Home 🎬 Bollywood 🎡 Pakistani 🎀 English Pop

Hamjasema

πŸ‘€ Mavokali β€’ 🎼 Hamjasema β€’ ⏱️ 3:21
🎡 1252 characters
⏱️ 3:21 duration
πŸ†” ID: 23682649

πŸ“œ Lyrics

Aaaah aaah aaah , Aaaah aaah aaah
Watuwanasema , mi nikama guta la mnazi
Mwenza ko unani kokota, aaah unanikokota
Najua hawajui aah , ila watajua hawajui
I belong to you my love, and you belong to me my love
Hawajui kama nimejipata, na vile kwako sijiwezi nimekamatika aah
Wanatushangaa vile nyota zinang’aa ,mi naweee
Hawaishi vilanga vile tunapendana , mi nawee HAMJASEMA BADOOO
Bado hamjasema, na mtasema yani mpaka mseme
Ninavyo mpenda mwenzenu sioni, sisikiiiiiii
Bado hamjasema, na mtasema yani mpaka mseme YANI MPAKA MSEMEEEE
Aaaah aaah aaah , Aaaah aaah aaah
Baby njoo unitoe vijidudu, kwenye macho mwenzako nina vijidudu
Nisione wengine hawanihusu, kwani wewe baby umefuzu aaaah
Mi amore mi amore, tell me everything and I give you more
Te amore te amore, moyoni mwangu uko peke yakooooo
Kila ninapo kwenda ntakwenda na wewe tu, ntakwenda na wewe tu aaah
KΔ±la ninachofanya nitafanya na wewe tu, mpaka washangaeee
Hawajui kama nimejipata, na vile kwako sijiwezi nimekamatika
Wanatushangaa vile nyota zinang’aa ,mi naweee
Hawaishi vilanga vile tunapendana , mi nawee HAMJASEMA BADOOO
Bado hamjasema, na mtasema yani mpaka mseme
Ninavyo mpenda mwenzenu sioni, sisikiiiiiii
Bado hamjasema, na mtasema yani mpaka mseme YANI MPAKA MSEMEEEE

⭐ Rate These Lyrics

β˜†β˜†β˜†β˜†β˜†
Average: 0.0/5 β€’ 0 ratings