Masogange
๐ต 2192 characters
โฑ๏ธ 4:53 duration
๐ ID: 23261955
๐ Lyrics
Upo mbali na masogange
Njoo uutulize mtima wange
Upo mbali na masogange eh
Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona
Miaka mingi imekatika ma, ila mi sijakuona
Kile kidonda changu cha mapenzi, moyoni bado hakijapona
Nitapata afadhali mi, endapo we nikikuona
Kama warembo mi nawaona wengi, tabia zao mi naona noma
Najaribu shinda vishawishi, nisije mi kukupa ngoma
Bado nakupenda wewe, wapi ulipokwenda
Bado nakupenda wewe, wapi ulikokwenda
Ndo maana nakuimbia popote ulipo sikia baby, urudi nyumbani
Nakuimbia popote ulipo sikia mami, tuishi kama zamani
Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
Mapenzi yanautesa moyo we
Njoo unipoze roho

Toka long time ago we, nakusaka mrembo we
Nakusaka baby, nijue upo wapi mama
Wasiopenda kuona mimi nawe, tunapeana real love ni wengi
Hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi
Wasiopenda kuona mimi nawe, twapendana my baby ni wengi

Chochote watachokuambia, usiwasikilize
Nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize

Endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
Endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza

Endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza haya
Upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu

Mapenzi yanatesa moyoni, mapenzi yanatesa rohoni

Wewe, toka long time ago
Nakusaka mrembo nijue uko wapi mama ah
I love you, i need you!

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:11.00] Upo mbali na masogange
[00:13.14] Njoo uutulize mtima wange
[00:16.05] Upo mbali na masogange eh
[00:20.07] Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona
[00:25.17] Miaka mingi imekatika ma, ila mi sijakuona
[00:30.10] Kile kidonda changu cha mapenzi, moyoni bado hakijapona
[00:35.20] Nitapata afadhali mi, endapo we nikikuona
[00:40.20] Kama warembo mi nawaona wengi, tabia zao mi naona noma
[00:45.28] Najaribu shinda vishawishi, nisije mi kukupa ngoma
[00:51.14] Bado nakupenda wewe, wapi ulipokwenda
[00:56.20] Bado nakupenda wewe, wapi ulikokwenda
[01:01.04] Ndo maana nakuimbia popote ulipo sikia baby, urudi nyumbani
[01:06.17] Nakuimbia popote ulipo sikia mami, tuishi kama zamani
[01:12.09] Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
[01:17.14] Mapenzi yanautesa moyo we
[01:20.00] Njoo unipoze roho
[01:22.20] Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
[01:27.24] Mapenzi yanautesa moyo we
[01:30.10] Njoo unipoze roho
[01:32.20] Toka long time ago we, nakusaka mrembo we
[01:38.09] Nakusaka baby, nijue upo wapi mama
[01:42.20] Wasiopenda kuona mimi nawe, tunapeana real love ni wengi
[01:48.00] Hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi
[01:52.28] Wasiopenda kuona mimi nawe, twapendana my baby ni wengi
[01:58.06] Hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi
[02:03.05] Chochote watachokuambia, usiwasikilize
[02:08.10] Nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize
[02:13.17] Chochote watachokuambia, usiwasikilize
[02:18.20] Nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize
[02:23.26] Endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
[02:29.06] Endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza
[02:34.08] Endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
[02:39.06] Endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza haya
[02:44.18] Upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu
[02:50.00] Upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu
[02:54.29] Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
[03:00.00] Mapenzi yanautesa moyo we
[03:02.14] Njoo unipoze roho
[03:05.06] Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
[03:10.05] Mapenzi yanautesa moyo we
[03:12.20] Njoo unipoze roho
[03:15.13] Upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu
[03:20.10] Upo mbali na masogange
[03:25.21] Upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu
[03:30.20] Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
[03:35.20] Mapenzi yanatesa moyoni, mapenzi yanatesa rohoni
[03:56.00] Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
[04:01.10] Mapenzi yanautesa moyo we
[04:03.29] Njoo unipoze roho
[04:06.07] Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
[04:11.15] Mapenzi yanautesa moyo we
[04:14.00] Njoo unipoze roho
[04:17.29] Wewe, toka long time ago
[04:22.00] Nakusaka mrembo nijue uko wapi mama ah
[04:27.09] I love you, i need you!