi mwambie (mwambie, eh)
Huyu Yesu (oh, uuh) huyu Yesu, si hadithi mwambie (Ooooh)
Umetangaziwa nini, umetabiriwa nini maishani mwako, mwambie
Unaumizwa na nini, je unahofu gani, maishani mwako
Mwambieeee
Akisema Ndio(ndio), Hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akikuahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyooo
Huyu Yesu (huyu Yesu), huyu Yesu (huyu Yesu)
Si hadithi (mmh) mwambie (mwambie Yesu)
Huyu Yesu (huyu Yesu), huyu Yesu (eeh)
Si hadithi mwambie (oh, ooh)
Hee, uuh
Mwambie, eeh
Eeh, eh, eeeh
Huyu Yesu (huyu Yesu), huyu Yesu
Si hadithi mwambie (mwambie, eeh)
Huyu Yesu (huyu Yesu), huyu Yesu
Si hadithi mwambie (mwambie eeh)
Huyu Yesu (huyu Yesu)
Si hadithi mwambie (mwambie, eeh)
(mwambie)
Huyu Yesu (mwambie), huyu Yesu (mwambie)
Si hadithi mwambie
Huyu Yesu, huyu Yesu
Si hadithi mwambie (mwambie, eeh)
(huyu Yesu) hakuna gumu kwake, (huyu Yesu) Mwambie
Si hadithi mwambie (mwambie, mwambie eh, eeh)