Misuli Ya Imani
๐ต 2458 characters
โฑ๏ธ 7:48 duration
๐ ID: 23922200
๐ Lyrics
Ninamkumbuka mama mmoja
aliyekuwa na watoto saba
Alikuwa akimcha Mungu
Alimwomba mchana na usiku
Ulipita mda sijaonana nae
Nikamua niende nimtembelee
Nikamkuta mama mjane amechoka
Macho yamevimba kwa kulia
Akanitazama akaniambia
ajali imeua watoto wangu
tazama kaburi kama matuta
Mungu hakunisazia kitu
akanikumbusha unajua mwanangu
wewe bado ni kjana mdogo
Usije fikiri kumwacha mungu
Hata kama amekuumiza
Akapiga magoti akitetemeka
Akamwomba Mungu Mbele yangu akisema
Kwanini uliamua kuchukua wangu tu (Eh Bwana)
Mtaa Mzima hukuona wengine(Bwanaa)
Kwani ni ajali mmoja Iliua wangu tu (Kwanini Bwana)
kwanini sikumoja walizikwa wangu tu (Bwanaa)
Kwanini hukuamua hapa mtaani (Nauliza Bwana)
angalau kila nyumba wangekufa mmoja mmoja (Bwanaa)
Hata nijiulize maswali mwngi
jibu bado litabaki wewe ni Mungu Tu (Najua)
Najua ulianimini hili naliweza
Hivyo basi nasema Jina Lako Libarikiwe
Ameen
Kama kawaida Wanadamu
Wakanyanyua vinywa wakasema
Kila mmoja aliongea lake
ilimradhi wamvunje moyo
Kuna walojifanya kuwa wana uchungu
kumbe moyoni wangung'a
wengine wakadhiriki kusema hadharani
Alijivusa sasa kiko wapi
Mama anasema akiwa msibanibani
alihisi mwili unawaka moto
aliona kama mungu hayupo
Dunia yote kaachwa pekeyake
Waliomfariji aliwaona waongo
Hawajui uchungu wa msiba
Huzuni ilipozidi akalia sana
Asikubali kufarijiwa
Ghafla akakumbuka mtetezi wake
Kwamba mungu wake Yuko hai
Akishampitisha kwenye tanuri
Mwisho atang'ara kama dhahabu
Eh Bwana
Ulimvyochukua mume wangu bwana
Watoto walinifariji
Sasa umeamua kuwachukua wote
Wala hukunisazia kitu (Umenibebesha)
umenibebesha mzigo mzoto bwana
Siuwezi pekeyangu (Sasa Bwana)
Bila msaada wako sitaweza mimi
Naomba unisaidie
Aeh (Halleluhya)
Kama Unadhani la kwako zito
Basi sasa jifunze kwa wenzako
Maana wewekuguzwa tu na tatizo
unanung'unika mwaka mzima
Waweza kudhani kwamba unaumwa
Kumbe hujaona wagonjwa
ukishawaona wagonjwa wenyewe
Unaweza kupona bila dawa
Mungu anao watu anaowaamini
watu wenye misuli ya imani
wao wanapopita lwenye magumu
Wanamtukuza katika hayo
Hawa ndio watu mungu huwatumia
kumsimangia shetani
Maana kujaribiwa kwa imani zao
Huleta utukufu kwa mungu
Mama anasema mungu ni mwema
kwasababu amelitetea
katika kupita kwenye magumu'
nimeona mkono wa neema
Halleluhya
Ashukuriwe Mungu wa watakatifu
Anayetupa kushinda (Hata tukipita)
Hata tukipita kwenye magumu gani
Yeye hatatuacha pekeyetu (Ameahaidi Yesu)
Ametuhaidi atakuwa nasi (Hadi)
Hadi Ukamilifu wa dhahari
Eh (Halleluhya)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:21.11] Ninamkumbuka mama mmoja
[00:26.17] aliyekuwa na watoto saba
[00:31.17] Alikuwa akimcha Mungu
[00:36.25] Alimwomba mchana na usiku
[00:41.27] Ulipita mda sijaonana nae
[00:46.29] Nikamua niende nimtembelee
[00:52.03] Nikamkuta mama mjane amechoka
[00:57.06] Macho yamevimba kwa kulia
[01:02.09] Akanitazama akaniambia
[01:07.13] ajali imeua watoto wangu
[01:12.14] tazama kaburi kama matuta
[01:17.19] Mungu hakunisazia kitu
[01:22.23] akanikumbusha unajua mwanangu
[01:27.25] wewe bado ni kjana mdogo
[01:32.28] Usije fikiri kumwacha mungu
[01:38.02] Hata kama amekuumiza
[01:43.05] Akapiga magoti akitetemeka
[01:48.08] Akamwomba Mungu Mbele yangu akisema
[01:53.09] Kwanini uliamua kuchukua wangu tu (Eh Bwana)
[01:58.06] Mtaa Mzima hukuona wengine(Bwanaa)
[02:03.12] Kwani ni ajali mmoja Iliua wangu tu (Kwanini Bwana)
[02:08.16] kwanini sikumoja walizikwa wangu tu (Bwanaa)
[02:13.18] Kwanini hukuamua hapa mtaani (Nauliza Bwana)
[02:18.13] angalau kila nyumba wangekufa mmoja mmoja (Bwanaa)
[02:23.28] Hata nijiulize maswali mwngi
[02:28.19] jibu bado litabaki wewe ni Mungu Tu (Najua)
[02:34.02] Najua ulianimini hili naliweza
[02:38.27] Hivyo basi nasema Jina Lako Libarikiwe
[02:43.00] Ameen
[02:54.26] Kama kawaida Wanadamu
[02:59.19] Wakanyanyua vinywa wakasema
[03:04.21] Kila mmoja aliongea lake
[03:09.26] ilimradhi wamvunje moyo
[03:15.01] Kuna walojifanya kuwa wana uchungu
[03:20.02] kumbe moyoni wangung'a
[03:25.04] wengine wakadhiriki kusema hadharani
[03:30.08] Alijivusa sasa kiko wapi
[03:35.11] Mama anasema akiwa msibanibani
[03:40.14] alihisi mwili unawaka moto
[03:45.21] aliona kama mungu hayupo
[03:50.20] Dunia yote kaachwa pekeyake
[03:55.25] Waliomfariji aliwaona waongo
[04:00.27] Hawajui uchungu wa msiba
[04:06.00] Huzuni ilipozidi akalia sana
[04:11.03] Asikubali kufarijiwa
[04:16.07] Ghafla akakumbuka mtetezi wake
[04:21.10] Kwamba mungu wake Yuko hai
[04:26.13] Akishampitisha kwenye tanuri
[04:31.18] Mwisho atang'ara kama dhahabu
[04:35.14] Eh Bwana
[04:36.21] Ulimvyochukua mume wangu bwana
[04:41.21] Watoto walinifariji
[04:46.25] Sasa umeamua kuwachukua wote
[04:51.29] Wala hukunisazia kitu (Umenibebesha)
[04:57.03] umenibebesha mzigo mzoto bwana
[05:02.04] Siuwezi pekeyangu (Sasa Bwana)
[05:07.07] Bila msaada wako sitaweza mimi
[05:12.13] Naomba unisaidie
[05:16.07] Aeh (Halleluhya)
[05:27.21] Kama Unadhani la kwako zito
[05:32.25] Basi sasa jifunze kwa wenzako
[05:37.28] Maana wewekuguzwa tu na tatizo
[05:43.01] unanung'unika mwaka mzima
[05:48.05] Waweza kudhani kwamba unaumwa
[05:53.08] Kumbe hujaona wagonjwa
[05:58.11] ukishawaona wagonjwa wenyewe
[06:03.13] Unaweza kupona bila dawa
[06:08.17] Mungu anao watu anaowaamini
[06:13.21] watu wenye misuli ya imani
[06:18.22] wao wanapopita lwenye magumu
[06:23.26] Wanamtukuza katika hayo
[06:29.00] Hawa ndio watu mungu huwatumia
[06:34.04] kumsimangia shetani
[06:39.07] Maana kujaribiwa kwa imani zao
[06:44.10] Huleta utukufu kwa mungu
[06:49.14] Mama anasema mungu ni mwema
[06:54.15] kwasababu amelitetea
[06:59.18] katika kupita kwenye magumu'
[07:04.22] nimeona mkono wa neema
[07:08.14] Halleluhya
[07:09.26] Ashukuriwe Mungu wa watakatifu
[07:15.00] Anayetupa kushinda (Hata tukipita)
[07:20.02] Hata tukipita kwenye magumu gani
[07:25.06] Yeye hatatuacha pekeyetu (Ameahaidi Yesu)
[07:30.08] Ametuhaidi atakuwa nasi (Hadi)
[07:35.10] Hadi Ukamilifu wa dhahari
[07:39.06] Eh (Halleluhya)