Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Je ?

๐Ÿ‘ค Devrix Da Fubu โ€ข ๐ŸŽผ Je ? - Single โ€ข โฑ๏ธ 5:16
๐ŸŽต 1631 characters
โฑ๏ธ 5:16 duration
๐Ÿ†” ID: 26679888

๐Ÿ“œ Lyrics

A rabada rabada
Yelele mamaโ€š Yelele mama
Da fubu Da fubu dede
Yelele mamaโ€š Yelele mama
Sa leo nikose namna
Nikose pesa ya kukubuyia nyama ah?
Je utanipenda ama?
Hautoniacha kwangu we hautohama?
Ama nikikosa namna
Nd'o utanisema kwa watu vibaya?
Utanitukana?
Ama utanilindia penzi daima? ooh
Namini mi mtafutaji natafuta
Nikipata lazima nitaleta
Nachojua nikisaka nitapata
Ninaamini hautoniacha
Niambie mapema labda sijajua
Kama unanipenda sana au La
Kwa moyo wangu ukipenda
Hautoniacha
Peke yangu n'sibaki ubaki
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utapenda peke yangu?
Hadi nipate nikupe nini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?
Hautonuna nikikosa kuja
Na vitu mafungu?
Hautonuna nikikosa kazi
Masiku tabibu ?
Niambie kama hautanuna
Nikikosa wiki kuleta kakitu?
Hautanuna nikikosa
Uwezo wa nyama baby boo uuh?
Nikikosa namna leo utanipenda?
Ama ndio utaniachaga pekee yangu ?
Nikikosa namna leo utanipenda?
Ama utatangaza kwa wenzangu?
Mi mtafutaji natafuta
Nikipata lazima nitaleta
Nachojua nikisaka nitapata
Ninaamini hautoniacha
Niambie mapema labda sijajua
Kama unanipenda sana au La
Kwa moyo wangu ukipenda
Hautoniacha
Pekee yangu n'sibaki ubaki
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utapenda peke yangu?
Hadi nipate nikupe nini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.02]A rabada rabada
[00:10.57]Yelele mamaโ€š Yelele mama
[00:13.79]Da fubu Da fubu dede
[00:15.50]Yelele mamaโ€š Yelele mama
[00:18.91]Sa leo nikose namna
[00:20.61]Nikose pesa ya kukubuyia nyama ah?
[00:23.67]Je utanipenda ama?
[00:25.37]Hautoniacha kwangu we hautohama?
[00:28.46]Ama nikikosa namna
[00:29.96]Nd'o utanisema kwa watu vibaya?
[00:33.59]Utanitukana?
[00:35.45]Ama utanilindia penzi daima? ooh
[00:38.03]Namini mi mtafutaji natafuta
[00:40.71]Nikipata lazima nitaleta
[00:42.91]Nachojua nikisaka nitapata
[00:45.71]Ninaamini hautoniacha
[00:47.80]Niambie mapema labda sijajua
[00:50.04]Kama unanipenda sana au La
[00:52.90]Kwa moyo wangu ukipenda
[00:54.66]Hautoniacha
[00:55.59]Peke yangu n'sibaki ubaki
[00:57.55]Je utavumilia baby?
[01:00.07]Hautoniacha hata iwe nini?
[01:02.53]Utanilindia penzi langu?
[01:04.73]Hautoniacha juu ya umasikini?
[01:07.31]Je utavumilia baby?
[01:09.56]Hautoniacha hata iwe nini?
[01:12.11]Utapenda peke yangu?
[01:14.57]Hadi nipate nikupe nini?
[01:16.78]Je utavumilia baby?
[01:19.46]Hautoniacha hata iwe nini?
[01:21.85]Utanilindia penzi langu?
[01:24.39]Hautoniacha juu ya umasikini?
[01:26.57]Hautonuna nikikosa kuja
[01:28.80]Na vitu mafungu?
[01:31.29]Hautonuna nikikosa kazi
[01:33.58]Masiku tabibu ?
[01:35.46]Niambie kama hautanuna
[01:37.36]Nikikosa wiki kuleta kakitu?
[01:41.02] Hautanuna nikikosa
[01:42.79]Uwezo wa nyama baby boo uuh?
[01:45.69]Nikikosa namna leo utanipenda?
[01:48.22]Ama ndio utaniachaga pekee yangu ?
[01:50.49]Nikikosa namna leo utanipenda?
[01:52.96]Ama utatangaza kwa wenzangu?
[01:55.18]Mi mtafutaji natafuta
[01:57.62]Nikipata lazima nitaleta
[01:59.80]Nachojua nikisaka nitapata
[02:02.50]Ninaamini hautoniacha
[02:04.54]Niambie mapema labda sijajua
[02:06.84]Kama unanipenda sana au La
[02:09.76]Kwa moyo wangu ukipenda
[02:11.42]Hautoniacha
[02:12.44]Pekee yangu n'sibaki ubaki
[02:14.35]Je utavumilia baby?
[02:16.79]Hautoniacha hata iwe nini?
[02:19.32]Utanilindia penzi langu?
[02:21.62]Hautoniacha juu ya umasikini?
[02:23.99]Je utavumilia baby?
[02:26.57]Hautoniacha hata iwe nini?
[02:28.92]Utapenda peke yangu?
[02:31.40]Hadi nipate nikupe nini?
[02:33.49]Je utavumilia baby?
[02:36.15]Hautoniacha hata iwe nini?
[02:38.54]Utanilindia penzi langu?
[02:40.91]Hautoniacha juu ya umasikini?

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings