Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wanga

๐Ÿ‘ค Meja Kunta; Lava Lava โ€ข ๐ŸŽผ Wanga โ€ข โฑ๏ธ 4:04
๐ŸŽต 2008 characters
โฑ๏ธ 4:04 duration
๐Ÿ†” ID: 25284397

๐Ÿ“œ Lyrics

Oooh oooh wanga wabaya
Ooh oooh wabaya
Ooh oooh wabaya
Ooh oooh wabaya

(Ngatale music)

Ooooh... aah...
Wabaya hao (burn music)
Wanga wabaya, kweli wabaya
Wanga wabaya

Ukiwa nacho watakuroga wanga
Ukiwa huna watakuroga wanga
Ukipata pesa watazusha unadanga
Wakati mwenyewe umejichanga

Wanga wabaya, kweli wabaya
Wanga wabaya

Hata mimi yalinikuta
Nikasingiziwa nimekufa
Mama yangu alilia sana
Oooh huruma mama

Wanga wabaya hao, kweli wabaya
Wanga wabaya

Mbona wana mambo meusi
Nikiposti picha wanacomment matusi
Nikikonda tu una virusi
Wana roho za kenge mixer mijusi (mscheew)

Mama wabaya, kweli wabaya
Wanga wabaya

Labda nami nifanye kipi kizuri waja
Niwe rafiki wa kila mja
Iwe furaha inishinde husta
Haya yapite mengine yaja

Wanga wabaya hao, kweli wabaya
Wanga wabaya

Unamtaka kwio
Una hela kwio
Eti una dola kwio
Nenda ukalale kwio

Kwiyo yoyoiyo kwio
Kwiyoyo kwema kwio
Wewe acha wee
Piga kelele kwa kwio wake wewe

Basi container muda wa kudanga (danga)
Nitafutie madanga (danga)
We muda wa kudanga (danga)
Nitafutie madanga (danga)

Basi sina muda wa kudanga (danga)
Nitafutie madanga (danga)
We muda wa kudanga (danga)
Nitafutie madanga (danga)

Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao mbao
Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao mbao

Anakata (kimbao mbao)
Anakati (kimbao mbao)
Anakata (kimbao mbao)
Anakati (kimbao mbao)

Anakata (kimbao mbao)
Anakati (kimbao mbao)
Anakata (kimbao mbao)
Anakati (kimbao mbao)

Basi ndinda na bingwa wa kudanga hata kwako huna
We bingwa wa kudanga hata kwako huna
Dada unaringa una chura kumbe la kichina
Unaringa una chura kumbe la kichina

Na tipi tifua tetema (we tetema)
We tetema (we tetema)
Basi na twende tetema (we tetema), we tetema
Basi kidogo tetema (we tetema), we tetema
Na tifua tifua tetema (we tetema), we tetema

(Meja ngoja kwanza, ngoja kwanza)

Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Wahuni kuku kishingo, we kishingo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.01] Oooh oooh wanga wabaya
[00:03.57] Ooh oooh wabaya
[00:07.01] Ooh oooh wabaya
[00:09.92] Ooh oooh wabaya
[00:11.84] (Ngatale music)
[00:15.84] Ooooh... aah...
[00:27.31] Wabaya hao (burn music)
[00:29.75] Wanga wabaya, kweli wabaya
[00:35.98] Wanga wabaya
[00:37.23] Ukiwa nacho watakuroga wanga
[00:40.16] Ukiwa huna watakuroga wanga
[00:43.35] Ukipata pesa watazusha unadanga
[00:46.39] Wakati mwenyewe umejichanga
[00:50.82] Wanga wabaya, kweli wabaya
[00:56.66] Wanga wabaya
[00:58.57] Hata mimi yalinikuta
[01:01.25] Nikasingiziwa nimekufa
[01:04.26] Mama yangu alilia sana
[01:07.40] Oooh huruma mama
[01:11.97] Wanga wabaya hao, kweli wabaya
[01:18.13] Wanga wabaya
[01:19.40] Mbona wana mambo meusi
[01:21.97] Nikiposti picha wanacomment matusi
[01:24.85] Nikikonda tu una virusi
[01:28.02] Wana roho za kenge mixer mijusi (mscheew)
[01:32.60] Mama wabaya, kweli wabaya
[01:38.75] Wanga wabaya
[01:41.71] Labda nami nifanye kipi kizuri waja
[01:45.77] Niwe rafiki wa kila mja
[01:48.71] Iwe furaha inishinde husta
[01:51.66] Haya yapite mengine yaja
[01:57.08] Wanga wabaya hao, kweli wabaya
[02:02.89] Wanga wabaya
[02:31.77] Unamtaka kwio
[02:33.00] Una hela kwio
[02:34.33] Eti una dola kwio
[02:35.71] Nenda ukalale kwio
[02:37.31] Kwiyo yoyoiyo kwio
[02:38.68] Kwiyoyo kwema kwio
[02:40.00] Wewe acha wee
[02:41.45] Piga kelele kwa kwio wake wewe
[02:45.95] Basi container muda wa kudanga (danga)
[02:48.05] Nitafutie madanga (danga)
[02:49.65] We muda wa kudanga (danga)
[02:51.08] Nitafutie madanga (danga)
[02:52.32] Basi sina muda wa kudanga (danga)
[02:53.62] Nitafutie madanga (danga)
[02:55.53] We muda wa kudanga (danga)
[02:57.18] Nitafutie madanga (danga)
[02:59.03] Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
[03:01.90] We bonge munene utasema kimbao mbao
[03:04.92] Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
[03:07.83] We bonge munene utasema kimbao mbao
[03:10.58] Anakata (kimbao mbao)
[03:11.87] Anakati (kimbao mbao)
[03:13.45] Anakata (kimbao mbao)
[03:14.79] Anakati (kimbao mbao)
[03:16.63] Anakata (kimbao mbao)
[03:17.77] Anakati (kimbao mbao)
[03:19.56] Anakata (kimbao mbao)
[03:20.75] Anakati (kimbao mbao)
[03:21.83] Basi ndinda na bingwa wa kudanga hata kwako huna
[03:25.25] We bingwa wa kudanga hata kwako huna
[03:27.94] Dada unaringa una chura kumbe la kichina
[03:31.40] Unaringa una chura kumbe la kichina
[03:33.86] Na tipi tifua tetema (we tetema)
[03:35.47] We tetema (we tetema)
[03:36.81] Basi na twende tetema (we tetema), we tetema
[03:39.78] Basi kidogo tetema (we tetema), we tetema
[03:42.95] Na tifua tifua tetema (we tetema), we tetema
[03:46.11] (Meja ngoja kwanza, ngoja kwanza)
[03:48.83] Twende kuku kishingo, we kishingo
[03:52.01] Twende kuku kishingo, we kishingo
[03:54.77] Twende kuku kishingo, we kishingo
[03:57.79] Wahuni kuku kishingo, we kishingo
[04:03.89]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings