Baridi (feat. Zuchu)
๐ต 1361 characters
โฑ๏ธ 3:09 duration
๐ ID: 30762030
๐ Lyrics
Nawaza mbali sana
Troney eazy, aye yoh Tron
Kuna hadithi za paka na panya
Alafu kuna ya mimi na yeye
Kama mchuzi wangu bila nyanya
Ndio mimi basi siwezi bila yeye
Ni kweli pia napenda utani
Na swala la kumpenda yeye niko serious
Na ukitaka un'jue kiundani
Basi mtongoze nikuonyeshe kazi
Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo
Yaani n'na mmoja mpenzi
Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo
Mimi mambo ya kuchiti siyawezi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
(Habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Mmh
Tron this is amazing
Aah, ni Zuchu-chu-chu-chu
Ewe hakimu mtukufu naomba niiwasilishe kesi
Namleta mhalifu, anafanya moyo wangu uende resi
Huyu kanifanya mimi nimekuwa mseme
Imekuwa ngumu sana, hata tu kutoka nje
Na ukubwa watengana naletewa peremende
N'sipokula twagombana, eti hataki nikonde
Mwenyewe nd'o n'na huyo-huyo
Ya'ni n'na mmoja mpenzi
Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo
Mimi mambo ya kuchiti siyawezi
(Habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
(Ah, habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi (Mi' nahisi baridi)
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Oh baby, yeah, yeah, yeah, yeah
Oh baby, yeah, yeah, yeah, yeah
Baby, yeah, yeah, yeah
Baby, yeah, yeah, yeah, yeah
Ooh
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Troney eazy, aye yoh Tron
Kuna hadithi za paka na panya
Alafu kuna ya mimi na yeye
Kama mchuzi wangu bila nyanya
Ndio mimi basi siwezi bila yeye
Ni kweli pia napenda utani
Na swala la kumpenda yeye niko serious
Na ukitaka un'jue kiundani
Basi mtongoze nikuonyeshe kazi
Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo
Yaani n'na mmoja mpenzi
Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo
Mimi mambo ya kuchiti siyawezi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
(Habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Mmh
Tron this is amazing
Aah, ni Zuchu-chu-chu-chu
Ewe hakimu mtukufu naomba niiwasilishe kesi
Namleta mhalifu, anafanya moyo wangu uende resi
Huyu kanifanya mimi nimekuwa mseme
Imekuwa ngumu sana, hata tu kutoka nje
Na ukubwa watengana naletewa peremende
N'sipokula twagombana, eti hataki nikonde
Mwenyewe nd'o n'na huyo-huyo
Ya'ni n'na mmoja mpenzi
Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo
Mimi mambo ya kuchiti siyawezi
(Habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
(Ah, habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi (Mi' nahisi baridi)
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Oh baby, yeah, yeah, yeah, yeah
Oh baby, yeah, yeah, yeah, yeah
Baby, yeah, yeah, yeah
Baby, yeah, yeah, yeah, yeah
Ooh
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi
Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi