Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

New Day

๐Ÿ‘ค Angel Benard โ€ข ๐ŸŽผ Siku Mpya New Day โ€ข โฑ๏ธ 4:23
๐ŸŽต 708 characters
โฑ๏ธ 4:23 duration
๐Ÿ†” ID: 31263569

๐Ÿ“œ Lyrics

Its a new day (uuooh)ร—2
Jana kwaheri, natabasamu ninakuaga bye bye bye byeeeeee
Jana kwaheriii, hatimaye umekwenda bye bye bye bye
Kama ungekua ni wa kudumuuuu sijui iii ningefanya niniiii
Sikujui ii ninakushukuru uuu umenii nifundisha mengi
Nilipanda nilivuna
Nilicheka nililiaaa
Nilipata nilikosaa
Its a new day aaaah heiiiii ร—2
I've a new
Jana kuna wanao tamani udumu na wao maana wamejawa imani uherii ya leo
Jana kuna wanao tamani uende usirudi maana wamejawa imani leo ni zaidi
Ila mimi sina matata na wewe
Naamini ninahatua nyinginee
Ulonifunza nimeandika moyoni
Umepita nina mapya akilini
Nilipanda nikavuna
Nililia nilichekaaa
Nilipata nilikosa
This is a new day
Its a new day aaaah ...uuuuu
(End)

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings