Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Utukumbuke

๐Ÿ‘ค Angel Benard โ€ข ๐ŸŽผ Nikumbushe Wema Wako โ€ข โฑ๏ธ 3:48
๐ŸŽต 1191 characters
โฑ๏ธ 3:48 duration
๐Ÿ†” ID: 25867877

๐Ÿ“œ Lyrics

Eeh
Bwana yesu nataka niseme nawewe, mmh
Uuh uuh
Usife moyo baba, Usife moyo mama

Nakuona mama unatazama watoto waumia moyoni
Nakuona baba unashinda umelewa haueshimiwi nyumbani
Nakuona kijana umetafuta umechoka rudia tena na leo
Mwokozi ona Yale wanayo pitia, Baba onaaa uwakumbukee .

Uwakumbuke wagojwa wale
Uwakumbuke yatima Baba
Uwakumbuke baba
Wanandoa wale, utukumbuke
Kina mama wale, utukumbuke
Kina baba wake, utukumbuke babaa
Oooooh uwakumbuke

Mkono wako si mfupi usiokoe,
Na sikio lako sio zito lisisikie,
Bwana mkono wako si mfupi usiokoe,
Na sikio lako sio zito lisisikie,
Wewe mwanzo tena mwisho
Kwako hakuna logumu
Tujapokua dhaifu
Bwana wewe ndio nguvu zetu uwakumbukeeeeh

Uwakumbuke kanisa lako,
Uwakumbuke taifa letu,
Uwakumbuke babaa,
Baba tunakutazama, utukumbuke
Ona watoto wale, utukumbuke
Barabarani Baba, utukumbuke babaa
Ona aah aaaah eeh

Bwana Yesu wewe ndiwe majibu ya Kila mwenye maswali moyoni,
Unaweza Yesu eeeh eh
Uuuuuuh uuuh uuuh uuuh

Uwakumbuke, wakumbuke watoto wale,
Ona baba wajane wale, uwakumbuke babaa,
Wewe ndiwe mume wao Baba,
Utukumbuke, utukumbuke babaa,
Taifa letu na nchi yetu, serikali na viongozi, utukumbuke eeh Baba!
Uwakumbuke, Baba ah

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings