Uongo
๐ต 1468 characters
โฑ๏ธ 7:21 duration
๐ ID: 26114774
๐ Lyrics
uongo si kitu chema
ndugu sikia
utendae hayo wamchukiza Mungu
uongo ni kama moto
ndugu sikia
moto mdogo ndugu
huunguzao mwili
uongo ndugu waweza
kutawanya kundi
la kondoo wa Mungu
hiyo ni lazimaa
uongo si kitu chema
ndugu sikia
utendae hayo wamchukiza Mungu
uongo ni kama moto
ndugu sikia
moto mdogo ndugu
huunguzao mwili
uongo ndugu waweza
kutawanya kundi
la kondoo wa Mungu
hiyo ni lazimaa
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
mda wa kutenda dhambi
umeshapita siku ya wokovu
ndiyo sasa ndugu
nira ya Mungu iwazi
na uipokee
utajazwa nguvu
umshinde shetani
shetani mdanganyifu
ndugu sikia sikia
angalia sana
usije kosa mbingu
mda wa kutenda dhambi
umeshapita siku ya wokovu
ndiyo sasa ndugu
nira ya Mungu iwazi
na uipokee
utajazwa nguvu
umshinde shetani
shetani mdanganyifu
ndugu sikia sikia
angalia sana
usije kosa mbingu
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
ndugu sikia
utendae hayo wamchukiza Mungu
uongo ni kama moto
ndugu sikia
moto mdogo ndugu
huunguzao mwili
uongo ndugu waweza
kutawanya kundi
la kondoo wa Mungu
hiyo ni lazimaa
uongo si kitu chema
ndugu sikia
utendae hayo wamchukiza Mungu
uongo ni kama moto
ndugu sikia
moto mdogo ndugu
huunguzao mwili
uongo ndugu waweza
kutawanya kundi
la kondoo wa Mungu
hiyo ni lazimaa
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
mda wa kutenda dhambi
umeshapita siku ya wokovu
ndiyo sasa ndugu
nira ya Mungu iwazi
na uipokee
utajazwa nguvu
umshinde shetani
shetani mdanganyifu
ndugu sikia sikia
angalia sana
usije kosa mbingu
mda wa kutenda dhambi
umeshapita siku ya wokovu
ndiyo sasa ndugu
nira ya Mungu iwazi
na uipokee
utajazwa nguvu
umshinde shetani
shetani mdanganyifu
ndugu sikia sikia
angalia sana
usije kosa mbingu
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:24.12] uongo si kitu chema
[00:27.01] ndugu sikia
[00:29.89] utendae hayo wamchukiza Mungu
[00:41.01] uongo ni kama moto
[00:44.23] ndugu sikia
[00:47.07] moto mdogo ndugu
[00:50.05] huunguzao mwili
[00:58.02] uongo ndugu waweza
[01:01.22] kutawanya kundi
[01:03.78] la kondoo wa Mungu
[01:06.59] hiyo ni lazimaa
[01:15.00] uongo si kitu chema
[01:18.53] ndugu sikia
[01:20.77] utendae hayo wamchukiza Mungu
[01:31.96] uongo ni kama moto
[01:35.19] ndugu sikia
[01:37.82] moto mdogo ndugu
[01:40.78] huunguzao mwili
[01:48.88] uongo ndugu waweza
[01:52.06] kutawanya kundi
[01:54.53] la kondoo wa Mungu
[01:57.33] hiyo ni lazimaa
[02:05.84] ninakusihi bali katika kila neno
[02:11.67] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:17.15] ninakusihi bali katika kila neno
[02:22.79] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:28.28] kama mtumishi wa Mungu
[02:31.73] itende haki yake
[02:34.46] ninakusihi bali katika kila neno
[02:39.60] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:45.47] ninakusihi bali katika kila neno
[02:51.08] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:56.51] kama mtumishi wa Mungu
[03:00.07] itende haki yake
[03:24.80] mda wa kutenda dhambi
[03:28.35] umeshapita siku ya wokovu
[03:33.54] ndiyo sasa ndugu
[03:41.75] nira ya Mungu iwazi
[03:45.07] na uipokee
[03:47.77] utajazwa nguvu
[03:50.64] umshinde shetani
[03:58.07] shetani mdanganyifu
[04:02.07] ndugu sikia sikia
[04:04.58] angalia sana
[04:07.83] usije kosa mbingu
[04:15.73] mda wa kutenda dhambi
[04:18.88] umeshapita siku ya wokovu
[04:24.67] ndiyo sasa ndugu
[04:32.72] nira ya Mungu iwazi
[04:35.87] na uipokee
[04:38.32] utajazwa nguvu
[04:41.46] umshinde shetani
[04:49.61] shetani mdanganyifu
[04:52.98] ndugu sikia sikia
[04:55.24] angalia sana
[04:58.56] usije kosa mbingu
[05:06.66] ninakusihi bali katika kila neno
[05:11.91] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:17.59] ninakusihi bali katika kila neno
[05:23.34] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:28.82] kama mtumishi wa Mungu
[05:32.57] itende haki yake
[05:35.22] ninakusihi bali katika kila neno
[05:40.43] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:46.04] ninakusihi bali katika kila neno
[05:51.73] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:57.29] kama mtumishi wa Mungu
[06:01.49] itende haki yake
[07:10.79]
[00:27.01] ndugu sikia
[00:29.89] utendae hayo wamchukiza Mungu
[00:41.01] uongo ni kama moto
[00:44.23] ndugu sikia
[00:47.07] moto mdogo ndugu
[00:50.05] huunguzao mwili
[00:58.02] uongo ndugu waweza
[01:01.22] kutawanya kundi
[01:03.78] la kondoo wa Mungu
[01:06.59] hiyo ni lazimaa
[01:15.00] uongo si kitu chema
[01:18.53] ndugu sikia
[01:20.77] utendae hayo wamchukiza Mungu
[01:31.96] uongo ni kama moto
[01:35.19] ndugu sikia
[01:37.82] moto mdogo ndugu
[01:40.78] huunguzao mwili
[01:48.88] uongo ndugu waweza
[01:52.06] kutawanya kundi
[01:54.53] la kondoo wa Mungu
[01:57.33] hiyo ni lazimaa
[02:05.84] ninakusihi bali katika kila neno
[02:11.67] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:17.15] ninakusihi bali katika kila neno
[02:22.79] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:28.28] kama mtumishi wa Mungu
[02:31.73] itende haki yake
[02:34.46] ninakusihi bali katika kila neno
[02:39.60] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:45.47] ninakusihi bali katika kila neno
[02:51.08] hujitahidi kujipatia sifa njema
[02:56.51] kama mtumishi wa Mungu
[03:00.07] itende haki yake
[03:24.80] mda wa kutenda dhambi
[03:28.35] umeshapita siku ya wokovu
[03:33.54] ndiyo sasa ndugu
[03:41.75] nira ya Mungu iwazi
[03:45.07] na uipokee
[03:47.77] utajazwa nguvu
[03:50.64] umshinde shetani
[03:58.07] shetani mdanganyifu
[04:02.07] ndugu sikia sikia
[04:04.58] angalia sana
[04:07.83] usije kosa mbingu
[04:15.73] mda wa kutenda dhambi
[04:18.88] umeshapita siku ya wokovu
[04:24.67] ndiyo sasa ndugu
[04:32.72] nira ya Mungu iwazi
[04:35.87] na uipokee
[04:38.32] utajazwa nguvu
[04:41.46] umshinde shetani
[04:49.61] shetani mdanganyifu
[04:52.98] ndugu sikia sikia
[04:55.24] angalia sana
[04:58.56] usije kosa mbingu
[05:06.66] ninakusihi bali katika kila neno
[05:11.91] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:17.59] ninakusihi bali katika kila neno
[05:23.34] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:28.82] kama mtumishi wa Mungu
[05:32.57] itende haki yake
[05:35.22] ninakusihi bali katika kila neno
[05:40.43] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:46.04] ninakusihi bali katika kila neno
[05:51.73] hujitahidi kujipatia sifa njema
[05:57.29] kama mtumishi wa Mungu
[06:01.49] itende haki yake
[07:10.79]