Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Glitter Freestyle

๐Ÿ‘ค Toxic Lyrikali โ€ข ๐ŸŽผ Glitter Freestyle โ€ข โฑ๏ธ 2:44
๐ŸŽต 2130 characters
โฑ๏ธ 2:44 duration
๐Ÿ†” ID: 25484123

๐Ÿ“œ Lyrics

Fala kwa hii beef we utoshi mboga
Nawagutuka ki horror
Ona ulizimwa adi brain ika format
Gadget blessed Jehovah
Ata kama umechanjwa bado inakushona
This year niko focused
Pongi iezi ni koroga
Sampuli ya fish ipatie water
Nitaje kwa lyrics
Uyo ni dem yako kwa DMs ya me
Okay Trisha Tuesday afternoon ye utumanga boobs kwa Mana T
Negotiation na nani utableed
Cooperate before ukose malips
Nina jicha alisemanga mafeelings tulizificha sehemu ya siri

Mnaharakisha kujengea the late
Mnaharakisha mnatuacha kwa gate
Ati your destined to be great
Babako alikupima pia ye anarelate
Always ghetto yut niko bie
Kindani ndani na run insane
Akuna msee anakuja kunisave
Chonjo tuspatane chuom late

Mi nilisha decide kila kitu nafanya ni major
Flight mode niko high niko mteja
Wako on heat ao mahater
Cool down I'm about to get better
Deila dua me najua
Akiongoza ndio deals zitavai
Cheki itha akuna jua
Ni mbling kwa shingo ndio inashine

Paper chaser not on foot ngata iko full tank naichase na senke
Tulipigwa bumbrush baze before nipewe chain fuck manjege
Utaongezwa makamasi so usilete usoo buda songa mbele
Joy kulalia majegi za Joy

Ya dunia ni apa apa mi ndio nimetumwa ni ku confirmie
Ukilalisha nakuekea poa usbabaike
Niamini kukutrust labda niangamie
Kanyaga ndula ni maziwa nikukanyagie

Thigitha Toxic kama ukona coffin
Scene na cause utadhani natumia narcotics
Shoka ikiku nywes kwa kisogo hiyo ni shocking
Niende slow nikama uko floating

Superman zii Lyrical Man
Power yangu si unang'am nani uyo ananishindanga kurap?
Kime uus umesafisha umepach kwa mdomo unang'am
Nani uyo anakushidanga kurun

Mtaro adi na life vest unazama
Shingo bright nashindwa kutazama
We fala unajua kuhesabu numbers
1 2 3 5 6 utazama

Nakutambua lakini ukinipima shonde nakubambua
Tuna wapimia hewa na bado hatuja waziba mapua
Nashanga na watu inengi we unaniita bro we unanijua
Kutrust msee ndio ngumu natambua watu wa East si ati nazua

Mistari out of this world nika nilidunda na alien ship
Unapenda doba zangu sawa lakini usinisunde kwa io relationship
Alikuja home nikafanya service na si ya fellowship
Best friend kwa estate wao uniita terrorist

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:13.82] Fala kwa hii beef we utoshi mboga
[00:15.95] Nawagutuka ki horror
[00:17.23] Ona ulizimwa adi brain ika format
[00:19.62] Gadget blessed Jehovah
[00:20.84] Ata kama umechanjwa bado inakushona
[00:23.10] This year niko focused
[00:24.60] Pongi iezi ni koroga
[00:26.01] Sampuli ya fish ipatie water
[00:28.62] Nitaje kwa lyrics
[00:29.63] Uyo ni dem yako kwa DMs ya me
[00:31.49] Okay Trisha Tuesday afternoon ye utumanga boobs kwa Mana T
[00:35.08] Negotiation na nani utableed
[00:36.57] Cooperate before ukose malips
[00:38.75] Nina jicha alisemanga mafeelings tulizificha sehemu ya siri
[00:42.20] Mnaharakisha kujengea the late
[00:43.93] Mnaharakisha mnatuacha kwa gate
[00:45.84] Ati your destined to be great
[00:47.56] Babako alikupima pia ye anarelate
[00:49.39] Always ghetto yut niko bie
[00:51.28] Kindani ndani na run insane
[00:53.00] Akuna msee anakuja kunisave
[00:54.79] Chonjo tuspatane chuom late
[00:56.56] Mi nilisha decide kila kitu nafanya ni major
[00:59.44] Flight mode niko high niko mteja
[01:01.19] Wako on heat ao mahater
[01:02.89] Cool down I'm about to get better
[01:04.63] Deila dua me najua
[01:06.41] Akiongoza ndio deals zitavai
[01:08.36] Cheki itha akuna jua
[01:10.09] Ni mbling kwa shingo ndio inashine
[01:11.87] Paper chaser not on foot ngata iko full tank naichase na senke
[01:15.39] Tulipigwa bumbrush baze before nipewe chain fuck manjege
[01:18.84] Utaongezwa makamasi so usilete usoo buda songa mbele
[01:22.40] Joy kulalia majegi za Joy
[01:24.91] Ya dunia ni apa apa mi ndio nimetumwa ni ku confirmie
[01:27.69] Ukilalisha nakuekea poa usbabaike
[01:29.41] Niamini kukutrust labda niangamie
[01:31.22] Kanyaga ndula ni maziwa nikukanyagie
[01:33.00] Thigitha Toxic kama ukona coffin
[01:34.63] Scene na cause utadhani natumia narcotics
[01:36.45] Shoka ikiku nywes kwa kisogo hiyo ni shocking
[01:38.50] Niende slow nikama uko floating
[01:40.22] Superman zii Lyrical Man
[01:41.62] Power yangu si unang'am nani uyo ananishindanga kurap?
[01:43.95] Kime uus umesafisha umepach kwa mdomo unang'am
[01:46.22] Nani uyo anakushidanga kurun
[01:47.76] Mtaro adi na life vest unazama
[01:49.70] Shingo bright nashindwa kutazama
[01:51.19] We fala unajua kuhesabu numbers
[01:53.05] 1 2 3 5 6 utazama
[01:54.78] Nakutambua lakini ukinipima shonde nakubambua
[01:58.49] Tuna wapimia hewa na bado hatuja waziba mapua
[02:01.85] Nashanga na watu inengi we unaniita bro we unanijua
[02:05.64] Kutrust msee ndio ngumu natambua watu wa East si ati nazua
[02:09.04] Mistari out of this world nika nilidunda na alien ship
[02:12.24] Unapenda doba zangu sawa lakini usinisunde kwa io relationship
[02:15.74] Alikuja home nikafanya service na si ya fellowship
[02:19.58] Best friend kwa estate wao uniita terrorist
[02:23.64]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings