Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Bado Nakungoja

๐Ÿ‘ค Christina Shusho โ€ข ๐ŸŽผ Nipe Macho โ€ข โฑ๏ธ 6:53
๐ŸŽต 2413 characters
โฑ๏ธ 6:53 duration
๐Ÿ†” ID: 28950732

๐Ÿ“œ Lyrics

Hapo mwanzo mungu aliziumba mbingu na nchi
Nayo nchi ilikuwa ukiwa na utupu
Ngiza lilikuwa juu ya vilini vya maji
Roho ya bwana ikatulia josho wa maji
Mungu akasema iwe nuru ikawa nuru
Mungu akaiona nuru ya kuwani njema
Mungu akaitenga nuru na ngiza
Mungu akaiita nuru mchana giza usiku
Mungu akasema na liwe anga, kati ya maji
Likatenge maji na maji, mungu akaliita lile anga mbinguni
Mungu akapaita pale pakavu nchi
Makusanyiko ya maji akayaita bahari
Nchi itoayo mbegu kwa jinsi yake
Mti uzaao matunda na mbegu zimo ndani yake
Mungu akanena kuwa ni vema

Mungu akasema na iwe mianga
Itenge kati ya mchana na usiku
Iwe ndiyo dalili majira, siku na miaka
Mungu akasema maji yajawe kwa wingi
Ndege waruke juu ya nchi
Mungu akaumba nyangumi wakubwa
Akisema zaeni mkaongezeke
Ndege wazidi katika nchi
Mungu akasema nchi na izae kiumbe kwa jinsi yake
Mungu akafanya mnyama wa mwitu na wa kufugwa
Mungu akasema na tumfanye mtu
Kwa mfano wetu na kwa sura yetu
Wakawatawale samaki wa baharini na ndege wa angani
Wanyama na nchi yote pia na kila kitambaacho
Kwa mfano wa mungu aliumba mwanaumme na mwanamke

Zamu yangu, nakungoja useme
Na
Mungu akaona kila alichofanya na atazama, ni njema
Bado nakungoja
Kila alichosema kikatokea akaona ni njema
Bado nakungoja
Nami nakungoja, baba nakungoja, useme na moyo
Bado nakungoja
Ukisema na moyo, natiwa nguvu, nasonga mbele kwa kazi yako
Bado nakungoja
Sema na kanisa, sema na watu wako baba
Bado nakungoja
Ukisema leo wagonjwa watapona, ukisema leo matasa watazaa
Bado nakungoja
Ukisema leo viziwi wasikia, ukisema leo vipofu wataona
Bado nakungoja
Ukisema leo viwete watembee, ukisema leo mabubu watasema
Bado nakungoja
Sema na nchi, sema na viongozi, sema na taifa
Bado nakungoja
Ukisema leo hakuna vita, ukisema leo hakuna magonvi
Bado nakungoja
Ee bwana kwako wanakuja wote, kila mmoja kwa shida yake
Bado nakungoja
Wawafanya maskini wawe navyo nao wajitegemee
Bado nakungoja
Nimetambua kwamba unayo mengi niyaombayo kwako ni machache
Bado nakungoja
Bado nakingoja unifute machozi, nakungoja unipe mwedo mpya
Bado nakungoja
Mimi nakungoja utimize ahadi, nakungoja bwana nakungoja
Bado nakungoja
Baba nakungoja ujibu maombi nakungoja bwana nakungoja
Bado nakungoja
Baba nakungoja uponye wagonjwa wetu nakungoja baba nakungoja
Bado nakungoja
Bwana nakungoja uwape matasa watoto, nakungoja
Bado nakungoja
Mungu, wewe husemi neno kwa kuwa lina ukweli, bali neno lako ni kweli

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.06] Hapo mwanzo mungu aliziumba mbingu na nchi
[00:13.77] Nayo nchi ilikuwa ukiwa na utupu
[00:19.57] Ngiza lilikuwa juu ya vilini vya maji
[00:24.94] Roho ya bwana ikatulia josho wa maji
[00:30.77] Mungu akasema iwe nuru ikawa nuru
[00:36.17] Mungu akaiona nuru ya kuwani njema
[00:41.48] Mungu akaitenga nuru na ngiza
[00:46.93] Mungu akaiita nuru mchana giza usiku
[00:53.23] Mungu akasema na liwe anga, kati ya maji
[00:58.58] Likatenge maji na maji, mungu akaliita lile anga mbinguni
[01:09.26] Mungu akapaita pale pakavu nchi
[01:14.92] Makusanyiko ya maji akayaita bahari
[01:20.77] Nchi itoayo mbegu kwa jinsi yake
[01:25.92] Mti uzaao matunda na mbegu zimo ndani yake
[01:31.86] Mungu akanena kuwa ni vema
[01:37.30] Mungu akasema na iwe mianga
[01:42.27] Itenge kati ya mchana na usiku
[01:47.83] Iwe ndiyo dalili majira, siku na miaka
[01:53.86] Mungu akasema maji yajawe kwa wingi
[01:58.96] Ndege waruke juu ya nchi
[02:04.21] Mungu akaumba nyangumi wakubwa
[02:10.30] Akisema zaeni mkaongezeke
[02:15.43] Ndege wazidi katika nchi
[02:21.42] Mungu akasema nchi na izae kiumbe kwa jinsi yake
[02:27.27] Mungu akafanya mnyama wa mwitu na wa kufugwa
[02:32.22] Mungu akasema na tumfanye mtu
[02:37.43] Kwa mfano wetu na kwa sura yetu
[02:42.74] Wakawatawale samaki wa baharini na ndege wa angani
[02:48.83] Wanyama na nchi yote pia na kila kitambaacho
[02:54.19] Kwa mfano wa mungu aliumba mwanaumme na mwanamke
[02:59.19] Zamu yangu, nakungoja useme
[03:04.59] Na
[03:06.06] Mungu akaona kila alichofanya na atazama, ni njema
[03:11.06] Bado nakungoja
[03:16.03] Kila alichosema kikatokea akaona ni njema
[03:21.84] Bado nakungoja
[03:27.04] Nami nakungoja, baba nakungoja, useme na moyo
[03:32.92] Bado nakungoja
[03:38.17] Ukisema na moyo, natiwa nguvu, nasonga mbele kwa kazi yako
[03:44.08] Bado nakungoja
[03:49.00] Sema na kanisa, sema na watu wako baba
[03:55.34] Bado nakungoja
[03:59.80] Ukisema leo wagonjwa watapona, ukisema leo matasa watazaa
[04:06.17] Bado nakungoja
[04:11.16] Ukisema leo viziwi wasikia, ukisema leo vipofu wataona
[04:17.27] Bado nakungoja
[04:22.07] Ukisema leo viwete watembee, ukisema leo mabubu watasema
[04:28.13] Bado nakungoja
[04:32.90] Sema na nchi, sema na viongozi, sema na taifa
[04:38.73] Bado nakungoja
[04:44.00] Ukisema leo hakuna vita, ukisema leo hakuna magonvi
[04:48.22] Bado nakungoja
[04:54.93] Ee bwana kwako wanakuja wote, kila mmoja kwa shida yake
[05:01.14] Bado nakungoja
[05:06.75] Wawafanya maskini wawe navyo nao wajitegemee
[05:12.71] Bado nakungoja
[05:16.76] Nimetambua kwamba unayo mengi niyaombayo kwako ni machache
[05:23.38] Bado nakungoja
[05:28.26] Bado nakingoja unifute machozi, nakungoja unipe mwedo mpya
[05:34.49] Bado nakungoja
[05:39.27] Mimi nakungoja utimize ahadi, nakungoja bwana nakungoja
[05:45.25] Bado nakungoja
[05:50.68] Baba nakungoja ujibu maombi nakungoja bwana nakungoja
[05:55.84] Bado nakungoja
[06:01.12] Baba nakungoja uponye wagonjwa wetu nakungoja baba nakungoja
[06:07.52] Bado nakungoja
[06:12.78] Bwana nakungoja uwape matasa watoto, nakungoja
[06:18.57] Bado nakungoja
[06:23.54] Mungu, wewe husemi neno kwa kuwa lina ukweli, bali neno lako ni kweli
[06:49.36]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings