Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Sio bure

๐Ÿ‘ค FreshBoys, Dayoo โ€ข ๐ŸŽผ Sio bure โ€ข โฑ๏ธ 3:43
๐ŸŽต 1958 characters
โฑ๏ธ 3:43 duration
๐Ÿ†” ID: 28871776

๐Ÿ“œ Lyrics

Oyaa Dyler

Ollah
Wananiita Mangi
Na siku hizi
Sieti again

Anaitwa kichwa muhuni wetu wa Temeke
Haogopi shari, vita, wala maseke
Jana tu kampiga mama yake mateke
Kariakoo kamuibia hela kiwete

Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio

Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa

Kariakoo, Manzese wameshakuchokaah
Ukielekezwa unadai washamba hawajatokaah
Sio bureeh, kaiba Keko bwana huyu mtoto wa kivuleeh
Kama noma na iwe Manyota aende shule

Kama ukipita mtaani kwake washa fegi uonekane kama selaa
Ficha hiko kibegi maana muhuni kitamkera
Akikuuliza chewa sio?
Sio sioo
Pasopa sio?
Fanya kama unapiga sala acha ndala chapa mbio

Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio

Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa

Sio moshi, gambe, au sembe
Labda tuseme vinampa wenge
Bila kikosi, bila ya genge
Singo mtingo anapita denge
Ana balaa huyoo kama mtoto Iddy
Ana vikosi kila mtaa
Kama Generali wa magwiji

Mtaani wanamuita Chaafu
Namba chaafu
Eyes on paper ficha hizo pochi
Ukibisha Unakula kofi
Ukibisha unafuta goti
Tena huku mtaani siku hizi haskiki
Mpaka maskani hwamtaki hapiti
Moko namba akitipa mtiti
Kiubishi ubishi njaa za fisi

Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio

Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa

Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:11.10] Oyaa Dyler
[00:15.52] Ollah
[00:18.14] Wananiita Mangi
[00:20.18] Na siku hizi
[00:21.25] Sieti again
[00:24.94] Anaitwa kichwa muhuni wetu wa Temeke
[00:28.04] Haogopi shari, vita, wala maseke
[00:31.19] Jana tu kampiga mama yake mateke
[00:34.26] Kariakoo kamuibia hela kiwete
[00:37.66] Kavurugwa anabishana na redio
[00:40.98] Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
[00:44.02] Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
[00:47.52] Ukilewa unataka wake wa wenzio
[00:50.52] Sio bure umerogwa
[00:53.54] Sio bure umerogwa
[00:56.67] Sio bure umerogwa
[01:00.13] Sio bure umeroo umerogwa
[01:03.32] Sio bure umerogwa
[01:06.54] Sio bure umerogwa
[01:09.42] Sio bure umerogwa
[01:12.68] Sio bure umeroo umerogwa
[01:16.03] Kariakoo, Manzese wameshakuchokaah
[01:19.43] Ukielekezwa unadai washamba hawajatokaah
[01:22.53] Sio bureeh, kaiba Keko bwana huyu mtoto wa kivuleeh
[01:27.49] Kama noma na iwe Manyota aende shule
[01:29.46] Kama ukipita mtaani kwake washa fegi uonekane kama selaa
[01:32.60] Ficha hiko kibegi maana muhuni kitamkera
[01:35.35] Akikuuliza chewa sio?
[01:37.20] Sio sioo
[01:37.87] Pasopa sio?
[01:38.98] Fanya kama unapiga sala acha ndala chapa mbio
[01:41.59] Kavurugwa anabishana na redio
[01:44.81] Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
[01:48.13] Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
[01:51.38] Ukilewa unataka wake wa wenzio
[01:54.37] Sio bure umerogwa
[01:57.67] Sio bure umerogwa
[02:00.72] Sio bure umerogwa
[02:03.65] Sio bure umeroo umerogwa
[02:07.23] Sio bure umerogwa
[02:10.38] Sio bure umerogwa
[02:13.52] Sio bure umerogwa
[02:16.75] Sio bure umeroo umerogwa
[02:20.38] Sio moshi, gambe, au sembe
[02:21.84] Labda tuseme vinampa wenge
[02:23.40] Bila kikosi, bila ya genge
[02:24.96] Singo mtingo anapita denge
[02:26.57] Ana balaa huyoo kama mtoto Iddy
[02:28.82] Ana vikosi kila mtaa
[02:30.58] Kama Generali wa magwiji
[02:32.47] Mtaani wanamuita Chaafu
[02:34.30] Namba chaafu
[02:34.92] Eyes on paper ficha hizo pochi
[02:36.30] Ukibisha Unakula kofi
[02:38.02] Ukibisha unafuta goti
[02:39.49] Tena huku mtaani siku hizi haskiki
[02:41.37] Mpaka maskani hwamtaki hapiti
[02:42.63] Moko namba akitipa mtiti
[02:44.23] Kiubishi ubishi njaa za fisi
[02:45.76] Kavurugwa anabishana na redio
[02:48.91] Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
[02:51.42] Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
[02:55.15] Ukilewa unataka wake wa wenzio
[02:58.11] Sio bure umerogwa
[03:01.64] Sio bure umerogwa
[03:04.63] Sio bure umerogwa
[03:07.97] Sio bure umeroo umerogwa
[03:11.31] Sio bure umerogwa
[03:14.33] Sio bure umerogwa
[03:17.53] Sio bure umerogwa
[03:20.93] Sio bure umeroo umerogwa
[03:24.12] Kavurugwa anabishana na redio
[03:27.45] Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
[03:30.48] Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
[03:33.51] Ukilewa unataka wake wa wenzio
[03:36.99]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings