Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nimegongewa (feat. Kayz)

๐Ÿ‘ค Critical King โ€ข ๐ŸŽผ Cracked โ€ข โฑ๏ธ 3:27
๐ŸŽต 1872 characters
โฑ๏ธ 3:27 duration
๐Ÿ†” ID: 23951577

๐Ÿ“œ Lyrics

Oh no no no
Oh no no no no no
Shibaa
Akinicheki cheki
Anadhani nimebleki bleki
Anasema niko very petty
Ndio maana mi nagongewa tu
Akinicheki
Anadhani nimebleki
Mara eti niko petty
Na na bado mi nagongewa tu
Amecarry bam bam
Ana mahanjam
Akijam anapigia bestie
Na ule mbaba
Wa tumbo saba
Anapenda akiitwanga baby
Vijana wa kanisa
Wakona Nikita
Holy water tu ndio inawabatiza
Hapana bakisha
Wanamash it up
Wakimaliza
Alafu wanagongewa
Nimegongewa
Na ni mwanzo ya calendar
Anasema ananipenda
Na bado mi nagongewa tu
Nikona mapesa
Mwili fiti nimejenga
Mali safi nimelengaa
Na bado mi nagongewa tu
(Nimegongewa)cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile Nimegonge(nimegongewa)
(Nimegongewa)cheki tu vile Nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu nimegonge
(Nimegongewa)
Nimegongewa adi ikatwanga
Pochi ime suffer
Ashakua shughuli ya mbogi sio one man
Hataki banana zake ni Cassava
Si ndo wale hubambika na Morning Kababa
Juu nagongewanga adi na msee wa maji wa stima nyumba kumi adi msee wa mayai
Even though najifanya ndovu ni kuu chini ya maji ndani ndani nahisi aki walai
Msupa anadai vile ye ni baddie
Ako na standards hawezi roll with just anybody
Kiasi kiasi nahisi kiu natoka nikunywe maji nacheki Kamjoro chini ya bed tumjulie hali
Ako like bro it's not what you think
Ikabakii nimjibu nyanyanyanyinyi
Hizi ni swara mi huzionea 18 leo ni mi nimegongewa I guess it is what it is
Nimegongewa
Na ni mwanzo ya calendar
Anasema ananipenda
Na bado mi nagongewa tu
Nikona mapesa
Mwili fiti nimejenga
Mali safi nimelengaa
Na bado mi nagongewa tu
(Nimegongewa)cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile Nimegonge(nimegongewa)
(Nimegongewa)cheki tu vile Nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu vile nimegongewa
Cheki tu nimegonge
(Nimegongewa)

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings