Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Tumekubalika

๐Ÿ‘ค Ambwene Mwasongwe โ€ข ๐ŸŽผ Moyo Wa Ibada โ€ข โฑ๏ธ 7:09
๐ŸŽต 2070 characters
โฑ๏ธ 7:09 duration
๐Ÿ†” ID: 24075937

๐Ÿ“œ Lyrics

Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tu uzao mteule aaah aah aah
Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah
Taifa takatifu aah aah ooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh
Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati
Watawavunja adui mifupa
Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
Yeye kawabariki nani aawalaani,
Mungu kawabariki nani wakuwapinga
Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah
Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh
Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
Tumekubalika
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah aaah
Usiye lala aah
Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu
Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao
Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao,
Walitubadilisha majina hawakubadili
Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu,
Kule walipotusukumia
Ndiko Mungu hupumzikia,
Walidhani wanatukimbiza kumbe
Wanatusindikiza
Bwana wangu, Yesu
Yesu Yesu
Shindii,Yesu
Mwamba,Yesu
Wewe, Yesu
Aah haaa aah
Jiwe langu Yesu
Ngome Yesu
Mwamba aaah
Bwana Yesu
Ooh uuh
Jiwe langu Yesu
Mwaminifu Yesu
Haki Yesu
Ngome Yesu
Nguzo Yesu
Aah aah
Jina lako Yesu
Yesu Yesu
Haki Yesu
Mwaminifu Yesu
Wewe Yesu
Aah aah
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu zao wa agano

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:21.26] Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
[00:31.26] Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
[00:41.21] Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
[00:51.10] Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
[01:01.22] Tu uzao mteule aaah aah aah
[01:06.20] Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah
[01:11.11] Taifa takatifu aah aah ooh ooh
[01:16.03] Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh
[01:31.20] Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
[01:38.00] Misri wana nguvu kama za nyati
[01:41.09] Watawavunja adui mifupa
[01:44.04] Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
[01:51.00] Yeye kawabariki nani aawalaani,
[01:56.12] Mungu kawabariki nani wakuwapinga
[02:00.29] Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah
[02:11.08] Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh
[02:21.01] Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh
[02:41.19] Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
[02:48.24] Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
[02:53.22] Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
[03:00.29] Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
[03:08.13] Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
[03:15.28] Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
[03:23.25] Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
[03:30.23] Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
[03:38.18] hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
[03:50.00] katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
[03:58.05] Tumekubalika
[04:00.05] Tumekubalika na Mungu
[04:05.12] Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
[04:11.27] Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
[04:20.02] Usiye lala aah aah
[04:25.10] Usiye lala aah aah
[04:31.21] Usiye lala aah aah aaah
[04:39.28] Usiye lala aah
[04:44.10] Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu
[04:49.14] Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
[04:54.28] Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao
[05:20.15] Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao,
[05:30.01] Walitubadilisha majina hawakubadili
[05:39.28] Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu,
[05:44.23] Kule walipotusukumia
[05:49.22] Ndiko Mungu hupumzikia,
[05:53.19] Walidhani wanatukimbiza kumbe
[05:59.15] Wanatusindikiza
[06:04.09] Bwana wangu, Yesu
[06:07.12] Yesu Yesu
[06:09.16] Shindii,Yesu
[06:10.28] Mwamba,Yesu
[06:12.06] Wewe, Yesu
[06:13.10] Aah haaa aah
[06:14.17] Jiwe langu Yesu
[06:15.28] Ngome Yesu
[06:19.13] Mwamba aaah
[06:20.18] Bwana Yesu
[06:22.01] Ooh uuh
[06:23.09] Jiwe langu Yesu
[06:24.20] Mwaminifu Yesu
[06:29.13] Haki Yesu
[06:30.25] Ngome Yesu
[06:32.02] Nguzo Yesu
[06:33.10] Aah aah
[06:34.16] Jina lako Yesu
[06:35.25] Yesu Yesu
[06:39.15] Haki Yesu
[06:40.24] Mwaminifu Yesu
[06:42.02] Wewe Yesu
[06:43.10] Aah aah
[06:44.17] Tumekubalika na Mungu
[06:45.24] Tuna nguvu za kifalme
[06:49.03] Ametuchora kweli moyoni mwake tu zao wa agano

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings