Yanipasa Nikushukuru
๐ต 1682 characters
โฑ๏ธ 3:45 duration
๐ ID: 26118431
๐ Lyrics
Okay, twende
Baba yangu wa Mbinguni, yanipasa nishukuru
Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu

Baba
(Baba yangu wa Mbinguni)
Yanipasa (yanipasa nishukuru)
Isingekuwa (isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)
Isingekua (isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)
Eh, Baba yangu
(Baba yangu wa mbinguni)

Damu yako ya thamani, imeniosha kabisa

Nasema asante
(isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)
Ninashukuru

Nakuheshimu

Nakuabudu

Isingekua

Isingekua ni wewe hah, ah, nisingepata wokovu
Haleluya