Usilie
🎵 2059 characters
⏱️ 5:02 duration
🆔 ID: 23891454
📜 Lyrics
Christian Bella asubuhi imefika
Saa kumi na mbili, jogoo ameshawika, kokoliko kokoo
Kokoliko wowo, yawee
Wafanyakazi wanaenda maofisini
Wauza sokoni, wanaenda soko kuuza
Watoto wa shuleni nao wameshapendeza
Wanaenda shuleni kutengeneza maisha ya kesho
Wafanyabiashara wanaenda biasharani
Wajanja mitaani, wanasukuma mikokoteni
Mimi maskini niende wapi?
Nianze wapi, nitamalizia wapi?
Kazi sina, deal yoyote mimi sina (kaza moyo)
Natoka asubuhi, narudi usiku bila kitu we
Apechalala ndefu mifukoni every day
Sisi masikini twende wapi?
Tuanze wapi, tutamalizia wapi?
Kazi hatuna, deal yoyote sisi hatuna
Waliopata kwani walishika kazi ya Mungu
Mola Baba sikia kilio chetu
Tabu na shida kila siku mimi (mimi)
Tabasamu lini utanipitia jamani? (jamani)
Maisha yangu kila siku kulia
(Bella sikia…)
Mitihani ni mingi usivunjike moyo
Matatizo yana mwisho wake
Oh yeah, kwanini we hujiamini?
Kama Musa alivuka bahari kwa fimbo na imani
Wewe ni nani?
Hata kama wanasema zamani ulikuwa nyani
Oh eh, jiamini, lelee
Aaa haa aah… (usilie)
Aaa haa aah… (kaza moyo)
Aaa haa aah… (usilie)
Aaa haa aah… (kaza moyo)
Aaa haa aah… (usilie)
Aaa haa aah…
Najiuliza sana (sana)
Kwani mimi Bella, hapa duniani
Nilikuja kusindikiza tu wenzangu (jikaze Bella)
Wale tulisoma nao (nao)
Tulikuwa nao, wanaishi vizuri na familia zao
Kosa langu ni nini nisilosamehewa?
Mola Baba nionyeshe hata ndotoni
Mnasali kwa lugha gani?
Nielekee wapi?
Kama dini nimeshabadilisha mpaka basi
Naona kama maombi hayafiki kwa Mungu baba
Waliopata kwani walisalimiana na Mungu?
Aaa haa aah… (usilie)
Na mimi sintokata tamaa (kaza moyo)
Najua kuna siku nitapata (ni kweli)
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili (cha akili)
Christian Bella analia (analia)
Alle Mapigo analia (analia)
Aaa haa aah… (usilie)
Aaa haa aah… (kaza moyo)
Aaa haa aah… (usilie)
Aaa haa aah… (kaza moyo)
Christian Bella usilie
Usilie mpaka Mapigo akusikie
Hapo ulipo we usiumie
Usiumie kila mtu mpaka akusikie
Mwanamume analia kama simba
Ndani ya moyo, peke yake usiku wa manane
Manane, manane, sio saa nane mchana

⏱️ Synced Lyrics
[00:18.25] Christian Bella asubuhi imefika
[00:21.18] Saa kumi na mbili, jogoo ameshawika, kokoliko kokoo
[00:28.18] Kokoliko wowo, yawee
[00:30.28] Wafanyakazi wanaenda maofisini
[00:33.28] Wauza sokoni, wanaenda soko kuuza
[00:40.29] Watoto wa shuleni nao wameshapendeza
[00:44.07] Wanaenda shuleni kutengeneza maisha ya kesho
[00:53.13] Wafanyabiashara wanaenda biasharani
[00:56.17] Wajanja mitaani, wanasukuma mikokoteni
[01:01.24] Mimi maskini niende wapi?
[01:05.22] Nianze wapi, nitamalizia wapi?
[01:09.25] Kazi sina, deal yoyote mimi sina (kaza moyo)
[01:13.25] Natoka asubuhi, narudi usiku bila kitu we
[01:17.22] Apechalala ndefu mifukoni every day
[01:22.13] Sisi masikini twende wapi?
[01:26.11] Tuanze wapi, tutamalizia wapi?
[01:30.10] Kazi hatuna, deal yoyote sisi hatuna
[01:34.12] Waliopata kwani walishika kazi ya Mungu
[01:38.08] Mola Baba sikia kilio chetu
[01:54.29] Tabu na shida kila siku mimi (mimi)
[01:59.05] Tabasamu lini utanipitia jamani? (jamani)
[02:03.06] Maisha yangu kila siku kulia
[02:08.13] (Bella sikia…)
[02:15.22] Mitihani ni mingi usivunjike moyo
[02:19.17] Matatizo yana mwisho wake
[02:21.29] Oh yeah, kwanini we hujiamini?
[02:27.12] Kama Musa alivuka bahari kwa fimbo na imani
[02:31.02] Wewe ni nani?
[02:32.18] Hata kama wanasema zamani ulikuwa nyani
[02:35.20] Oh eh, jiamini, lelee
[02:40.05] Aaa haa aah… (usilie)
[02:44.02] Aaa haa aah… (kaza moyo)
[02:48.02] Aaa haa aah… (usilie)
[02:52.02] Aaa haa aah… (kaza moyo)
[02:56.10] Aaa haa aah… (usilie)
[03:00.06] Aaa haa aah…
[03:02.06] Najiuliza sana (sana)
[03:04.16] Kwani mimi Bella, hapa duniani
[03:08.21] Nilikuja kusindikiza tu wenzangu (jikaze Bella)
[03:12.18] Wale tulisoma nao (nao)
[03:14.16] Tulikuwa nao, wanaishi vizuri na familia zao
[03:20.25] Kosa langu ni nini nisilosamehewa?
[03:24.19] Mola Baba nionyeshe hata ndotoni
[03:28.22] Mnasali kwa lugha gani?
[03:31.10] Nielekee wapi?
[03:33.09] Kama dini nimeshabadilisha mpaka basi
[03:37.05] Naona kama maombi hayafiki kwa Mungu baba
[03:41.03] Waliopata kwani walisalimiana na Mungu?
[03:45.20] Aaa haa aah… (usilie)
[03:49.15] Na mimi sintokata tamaa (kaza moyo)
[03:53.23] Najua kuna siku nitapata (ni kweli)
[03:57.22] Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili (cha akili)
[04:01.08] Christian Bella analia (analia)
[04:03.07] Alle Mapigo analia (analia)
[04:10.10] Aaa haa aah… (usilie)
[04:14.06] Aaa haa aah… (kaza moyo)
[04:18.07] Aaa haa aah… (usilie)
[04:22.10] Aaa haa aah… (kaza moyo)
[04:27.00] Christian Bella usilie
[04:31.00] Usilie mpaka Mapigo akusikie
[04:35.00] Hapo ulipo we usiumie
[04:39.07] Usiumie kila mtu mpaka akusikie
[04:43.07] Mwanamume analia kama simba
[04:46.21] Ndani ya moyo, peke yake usiku wa manane
[04:50.22] Manane, manane, sio saa nane mchana