Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Bud Flowers

๐Ÿ‘ค Toxic Lyrikali โ€ข ๐ŸŽผ Bud Flowers โ€ข โฑ๏ธ 3:05
๐ŸŽต 2112 characters
โฑ๏ธ 3:05 duration
๐Ÿ†” ID: 23471417

๐Ÿ“œ Lyrics

Very bad
Labda flowers nikupatie za bud
Macho ni battery low na nikikuona na feel glad
Na ku protect ka bloods
Raha yako na plus
Teacher napenda venye uko na class

Kila saa mi nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza

Nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza

Na vuka bumps na speed ndio niskie sauti ya manyororo
Mnyonyo ananituliza na sauti nyororo
Vulai na bado ye ndio dem yangu wa ndoto
Cold na unakulia nani moto ju ya mboto
Na uyo alikuanga fan we ubaki kua mamah
Uskai doubt kwa macho yangu we kifaa
Wamenikufia najua wananidai heri ni dedi kama si wewe nakataa
Umeniita nimekuja first na sijakuja na ndege
Mambanati nionyeshe hao mamwere
Wanani haribia sifa kama siko na wewe
Na we ukona mimi ama nikuache uende

Kila saa mi nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza

Nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza

Tukikosana mi hufeel nika dunia inadai kunimeza
Uko in my future plans front seat kwa Impreza
Marezi wako nawarudisha home running na one shoe
Kwangu wakijifanya Cinderella

Lamba glucose vumilia
Siezi taka kuona machozi na natoka kulia
Mabega unaeza lalia ukifeel low
Nikukatsia
Tenje unanizimia
Uzuri niko rada nakusundua kila chuom

Very bad
Labda flowers nikupatie za bud
Macho ni battery low na nikikuona na feel glad
Na ku protect ka bloods
Raha yako na plus
Teacher napenda venye uko na class

Kila saa mi nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza

Nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza

Ghetto ni one girl
Kila saa
Mnisa
Ghetto ni one girl

Ghetto ni one girl
Kila
Mnisa
Ghetto ni one girl

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:20.72] Very bad
[00:21.93] Labda flowers nikupatie za bud
[00:23.82] Macho ni battery low na nikikuona na feel glad
[00:26.33] Na ku protect ka bloods
[00:27.82] Raha yako na plus
[00:29.44] Teacher napenda venye uko na class
[00:31.18] Kila saa mi nakubembeleza
[00:32.81] Ju una ni pendeza
[00:34.08] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[00:36.89] Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
[00:39.55] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[00:42.44] Nakubembeleza
[00:43.59] Ju una ni pendeza
[00:44.75] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[00:47.62] Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
[00:50.09] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[00:52.85] Na vuka bumps na speed ndio niskie sauti ya manyororo
[00:55.72] Mnyonyo ananituliza na sauti nyororo
[00:58.53] Vulai na bado ye ndio dem yangu wa ndoto
[01:01.45] Cold na unakulia nani moto ju ya mboto
[01:04.38] Na uyo alikuanga fan we ubaki kua mamah
[01:07.04] Uskai doubt kwa macho yangu we kifaa
[01:09.99] Wamenikufia najua wananidai heri ni dedi kama si wewe nakataa
[01:15.05] Umeniita nimekuja first na sijakuja na ndege
[01:18.04] Mambanati nionyeshe hao mamwere
[01:20.70] Wanani haribia sifa kama siko na wewe
[01:23.20] Na we ukona mimi ama nikuache uende
[01:24.45] Kila saa mi nakubembeleza
[01:26.35] Ju una ni pendeza
[01:27.71] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[01:30.43] Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
[01:32.86] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[01:35.55] Nakubembeleza
[01:36.86] Ju una ni pendeza
[01:38.21] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[01:40.96] Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
[01:43.01] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[01:46.30] Tukikosana mi hufeel nika dunia inadai kunimeza
[01:49.06] Uko in my future plans front seat kwa Impreza
[01:51.68] Marezi wako nawarudisha home running na one shoe
[01:54.88] Kwangu wakijifanya Cinderella
[01:56.82] Lamba glucose vumilia
[01:58.23] Siezi taka kuona machozi na natoka kulia
[02:00.88] Mabega unaeza lalia ukifeel low
[02:03.17] Nikukatsia
[02:04.55] Tenje unanizimia
[02:05.57] Uzuri niko rada nakusundua kila chuom
[02:07.81] Very bad
[02:08.77] Labda flowers nikupatie za bud
[02:10.58] Macho ni battery low na nikikuona na feel glad
[02:13.07] Na ku protect ka bloods
[02:14.56] Raha yako na plus
[02:16.14] Teacher napenda venye uko na class
[02:17.74] Kila saa mi nakubembeleza
[02:19.50] Ju una ni pendeza
[02:20.89] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[02:23.74] Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
[02:26.19] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[02:28.93] Nakubembeleza
[02:30.28] Ju una ni pendeza
[02:31.51] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[02:34.36] Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
[02:36.76] Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
[02:42.06] Ghetto ni one girl
[02:44.83] Kila saa
[02:46.16] Mnisa
[02:47.44] Ghetto ni one girl
[02:52.82] Ghetto ni one girl
[02:55.64] Kila
[02:56.80] Mnisa
[02:58.10] Ghetto ni one girl
[03:00.01]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings