Njiwa | citimuzik.com
๐ต 754 characters
โฑ๏ธ 4:18 duration
๐ ID: 31151195
๐ Lyrics
Wily wily wily willypozee
na nandy dandy
Kama utaenda angalia pa kutua
Kwenye bati au bustani ya maua
Mwambie nampenda ananisumbua
Mwambie nampenda japo kauchubua njiwa
Peleka salamu salamu zangu
me sina khali naona mawingu
nyota nyota mwezi kizunguzungu
Khali sio shwari haki ya Mungu
Nimeshazama kwenye penzi naweza sema nimepagawa
Mwambie sijiwezi ohhhh
Where are you ร3 njiwa) ร2
Njiwa njiwaร4
Mwambie sio chakula tu hata maji me sinywi
Mpaka anatuma watu kina Jose Mbilinyi
Na hizo kauli zake tu ananikata maini
Anacheza karata tatu hata aniamini
Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimepagawa
mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimechachama
mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
(BACK TO CHORUS ร3)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:02.85] Wily wily wily willypozee
[00:07.68] na nandy dandy
[00:12.63] Kama utaenda angalia pa kutua
[00:18.36] Kwenye bati au bustani ya maua
[00:23.75] Mwambie nampenda ananisumbua
[00:29.19] Mwambie nampenda japo kauchubua njiwa
[00:34.13] Peleka salamu salamu zangu
[00:39.46] me sina khali naona mawingu
[00:44.77] nyota nyota mwezi kizunguzungu
[00:50.55] Khali sio shwari haki ya Mungu
[00:54.76] Nimeshazama kwenye penzi naweza sema nimepagawa
[01:00.60] Mwambie sijiwezi ohhhh
[01:05.37] Where are you ร3 njiwa) ร2
[01:15.13] Njiwa njiwaร4
[01:26.63]
[01:37.60] Mwambie sio chakula tu hata maji me sinywi
[01:43.47] Mpaka anatuma watu kina Jose Mbilinyi
[01:48.65] Na hizo kauli zake tu ananikata maini
[01:54.02] Anacheza karata tatu hata aniamini
[01:58.80] Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimepagawa
[02:04.85] mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
[02:10.01] Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimechachama
[02:15.67] mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
[02:22.02]
[02:30.12] (BACK TO CHORUS ร3)
[02:30.97]