Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mwokozi

๐Ÿ‘ค Paul Clement โ€ข ๐ŸŽผ The Journey โ€ข โฑ๏ธ 3:30
๐ŸŽต 1019 characters
โฑ๏ธ 3:30 duration
๐Ÿ†” ID: 28593013

๐Ÿ“œ Lyrics

Uhakika wa maisha yangu
Ni kwa sababu ninakwamini mungu
Huwezi niacha pekee yangu
Kwenye giza nene umekua nuru

Nakutegemea wewe na sio mtu
Mwanadamu kwamwe hawezi kua mungu
Kwake siwezi weka tumaini langu
Ila kwako mwokozi na mungu wangu

Macho yangu kwako
Nakuangalia weee
Mwokozi ni wewe
Na sina mwingine
Macho yangu kwako
Nakuangalia weee
Mwokozi ni wewe
Na sina mwingine

Bwana ni jabali
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine

Najua una nguvu
Waweza nibeba
Mwanadamu atachoka
Ataniangusha
Mwanadamu hugeuka
Wakati wowote
Ila kwako uhakika
Huwezi nitupa

Milimani, mabondeni Baba (Uko na mimi)
Huwezi niacha njiani maana (ninakuamini)
Masika ama kiangazi Baba (Uko na mimi)
Huwezi niacha gizani maana (ninakuamini)

Macho yangu kwako
Nakuangalia wee
Mwokozi ni wewe
Na sina mwingine
Macho yangu kwako
Nakuangalia We
Mwokozi ni Wewe
Na sina mwingine

Bwana ni jabali langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine

Bwana ni jabali langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings