Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Usiyeshidwa

๐Ÿ‘ค Paul Clement โ€ข ๐ŸŽผ Usiyeshindwa โ€ข โฑ๏ธ 9:39
๐ŸŽต 2492 characters
โฑ๏ธ 9:39 duration
๐Ÿ†” ID: 31260910

๐Ÿ“œ Lyrics

Mauti nayo, mauti nayo ulishinda
Unaitwa Simba tena wa Yuda
Kushindwa hujui hiyo agenda
Ndio maana mimi nakuimba
Unaponya bila Bila sindano kudunga
Kwa nguvu za giza bwana wewe hunilinda
Kwenye mangonjwa bwana wewe huniponya
Nikiwa na wewe Sina budi kuringa
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote-chochote kile
Wewe ni wa pekee, wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee (one more time)
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee

Ni wewe, usiyeshindwa
Ni wewe, oh mungu wangu, usiyeshindwa
Oh mungu wangu, ni wewe, yeah baba yangu, usiyeshindwa
Ni wewe, niwewe, ni wewe eh eh, usiyeshindwa
Ni wewe bwana, niwewe, mh mh, usiyeshindwa
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema wewe
Wewe, haulinganishwi kamwe (no no no) na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema tena we mfalme
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Sema ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe, usiyeshindwa, ni wewe bwana, ni wewe
Mungu wa miungu, usiyeshindwa
Mfalme wa wafalme, bwana wa mabwana
Ni wewe, wewe ni mungu usiyendwa bwana, usiyeshindwa
Ulikuweko toka zamani, ni wewe
Utakuwepo hata milele, usiyeshindwa
Ati umefanya mbingu na nchi, ni wewe
Na ukatufanya kwa mfano wako, usiyeshindwa
Umenifanya kwa sura yako, ni wewe
Ili nifanane na wewe mungu, usiyeshindwa
Unaishi ndani yangu, ni wewe
Tena unadumu ndani yangu, usiyeshindwa
Utabaki milele na milele, ni wewe
Wala hufananishwi na mtu yeyote, usiyeshindwa
Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, ni wewe
Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, usiyeshindwa, oh

Sema ni ni wewe bwana, ni wewe
Ni wewe, usiyeshindwa, niwewe, ni wewe
Umeketi juu ya vyote, usiyeshindwa
Bwana ni wewe, ni wewe
Wala sina mashaka na wewe mfalme, usiyeshindwa
Bwana ni wewe, ni wewe
Tunakutaja, tunakutaja, usiyeshindwa
Bwana ni wewe, ni wewe
Unadumu vizazi na vizazi, vizazi na vizazi, usiyeshindwa
Ni wewe, usiyeshindwa, no
Ni wewe, eh eh eh eh, usiyeshindwa
Ni wewe, eheheheheeh, usiyeshindwa
Ni wewe, eheehehee, usiyeshindwa oh oooh
Ni wewe, sema usiyeshindwa (usiyeshindwa)
Oh oh mh (ni wewe usiyeshindwa)
Mungu wangu mungu wangu (ni wewe usiyeshindwa)
One more time say (ni wewe usiyeshindwa)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:45.98] Mauti nayo, mauti nayo ulishinda
[00:49.39] Unaitwa Simba tena wa Yuda
[00:52.17] Kushindwa hujui hiyo agenda
[00:55.30] Ndio maana mimi nakuimba
[00:58.23] Unaponya bila Bila sindano kudunga
[01:01.31] Kwa nguvu za giza bwana wewe hunilinda
[01:04.01] Kwenye mangonjwa bwana wewe huniponya
[01:06.99] Nikiwa na wewe Sina budi kuringa
[01:10.30] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[01:17.36] Wewe ni wa pekee
[01:21.25] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[01:28.85] Wewe ni wa pekee
[01:31.85] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[01:40.58] Wewe ni wa pekee
[01:44.12] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote-chochote kile
[01:52.52] Wewe ni wa pekee, wewe
[01:56.13] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[02:03.98] Wewe ni wa pekee
[02:06.83] Sema wewe
[02:08.10] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[02:15.23] Wewe ni wa pekee (one more time)
[02:18.13] Sema wewe
[02:19.78] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[02:27.27] Wewe ni wa pekee
[02:30.20]
[02:33.05] Ni wewe, usiyeshindwa
[02:44.89] Ni wewe, oh mungu wangu, usiyeshindwa
[02:54.13] Oh mungu wangu, ni wewe, yeah baba yangu, usiyeshindwa
[03:06.07] Ni wewe, niwewe, ni wewe eh eh, usiyeshindwa
[03:17.06] Ni wewe bwana, niwewe, mh mh, usiyeshindwa
[03:28.75] Sema wewe
[03:30.63] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[03:37.35] Wewe ni wa pekee
[03:40.04] Sema wewe
[03:41.90] Wewe, haulinganishwi kamwe (no no no) na kitu chochote kile
[03:49.66] Wewe ni wa pekee
[03:52.07] Sema tena we mfalme
[03:53.91] Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
[04:01.08] Wewe ni wa pekee
[04:03.85] Sema ni wewe bwana
[04:07.51] Ni wewe, ni wewe, usiyeshindwa, ni wewe bwana, ni wewe
[04:23.53] Mungu wa miungu, usiyeshindwa
[04:27.72] Mfalme wa wafalme, bwana wa mabwana
[04:31.07] Ni wewe, wewe ni mungu usiyendwa bwana, usiyeshindwa
[04:39.29] Ulikuweko toka zamani, ni wewe
[04:44.60] Utakuwepo hata milele, usiyeshindwa
[04:50.99] Ati umefanya mbingu na nchi, ni wewe
[04:56.32] Na ukatufanya kwa mfano wako, usiyeshindwa
[05:02.23] Umenifanya kwa sura yako, ni wewe
[05:08.38] Ili nifanane na wewe mungu, usiyeshindwa
[05:13.85] Unaishi ndani yangu, ni wewe
[05:19.64] Tena unadumu ndani yangu, usiyeshindwa
[05:25.80] Utabaki milele na milele, ni wewe
[05:31.39] Wala hufananishwi na mtu yeyote, usiyeshindwa
[05:37.52] Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, ni wewe
[05:43.48] Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, usiyeshindwa, oh
[05:55.13]
[06:36.75] Sema ni ni wewe bwana, ni wewe
[06:42.72] Ni wewe, usiyeshindwa, niwewe, ni wewe
[06:54.21] Umeketi juu ya vyote, usiyeshindwa
[06:59.62] Bwana ni wewe, ni wewe
[07:04.99] Wala sina mashaka na wewe mfalme, usiyeshindwa
[07:11.27] Bwana ni wewe, ni wewe
[07:16.95] Tunakutaja, tunakutaja, usiyeshindwa
[07:23.04] Bwana ni wewe, ni wewe
[07:28.41] Unadumu vizazi na vizazi, vizazi na vizazi, usiyeshindwa
[07:37.75] Ni wewe, usiyeshindwa, no
[07:49.10] Ni wewe, eh eh eh eh, usiyeshindwa
[07:59.68] Ni wewe, eheheheheeh, usiyeshindwa
[08:11.06] Ni wewe, eheehehee, usiyeshindwa oh oooh
[08:35.68] Ni wewe, sema usiyeshindwa (usiyeshindwa)
[08:45.14] Oh oh mh (ni wewe usiyeshindwa)
[08:57.88] Mungu wangu mungu wangu (ni wewe usiyeshindwa)
[09:09.72] One more time say (ni wewe usiyeshindwa)
[09:22.05]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings