Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nalivua Pendo

๐Ÿ‘ค Mwasiti โ€ข ๐ŸŽผ Nalivua Pendo - Single โ€ข โฑ๏ธ 5:55
๐ŸŽต 1874 characters
โฑ๏ธ 5:55 duration
๐Ÿ†” ID: 26244152

๐Ÿ“œ Lyrics

Leo nalivua pendo nililopenda zamani
Nabadilli wangu mwendo nami niwe furahani
Nimechoshwa na skendo, vita na purukushani
Kweli asiyejua pendo apendwapo hapaoni
Nilimpa kwa kishindo penzi lote la moyoni
Raha na wingi uhondo sikumnyima mwandani
Ameyavunja kwa nyundo mwenzenu sikuamini
Leo nalivua pendo nirudi yangu thamani

Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo

Niliyajenga kwa nondo mapenzi yangu ya ndani
Kwa ufundi na miundo na mambo yote ya Pwani
Kumbe nalea uvundo aibu tupu nyumbani
Kweli asiyejua pendo hapendeki ni shetani
Pendo gani la magendo apendwae hafanani
Leo naliweka kando pendo hili la kihuni
Najiepusha na lindo kumlinda hayawani
Kwani mapenzi mkondo hayataki ushindani yeah

Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo

Nimehitimu msondo, msondo wa kizamani
Nikahusiwa upendo, upendo siri yake nini
Nimefundwa kimitindo, na starehe za chumbani
Kupendana ni matendo, mtendeane hisiani
Kweli mchezea jando, mapenzi kwake ni nini?
Bora niyapige tindo, mimi nawe buriani

Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo

Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.09] Leo nalivua pendo nililopenda zamani
[00:13.96] Nabadilli wangu mwendo nami niwe furahani
[00:18.76] Nimechoshwa na skendo, vita na purukushani
[00:23.14] Kweli asiyejua pendo apendwapo hapaoni
[00:28.61] Nilimpa kwa kishindo penzi lote la moyoni
[00:33.97] Raha na wingi uhondo sikumnyima mwandani
[00:38.91] Ameyavunja kwa nyundo mwenzenu sikuamini
[00:44.62] Leo nalivua pendo nirudi yangu thamani
[00:51.10]
[01:01.64] Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
[01:06.54] Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
[01:11.31] Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
[01:16.55] Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
[01:21.58] Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
[01:26.93] Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
[01:31.66] Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
[01:36.95] Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
[01:40.99] Niliyajenga kwa nondo mapenzi yangu ya ndani
[01:45.92] Kwa ufundi na miundo na mambo yote ya Pwani
[01:50.96] Kumbe nalea uvundo aibu tupu nyumbani
[01:55.97] Kweli asiyejua pendo hapendeki ni shetani
[02:01.25] Pendo gani la magendo apendwae hafanani
[02:06.16] Leo naliweka kando pendo hili la kihuni
[02:11.30] Najiepusha na lindo kumlinda hayawani
[02:16.68] Kwani mapenzi mkondo hayataki ushindani yeah
[02:23.31]
[02:33.33] Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
[02:38.41] Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
[02:43.47] Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
[02:48.75] Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
[02:53.42] Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
[02:58.80] Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
[03:03.75] Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
[03:08.71] Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
[03:14.37] Nimehitimu msondo, msondo wa kizamani
[03:19.11] Nikahusiwa upendo, upendo siri yake nini
[03:24.16] Nimefundwa kimitindo, na starehe za chumbani
[03:32.78] Kupendana ni matendo, mtendeane hisiani
[03:39.79] Kweli mchezea jando, mapenzi kwake ni nini?
[03:44.87] Bora niyapige tindo, mimi nawe buriani
[03:55.01]
[04:04.80] Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
[04:10.63] Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
[04:15.21] Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
[04:20.11] Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
[04:25.49] Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
[04:30.90] Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
[04:35.96] Hatuwezi kulingana kauli hata matendo
[04:40.95] Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
[04:47.55]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings