Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Umeshinda

๐Ÿ‘ค Goodluck Gozbert โ€ข ๐ŸŽผ Shukurani โ€ข โฑ๏ธ 5:28
๐ŸŽต 2120 characters
โฑ๏ธ 5:28 duration
๐Ÿ†” ID: 28949047

๐Ÿ“œ Lyrics

Huh, ah, aah
Uraa,
Nikitembea (naona)
Baraka (naona)
Oh, kupona (naona)
Eh, umeshinda Yesu

Nikitembea oh, (naona)
Oh, baraka (naona)
Eh, kupona (naona)
Eh, umeshinda Yesu

Eh, eh

Umefanya mengi yaliyo nje ya fahamu zetu
Yakushindwa mtu, ukautwaa utukufu mkuu
Si wa mashaka, si wasiwasi
ukishatenda inabaki kua ushuhuda mkuu

Yale umefanya yamebadilisha na majina yetu
Kutoka kuchekwa, umeweka kicheko
Waganga walitutesa, hawakuweza kutuponya
Daktari alishasema ya kwamba imeshindikana

Ila kwa damu ya thamani ya Yesu, umeturejesha
Na nimeona oh, nimeona umeshinda

Nikitembea (naona)
Baraka (naona)
Oh, kupona (naona)
Eh, umeshinda Yesu

Nikitembea oh, (naona)
Oh, baraka (naona)
Eh, kupona (naona)
Eh, umeshinda Yesu

Nikitembea oh, (naona)
Oh, baraka (naona)
Eh, kupona (naona)
Eh, umeshinda Yesu

Eh, eh

Yesu, Yesu, Yesu
Jina lako ni tamu
Hata kwa magumu
Bado jina ni tamu

Eh, (Yesu)
Linaondoa Magonjwa (Yesu)
Kiboko ya uchawi (Yesu)
Fufua na wafu (Yesu)
Tetemesha, ah (Yesu)
Linapasua miamba (Yesu)
Vunja ngome kuzimu (Yesu)
Tuna ujasiri (Yesu)
Wewe ni Mungu (Yesu)

(mwanaume)
Mahali ni kimya (mwanaume)
Maana yeye ni Mufalme (mwanaume)
Dunia nzima yatii (mwanaume)
Hakuna wa kumpii Yesu (mwanaume)

Anatawala, ah (mwanaume)
Jemedari wa vita (mwanaume)
Yeye yeh, ie (mwanaume)
Ni Simba wa Yuda (aah)

(ah, ey, ey)
Yesu wee
(ah, ey, ey)
Yesu wee
(ah, ey, ey)
Yesu wee
(ah, ey, ey)
Yesu wee

Oh, asante
(naona)
Kupona
(naona)
(naona umeshinda Yesu)

Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo
Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo

Waganga walitutesa hawakuweza kutuponya
Daktari alishasema ya kwamba imeshindikana
(iigh, iigh)
Oh, you are number one
Eh, you are number one
Oh, you are number one
Sina mwingine (iigh)

(eh, eh) kweli nimeona, kweli nimeona
Wala sihitaji kusimuliwa, matendo yako makuu
Sihitaji kuelezewa (maana nimeona)
Wala sihitaji kusimuliwa, matendo yako makuu
Sihitaji kuelezewa (maana nimeona)
I love you (eeh,)
Ah, aah (ah, eh, eh)
Kupona (ah, eh, eh)
Eh, kupona (maana umeshinda Yesu)

Asante

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings