Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

One & Only

๐Ÿ‘ค Breeder LW โ€ข ๐ŸŽผ Bazenga Mentality โ€ข โฑ๏ธ 2:30
๐ŸŽต 1952 characters
โฑ๏ธ 2:30 duration
๐Ÿ†” ID: 23659071

๐Ÿ“œ Lyrics

Ka ni wangu namwaga hadi ndani
Tupendane mapenzi ya dhati
Ka ni flow niko nazo ka thirty
All I know is I'm blessed si lucky
Me ni cancer haimalizwi na bangi
Style yangu ndio rapper ana copy
Ukosefu wa nidhamu kwa kazi
Me na fam hauwezi kuja kati
Ni kalesa sipandangi taxi
Si ni wale hustand out kwa umati
Kwa ma Roro mia kuwa Messi
Na ukikaribia si ni kesi
Sana sana ka wewe ni mrazi
All white na si bado una dhambi
Deni ndogo haifuatwi na gari
Nilifunzwa kuskizanga nafsi
Si ntafanya utahema you gasping
Me nagwaya pongi na risasi
Zote mbili hazinanga ata vaccine
Na kuomoka haitakangi lapsing
Hii ni era yangu kuwa rap king
We can keep it old school kama napkin
Hii kipaji inatakanga practice
Iende chain izunguke kwa axis
Magizani si huchomanga back street
Tangu ryma me huketingi back seat
FYI me ni wordsmith
Best rapper in the country
Ka unapinga si ukalange mafi
Handsome bado ugly
Lakini bado me ni gyalis
Hapa sheng si kilami
Uko chini skill yako ni wanting
Ndoto zangu ni za lambo si voxy
Ka ni TK ni fam si kikosi
Walistuka kupata ripoti
Me navuma kwa sasa I'm popping
Nikidunga ndula si ni costly
Ka hanyonyi basi me sigongi
Ju ya covid man a stay low key
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking
Ku understand vako zangu ni ngumu
Circle biggie pia ni sumu
Underdog bado expert, mchezo siweki kwa pesa
Torture, tunatesa
Legendary kama fella
Very soon nikiteta haitakua fatigue ni jet lag
Know your lane and stay there
We ain't same cause I'm way better
I've been deaf to the nay sayers
Check stats na usi compare
Kile nafanya kwa sasa, ni hio throne kupapasa
Young king, old crown, royalty niki touch down
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:13.78] Ka ni wangu namwaga hadi ndani
[00:15.47] Tupendane mapenzi ya dhati
[00:17.20] Ka ni flow niko nazo ka thirty
[00:18.97] All I know is I'm blessed si lucky
[00:20.64] Me ni cancer haimalizwi na bangi
[00:22.37] Style yangu ndio rapper ana copy
[00:24.05] Ukosefu wa nidhamu kwa kazi
[00:25.76] Me na fam hauwezi kuja kati
[00:27.46] Ni kalesa sipandangi taxi
[00:29.18] Si ni wale hustand out kwa umati
[00:30.90] Kwa ma Roro mia kuwa Messi
[00:32.63] Na ukikaribia si ni kesi
[00:34.32] Sana sana ka wewe ni mrazi
[00:36.11] All white na si bado una dhambi
[00:37.79] Deni ndogo haifuatwi na gari
[00:39.52] Nilifunzwa kuskizanga nafsi
[00:41.20] Si ntafanya utahema you gasping
[00:42.96] Me nagwaya pongi na risasi
[00:44.63] Zote mbili hazinanga ata vaccine
[00:46.37] Na kuomoka haitakangi lapsing
[00:48.09] Hii ni era yangu kuwa rap king
[00:49.74] We can keep it old school kama napkin
[00:51.54] Hii kipaji inatakanga practice
[00:53.24] Iende chain izunguke kwa axis
[00:54.91] Magizani si huchomanga back street
[00:56.67] Tangu ryma me huketingi back seat
[00:58.32] FYI me ni wordsmith
[01:00.10] Best rapper in the country
[01:01.80] Ka unapinga si ukalange mafi
[01:03.53] Handsome bado ugly
[01:05.18] Lakini bado me ni gyalis
[01:06.96] Hapa sheng si kilami
[01:08.64] Uko chini skill yako ni wanting
[01:10.36] Ndoto zangu ni za lambo si voxy
[01:12.09] Ka ni TK ni fam si kikosi
[01:13.85] Walistuka kupata ripoti
[01:15.53] Me navuma kwa sasa I'm popping
[01:17.26] Nikidunga ndula si ni costly
[01:18.92] Ka hanyonyi basi me sigongi
[01:20.68] Ju ya covid man a stay low key
[01:22.36] Kobra one and only
[01:24.09] Juggernaut no stopping
[01:25.85] Ni ku elevate kama cockpit
[01:27.54] Flow tight kama stocking
[01:29.24] Kobra one and only
[01:30.95] Juggernaut no stopping
[01:32.69] Ni ku elevate kama cockpit
[01:34.35] Flow tight kama stocking
[01:36.12] Ku understand vako zangu ni ngumu
[01:37.86] Circle biggie pia ni sumu
[01:39.55] Underdog bado expert, mchezo siweki kwa pesa
[01:41.26] Torture, tunatesa
[01:45.01] Legendary kama fella
[01:46.74] Very soon nikiteta haitakua fatigue ni jet lag
[01:50.13] Know your lane and stay there
[01:51.85] We ain't same cause I'm way better
[01:53.60] I've been deaf to the nay sayers
[01:55.31] Check stats na usi compare
[01:57.02] Kile nafanya kwa sasa, ni hio throne kupapasa
[02:00.41] Young king, old crown, royalty niki touch down
[02:03.77] Kobra one and only
[02:05.53] Juggernaut no stopping
[02:07.22] Ni ku elevate kama cockpit
[02:08.97] Flow tight kama stocking
[02:10.68] Kobra one and only
[02:12.34] Juggernaut no stopping
[02:14.05] Ni ku elevate kama cockpit
[02:15.77] Flow tight kama stocking

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings