Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mwanayumba

๐Ÿ‘ค Chege โ€ข ๐ŸŽผ Chege Singles โ€ข โฑ๏ธ 3:42
๐ŸŽต 2195 characters
โฑ๏ธ 3:42 duration
๐Ÿ†” ID: 28907262

๐Ÿ“œ Lyrics

Oya eh (check it out) (it's a Fish Crab) oya eh (Chege), Mwanayumba
Oya eh (it's a Fish Crab presentation), oya eh (oya eh) oya (Mwanayumba)

Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)

Ujumbe wangu ni mfupi tu
Nawaombeni ndugu na jamaa
Popote pale mlipo
Msikiapo Chege naimba wimbo huu
Nahangaika kumtafuta, kipenzi changu Mwanayumba
Popote pale mtapomuona mwambieni bado nampenda
Sijui kama yuko Kenya, sijui labda yuko Dar Es Salaam
Sijui kama yuko Kigoma, mwambieni bado nampenda
Najua bado ananipenda, na mimi bado nampenda
Sijui nani kamchanganya Mwanayumba hayupo tena nami

Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)

Mwanayumba kwani uko wapi nikufate, mrembo?
Kama uko kwa mama yako mdogo nikufate Mabibo
Mwanayumba kamwe bila wewe sitoweza mpenzi
Nimefunzwa kupenda nisiache tuwe enzi na enzi
Sasa wapi ulipokwenda mpenzi? Umeniacha na majonzi
Sikuoni tena mbele usoni nakuota kwenye njozi
Usiku navuta shuka napapasa sikupati
Ah, ah, ah, ah, ah-h-h ah, ah

Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)

Mkimuona, mkimuona, mkimuona mleteni
Mkimuona, mkimuona, mkimuona mleteni
Mkimuona yule pale, mkimuona mleteni
Mkimuona yule pale, mkimuona mleteni

Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)

Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda

Oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) Mwanayumba
Oya eh (oya eh) (check it out) oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) Mwanayumba

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.15] Oya eh (check it out) (it's a Fish Crab) oya eh (Chege), Mwanayumba
[00:10.34] Oya eh (it's a Fish Crab presentation), oya eh (oya eh) oya (Mwanayumba)
[00:18.21] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[00:22.83] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[00:27.26] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[00:31.75] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[00:36.25] Ujumbe wangu ni mfupi tu
[00:38.20] Nawaombeni ndugu na jamaa
[00:40.86] Popote pale mlipo
[00:43.00] Msikiapo Chege naimba wimbo huu
[00:45.19] Nahangaika kumtafuta, kipenzi changu Mwanayumba
[00:49.86] Popote pale mtapomuona mwambieni bado nampenda
[00:54.28] Sijui kama yuko Kenya, sijui labda yuko Dar Es Salaam
[00:58.67] Sijui kama yuko Kigoma, mwambieni bado nampenda
[01:03.12] Najua bado ananipenda, na mimi bado nampenda
[01:07.42] Sijui nani kamchanganya Mwanayumba hayupo tena nami
[01:12.08] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[01:16.66] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[01:21.04] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[01:25.56] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[01:29.91] Mwanayumba kwani uko wapi nikufate, mrembo?
[01:34.46] Kama uko kwa mama yako mdogo nikufate Mabibo
[01:39.08] Mwanayumba kamwe bila wewe sitoweza mpenzi
[01:43.36] Nimefunzwa kupenda nisiache tuwe enzi na enzi
[01:47.85] Sasa wapi ulipokwenda mpenzi? Umeniacha na majonzi
[01:52.43] Sikuoni tena mbele usoni nakuota kwenye njozi
[01:56.54] Usiku navuta shuka napapasa sikupati
[02:01.00] Ah, ah, ah, ah, ah-h-h ah, ah
[02:05.98] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:10.34] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:14.89] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:19.33] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:23.78] Mkimuona, mkimuona, mkimuona mleteni
[02:28.51] Mkimuona, mkimuona, mkimuona mleteni
[02:32.86] Mkimuona yule pale, mkimuona mleteni
[02:37.35] Mkimuona yule pale, mkimuona mleteni
[02:41.86] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:46.22] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:50.75] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:55.13] Mkimuona Mwanayumba mwambieni bado nampenda (nampenda)
[02:59.42] Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
[03:03.84] Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
[03:08.40] Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
[03:12.80] Eh iye, iye, mwambieni bado nampenda
[03:18.71] Oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) Mwanayumba
[03:27.72] Oya eh (oya eh) (check it out) oya eh (oya eh) oya eh (oya eh) Mwanayumba
[03:36.73]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings