Aheri
๐ต 884 characters
โฑ๏ธ 4:35 duration
๐ ID: 23897294
๐ Lyrics
Mmmm Mmmmmm
Mmmm Mmmmmm
Uliniahidi maisha yaliyo na raha
Na ukaniahidi maisha bila mashaka
Ni nini ilitendeka baada ya ndoa
Ni nini ilitendeka baada ya kupa we wana
Kila siku mimi nilimuomba Mwenyezi
Anipe mume atakaye nienzi
Ikawaje vigumu kunipa lako penzi
When you promised that I would be your one and only lady (Only lady)
Aheri Aheri
Aheriga Amanyiga Agombiga
Uliniahidi mapenzi unienzi your cherie
Na mimi nikakuahidi mapenzi kwenye faraja na dhiki
Ni vipi sa sikuelewi,
Shida si umasikini daddy
Mapenzi pilipili, tena kageuka shubiri
Lakini bado nakupenda
Sitawahi kuwacha
Tufurahie pamoja
Hata kama kwa bodaboda
Bado nakupenda
Sitawahi kuwacha
Tufurahie pamoja
Hata kama kwa bodaboda
Aheri Aheri
Aheriga Amanyiga Agombiga
Ninakuenzi mpenzi (I cherish you my love)
Ninakuenzi my baby (I cherish you my baby)
Stay with me and our family
Oh I love you
My baby I love you my love

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.05] Mmmm Mmmmmm
[00:17.92] Mmmm Mmmmmm
[00:30.60] Uliniahidi maisha yaliyo na raha
[00:37.24] Na ukaniahidi maisha bila mashaka
[00:44.09] Ni nini ilitendeka baada ya ndoa
[00:51.24] Ni nini ilitendeka baada ya kupa we wana
[00:58.18] Kila siku mimi nilimuomba Mwenyezi
[01:05.30] Anipe mume atakaye nienzi
[01:12.13] Ikawaje vigumu kunipa lako penzi
[01:18.88] When you promised that I would be your one and only lady (Only lady)
[01:26.28] Aheri Aheri
[01:34.06] Aheriga Amanyiga Agombiga
[02:08.12] Uliniahidi mapenzi unienzi your cherie
[02:14.50] Na mimi nikakuahidi mapenzi kwenye faraja na dhiki
[02:21.31] Ni vipi sa sikuelewi,
[02:25.07] Shida si umasikini daddy
[02:28.50] Mapenzi pilipili, tena kageuka shubiri
[02:35.18] Lakini bado nakupenda
[02:39.14] Sitawahi kuwacha
[02:42.12] Tufurahie pamoja
[02:45.66] Hata kama kwa bodaboda
[02:49.52] Bado nakupenda
[02:53.01] Sitawahi kuwacha
[02:56.08] Tufurahie pamoja
[02:59.54] Hata kama kwa bodaboda
[03:03.19] Aheri Aheri
[03:10.33] Aheriga Amanyiga Agombiga
[04:01.80] Ninakuenzi mpenzi (I cherish you my love)
[04:05.74] Ninakuenzi my baby (I cherish you my baby)
[04:08.80] Stay with me and our family
[04:13.52] Oh I love you
[04:18.50] My baby I love you my love