Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Paranawe

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Paranawe โ€ข โฑ๏ธ 3:43
๐ŸŽต 2143 characters
โฑ๏ธ 3:43 duration
๐Ÿ†” ID: 23359564

๐Ÿ“œ Lyrics

Yao yao
Ayolizer
Kondeboy

Kwenye darkness
We ni candle
Professional wa kuhandle
The way you take me to the angle
We ni human being ama Angel

If you want my heart oh
I give you baby carry go
Kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido (aah eeh)

My sheri coco
Kwa baridi nipe joto (aah eeh)
Kisha tupate kimoko
Babu Bibi Kurwa Doto (aah eeh)

My sheri coco
Kwa baridi nipe joto (aah eeh)
Kisha tupate kimoko
Babu Bibi Kurwa Doto

Paranawe, paranawe
I want to see you dance
Paranawe, paranawe
I like the way you dance

Paranawe (gogaa), paranawe
I like the way you dance
Paranawe (gogaa), paranawe
Vannyboy

Hivi unasokota
Jicho lako legelege linadondoka
Nakuuliza
Hivi unaka Motor
Pangaboy chenga Jay Jay Okocha
Wanimaliza

Pretty girl, nasty
Nitasema sorry nikimbezaa
Atakama nyuma umepigwa pasi
Sura mbaya dawa yake make up

Uwee kiwembe ntakula kiporo
Nimeshapenda sijui kasoro
Jirembe uwe mororoo
Kama huna shepu vaa kigodoro

If you want my heart oh
I give you baby carry go
Kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido (aah eeh)

My sheri Coco
Kwa baridi nipe joto (aah eeh)
Nyundo itwange kokoto
Pekupeku kama Mpoto

Paranawe, paranawe
I want to see you dance
Paranawe, paranawe
I like the way you dance

Paranawe (gogaa), paranawe
I like the way you dance
Paranawe (gogaa), paranawe

Yaani kasweety
Katamu mi nakujua uwa
Nakanavyo jishaua uwa...
Ulimi pipi...
Snap na vimauaua
Midomo denda ngozi murua uwa

Ausha
Ashawa
Pauka
Pakawa
Inuka pagawa
Eeeh eeh
Zinduka mandawa
Pinduka kagawa
Karuka mabawa

I want to see you dance
Paranawe, paranawe
I want to see you dance
Paranawe, paranawe
I like the way you dance
Paranawe (gogaa), paranawe
I like the way you dance
Paranawe paranawe
Woyoo, woyoyoo (woyoo, woyoyoo)
Woyoo, woyoyoyo (woyoo, woyoyoo)

Sheky what your mama gave you
Cheki wanaona wivu
Sheky what your mama gave you
Cheki wanaona wivu

Paranawe (sheky what your mama gave you)
Paranawe (cheki wanaona wivu)
Paranawe (sheky what your mama gave you)
Paranawe (cheki wanaona wivu)

Paranawe (sheky what your mama gave you)
Paranawe (cheki wanaona wivu)
Paranawe (sheky what your mama gave you)
Paranawe (cheki wanaona wivu)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:06.24] Yao yao
[00:07.89] Ayolizer
[00:10.79] Kondeboy
[00:11.35] Kwenye darkness
[00:12.64] We ni candle
[00:13.71] Professional wa kuhandle
[00:16.33] The way you take me to the angle
[00:18.76] We ni human being ama Angel
[00:23.25] If you want my heart oh
[00:24.65] I give you baby carry go
[00:26.90] Kidogo changu ndo chako
[00:29.66] Ongeza njonjo madoido (aah eeh)
[00:32.60] My sheri coco
[00:34.79] Kwa baridi nipe joto (aah eeh)
[00:37.16] Kisha tupate kimoko
[00:39.68] Babu Bibi Kurwa Doto (aah eeh)
[00:42.87] My sheri coco
[00:44.32] Kwa baridi nipe joto (aah eeh)
[00:46.92] Kisha tupate kimoko
[00:49.47] Babu Bibi Kurwa Doto
[00:51.56] Paranawe, paranawe
[00:55.04] I want to see you dance
[00:56.36] Paranawe, paranawe
[01:00.61] I like the way you dance
[01:02.26] Paranawe (gogaa), paranawe
[01:04.98] I like the way you dance
[01:06.57] Paranawe (gogaa), paranawe
[01:09.75] Vannyboy
[01:11.03] Hivi unasokota
[01:12.94] Jicho lako legelege linadondoka
[01:15.00] Nakuuliza
[01:16.68] Hivi unaka Motor
[01:18.24] Pangaboy chenga Jay Jay Okocha
[01:20.49] Wanimaliza
[01:21.73] Pretty girl, nasty
[01:24.68] Nitasema sorry nikimbezaa
[01:26.31] Atakama nyuma umepigwa pasi
[01:29.06] Sura mbaya dawa yake make up
[01:31.15] Uwee kiwembe ntakula kiporo
[01:34.76] Nimeshapenda sijui kasoro
[01:36.52] Jirembe uwe mororoo
[01:39.25] Kama huna shepu vaa kigodoro
[01:41.63] If you want my heart oh
[01:44.32] I give you baby carry go
[01:46.74] Kidogo changu ndo chako
[01:49.10] Ongeza njonjo madoido (aah eeh)
[01:52.70] My sheri Coco
[01:54.31] Kwa baridi nipe joto (aah eeh)
[01:57.02] Nyundo itwange kokoto
[02:00.73] Pekupeku kama Mpoto
[02:01.79] Paranawe, paranawe
[02:04.78] I want to see you dance
[02:06.37] Paranawe, paranawe
[02:09.75] I like the way you dance
[02:11.60] Paranawe (gogaa), paranawe
[02:15.13] I like the way you dance
[02:16.45] Paranawe (gogaa), paranawe
[02:20.56] Yaani kasweety
[02:21.79] Katamu mi nakujua uwa
[02:23.99] Nakanavyo jishaua uwa...
[02:26.00] Ulimi pipi...
[02:27.19] Snap na vimauaua
[02:29.06] Midomo denda ngozi murua uwa
[02:30.84] Ausha
[02:32.29] Ashawa
[02:33.09] Pauka
[02:33.53] Pakawa
[02:34.00] Inuka pagawa
[02:34.86] Eeeh eeh
[02:36.59] Zinduka mandawa
[02:37.87] Pinduka kagawa
[02:39.00] Karuka mabawa
[02:40.04] I want to see you dance
[02:41.40] Paranawe, paranawe
[02:44.91] I want to see you dance
[02:46.89] Paranawe, paranawe
[02:49.71] I like the way you dance
[02:51.62] Paranawe (gogaa), paranawe
[02:54.80] I like the way you dance
[02:56.73] Paranawe paranawe
[03:01.25] Woyoo, woyoyoo (woyoo, woyoyoo)
[03:06.00] Woyoo, woyoyoyo (woyoo, woyoyoo)
[03:11.22] Sheky what your mama gave you
[03:14.32] Cheki wanaona wivu
[03:16.75] Sheky what your mama gave you
[03:19.22] Cheki wanaona wivu
[03:21.66] Paranawe (sheky what your mama gave you)
[03:23.80] Paranawe (cheki wanaona wivu)
[03:26.59] Paranawe (sheky what your mama gave you)
[03:29.25] Paranawe (cheki wanaona wivu)
[03:31.68] Paranawe (sheky what your mama gave you)
[03:34.59] Paranawe (cheki wanaona wivu)
[03:36.95] Paranawe (sheky what your mama gave you)
[03:39.64] Paranawe (cheki wanaona wivu)
[03:41.74]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings