Nigande
๐ต 1076 characters
โฑ๏ธ 3:20 duration
๐ ID: 24274319
๐ Lyrics
Kama penzi maruani pandaaa nikuaguee
Kilingeni nipige manyanga kitatuliee
Likishapanda nilivike taji
Jini la mapenzi usivunje nazi
Kama kichanga nibembeleze mmmh
Soba ya mapenzi dawa nimeze
Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
(Aaaah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aaaah nigandee)
Usiniache nishikiliee
(Aaaah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aaaah nigandee)
Usiniache nishikiliee
Wanini msumari me puto
Nitapasuka eeeh ahaa
Ndani mambo shwari
Sitaki ruka ruka eeeh ahaa
Kitambaa nifute jasho
Tupendane leo kesho ooh
Nifukize manukato, ooh ooooh eeeh
Njee sitotoa chako ooh
Acha wanile kwa macho ooh
Zabi zabi tumbo joto ooh oooh
Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha, ahhh

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:21.10] Kama penzi maruani pandaaa nikuaguee
[00:26.13] Kilingeni nipige manyanga kitatuliee
[00:31.14] Likishapanda nilivike taji
[00:36.14] Jini la mapenzi usivunje nazi
[00:41.16] Kama kichanga nibembeleze mmmh
[00:46.15] Soba ya mapenzi dawa nimeze
[00:50.20] Usisome riwaya hadithi wakaipata
[00:55.20] Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
[01:00.16] Usisome riwaya hadithi wakaipata
[01:05.15] Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
[01:11.09] (Aaaah nigandee)
[01:14.08] Utamu wako naujua miee
[01:16.11] (Aaaah nigandee)
[01:18.35] Usiniache nishikiliee
[01:21.20] (Aaaah nigandee)
[01:24.22] Utamu wako naujua miee
[01:26.17] (Aaaah nigandee)
[01:29.18] Usiniache nishikiliee
[01:32.00] Wanini msumari me puto
[01:33.22] Nitapasuka eeeh ahaa
[01:36.29] Ndani mambo shwari
[01:38.03] Sitaki ruka ruka eeeh ahaa
[01:41.24] Kitambaa nifute jasho
[01:44.01] Tupendane leo kesho ooh
[01:46.19] Nifukize manukato, ooh ooooh eeeh
[01:51.20] Njee sitotoa chako ooh
[01:54.06] Acha wanile kwa macho ooh
[01:56.22] Zabi zabi tumbo joto ooh oooh
[02:01.13] Usisome riwaya hadithi wakaipata
[02:06.08] Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
[02:11.12] Usisome riwaya hadithi wakaipata
[02:16.10] Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha, ahhh
[02:21.16] (Aaaah nigandee)
[02:25.10] Utamu wako naujua miee
[02:27.05] (Aaaah nigandee)
[02:29.24] Usiniache nishikiliee
[02:32.06] (Aaaah nigandee)
[02:35.09] Utamu wako naujua miee
[02:37.07] (Aaaah nigandee)
[02:40.10] Usiniache nishikiliee