Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Dnd

๐Ÿ‘ค We are Nubia โ€ข ๐ŸŽผ Dnd (feat. Zaituni Wambui) - Single โ€ข โฑ๏ธ 3:35
๐ŸŽต 1408 characters
โฑ๏ธ 3:35 duration
๐Ÿ†” ID: 29727938

๐Ÿ“œ Lyrics

Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Ile swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Ile swali yako leo nakupatia jibu (Run)

Nini umeficha niko curious, can I get to see it?
Your body on my body, and I promise you, I will make you sing
Such a different feeling
When you put it on me now
Kuja nikuonyeshe, joto tupoeshe

Baby legeza, nikupe mapenzi
It's just you and I, bila watu wengi
Privacy DND love (mmh)

Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu

Siwezi ficha hisia zangu
Naitaka kwanza naitaka sana
Usiseme mpenzi hujaonywa
I'm the genie in the bottle na unajua what to do
I promise I'll be good, promise it will be just me and you
Unachotaka sema tu, 'cause I'm stuck to you like glue
Ikibamba basi nipe tena (tena)
Hakuna kulala mpenzi ni kukesha

Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu

Si unajua masaa ni machache
Ukionja utajua ladha yake
Take me high to the moon nifikishe
If you let me, nibembeleze, nibembeleze
Niamini nikudekeze
Baby nibebe, na ukiteleza sitakuwacha chini

Baby legeza, nikupe mapenzi
It's just you and I, bila watu wengi
Privacy DND love

Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.88] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[00:05.21] Ile swali yako leo nakupatia jibu
[00:09.99] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[00:14.66] Ile swali yako leo nakupatia jibu (Run)
[00:19.94] Nini umeficha niko curious, can I get to see it?
[00:24.50] Your body on my body, and I promise you, I will make you sing
[00:29.30] Such a different feeling
[00:31.14] When you put it on me now
[00:33.11] Kuja nikuonyeshe, joto tupoeshe
[00:38.36] Baby legeza, nikupe mapenzi
[00:42.70] It's just you and I, bila watu wengi
[00:46.88] Privacy DND love (mmh)
[00:51.49] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[00:55.95] Hio swali yako leo nakupatia jibu
[01:00.81] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[01:05.22] Hio swali yako leo nakupatia jibu
[01:19.49] Siwezi ficha hisia zangu
[01:24.02] Naitaka kwanza naitaka sana
[01:28.42] Usiseme mpenzi hujaonywa
[01:32.70] I'm the genie in the bottle na unajua what to do
[01:36.93] I promise I'll be good, promise it will be just me and you
[01:41.85] Unachotaka sema tu, 'cause I'm stuck to you like glue
[01:46.80] Ikibamba basi nipe tena (tena)
[01:51.62] Hakuna kulala mpenzi ni kukesha
[01:56.12] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[02:00.45] Hio swali yako leo nakupatia jibu
[02:05.13] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[02:09.77] Hio swali yako leo nakupatia jibu
[02:19.10] Si unajua masaa ni machache
[02:21.60] Ukionja utajua ladha yake
[02:24.06] Take me high to the moon nifikishe
[02:26.39] If you let me, nibembeleze, nibembeleze
[02:30.30] Niamini nikudekeze
[02:32.55] Baby nibebe, na ukiteleza sitakuwacha chini
[02:37.54] Baby legeza, nikupe mapenzi
[02:42.64] It's just you and I, bila watu wengi
[02:46.85] Privacy DND love
[02:51.44] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[02:55.88] Hio swali yako leo nakupatia jibu
[03:00.45] Dalili dalili ya mvua ni mawingu
[03:04.92] Hio swali yako leo nakupatia jibu
[03:10.48]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings