Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Bongo Hip Hop

๐Ÿ‘ค Fid Q, P-funk Majani โ€ข ๐ŸŽผ Kitaaolojia โ€ข โฑ๏ธ 4:08
๐ŸŽต 3532 characters
โฑ๏ธ 4:08 duration
๐Ÿ†” ID: 31673322

๐Ÿ“œ Lyrics

Ulianza wewe, wakaja waimbaji na wabana pua
Wale mwewe, Franga wawindaji wakatusua
Kwakuwa, wanajua mshikaji unaishi kwa miko
Na zako itikadi, ziko kimziki na sio mshiko
Kama haileti hela, basi haimake sense,
No sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi
Sikusound garbage au kuchange suddenly
Mie ni mjeshi so naweza fight savagely
Hiphop ya ukweli,
Ikapigwa radioni
Malaika wa kheri nao hutembelea motoni
Penzi ni kipofu na anayemuona halioni
Sikuwa na hofu, mama alinipenda tangu nikiwa tumboni
I started young, I made my mother's womb a drum
My umblirical chord a guitar, muhoji aliyenizaa
Bongo Flava mzuri kiasi, hiphop we ndo my queen
My 1st my last & everything in between

Mimi na wewe, tangu long time
Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Chaajabu hujabadilika na uko Mwenye main stream
Bongo Hiphop
Bongo Hiphop

Mimi na wewe, tangu long time
Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Chaajabu hujabadilika na uko Mwenye main stream
Bongo Hiphop
Bongo Hiphop

Kama kukupenda wewe ni dhambi, basi shetani yu nami
Na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani
For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey
Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee
Waufuate mkumbo huu wa wasomi, wa midundo na mistari
Ukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumari
Sio tu bongo, mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari
Kuna uhuru wa mwenye chombo, mitambo na mwenye mali
Kujifanya hawasikii, haiwasaidii, wala haiwajengi
Unachosema ni, kamwe IPP haitompinga Mengi
Unawakumbusha wazazi wa uswazi, chati ya uteja imeingia
Na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia
Mbaya, kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati
Mbaya zaidi ni kuwa na ndugu, halafu kichwa maji

Amka bongo lala, hiphop sio ufala, ni lazima uifate
Uaminifu ni kama mshahara, fanya kazi ili uupate

Mimi na wewe, tangu long time
Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream
Bongo Hiphop
Bongo Hiphop

Mimi na wewe, tangu long time
Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Chaajabu hujabadilika na uko Mwenye main stream
Bongo Hiphop
Bongo Hiphop

Mapenzi ya sikuhizi, bila kugombana yanakua hayana stimu
Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu
Inanipa wazimu, kusikia kimwana haujaachana na Hasheem
Na bado mnawasiliana, una mpango wa kuchanganya timu?
Nakupenda hiphop, ndo maana ninarap ile mbaya
Naspit fire bila hennessy, au kula kaya
I want my art to be my legacy, kabla sijaretire,
Waanze nigwaya hawa enemies
Anyways ni hayo tu
Beef huletwa na wivu na wivu sio hiphop
MC nayetaka beef amlete Maza ake kwa strip club
Bongo flava ananipima kama nimeiva kimasomo
Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common
Cha ajabu hunitempt ili nikuache hip hop
Anaahidi atanipa good sex wewe unanipa true lover
Hajui who's next. wewe unanipa tu mashavu
Nikipaa. anaumia. anatamani nishuke chini
Nami sikutamani ustaa
Ustaa ulinitamani mimi
Nilichohitaji ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi
Hii zawadi. niliyopewa na mpaji ninayemuamini
Mpaji aliyenivika taji ilimradi incharge ni win
Na ninaamini kuna muda huongea kwa kupitia mimi
Na hunisamehe ninapokosea. ni vyema mkanizoea nyinyi
Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha
Nikitoa ngoma wanaitaka wanaipata
Coz wewe ni special

Mimi na wewe, tangu long time
Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream
Bongo Hiphop
Bongo Hiphop

Mimi na wewe, tangu long time
Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream
Bongo Hiphop
Bongo Hiphop

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:20.38] Ulianza wewe, wakaja waimbaji na wabana pua
[00:21.75] Wale mwewe, Franga wawindaji wakatusua
[00:24.13] Kwakuwa, wanajua mshikaji unaishi kwa miko
[00:27.77] Na zako itikadi, ziko kimziki na sio mshiko
[00:30.47] Kama haileti hela, basi haimake sense,
[00:32.75] No sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi
[00:34.76] Sikusound garbage au kuchange suddenly
[00:37.67] Mie ni mjeshi so naweza fight savagely
[00:40.25] Hiphop ya ukweli,
[00:42.06] Ikapigwa radioni
[00:43.62] Malaika wa kheri nao hutembelea motoni
[00:45.59] Penzi ni kipofu na anayemuona halioni
[00:48.53] Sikuwa na hofu, mama alinipenda tangu nikiwa tumboni
[00:50.95] I started young, I made my mother's womb a drum
[00:52.64] My umblirical chord a guitar, muhoji aliyenizaa
[00:55.88] Bongo Flava mzuri kiasi, hiphop we ndo my queen
[00:57.93] My 1st my last & everything in between
[01:01.12] Mimi na wewe, tangu long time
[01:02.74] Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
[01:06.20] Chaajabu hujabadilika na uko Mwenye main stream
[01:08.49] Bongo Hiphop
[01:09.97] Bongo Hiphop
[01:11.62] Mimi na wewe, tangu long time
[01:14.53] Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
[01:16.33] Chaajabu hujabadilika na uko Mwenye main stream
[01:18.41] Bongo Hiphop
[01:20.49] Bongo Hiphop
[01:21.51] Kama kukupenda wewe ni dhambi, basi shetani yu nami
[01:23.53] Na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani
[01:26.97] For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey
[01:29.75] Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee
[01:31.62] Waufuate mkumbo huu wa wasomi, wa midundo na mistari
[01:33.92] Ukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumari
[01:36.68] Sio tu bongo, mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari
[01:40.79] Kuna uhuru wa mwenye chombo, mitambo na mwenye mali
[01:41.90] Kujifanya hawasikii, haiwasaidii, wala haiwajengi
[01:44.63] Unachosema ni, kamwe IPP haitompinga Mengi
[01:46.96] Unawakumbusha wazazi wa uswazi, chati ya uteja imeingia
[01:50.56] Na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia
[01:52.79] Mbaya, kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati
[01:56.12] Mbaya zaidi ni kuwa na ndugu, halafu kichwa maji
[01:57.98] Amka bongo lala, hiphop sio ufala, ni lazima uifate
[02:00.48] Uaminifu ni kama mshahara, fanya kazi ili uupate
[02:02.56] Mimi na wewe, tangu long time
[02:04.33] Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
[02:07.53] Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream
[02:09.84] Bongo Hiphop
[02:11.57] Bongo Hiphop
[02:12.65] Mimi na wewe, tangu long time
[02:14.79] Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
[02:18.78] Chaajabu hujabadilika na uko Mwenye main stream
[02:20.43] Bongo Hiphop
[02:22.06] Bongo Hiphop
[02:23.10] Mapenzi ya sikuhizi, bila kugombana yanakua hayana stimu
[02:26.17] Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu
[02:28.58] Inanipa wazimu, kusikia kimwana haujaachana na Hasheem
[02:32.41] Na bado mnawasiliana, una mpango wa kuchanganya timu?
[02:33.87] Nakupenda hiphop, ndo maana ninarap ile mbaya
[02:36.20] Naspit fire bila hennessy, au kula kaya
[02:38.65] I want my art to be my legacy, kabla sijaretire,
[02:41.14] Waanze nigwaya hawa enemies
[02:43.15] Anyways ni hayo tu
[02:44.17] Beef huletwa na wivu na wivu sio hiphop
[02:46.97] MC nayetaka beef amlete Maza ake kwa strip club
[02:48.94] Bongo flava ananipima kama nimeiva kimasomo
[02:51.87] Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common
[02:53.87] Cha ajabu hunitempt ili nikuache hip hop
[02:56.08] Anaahidi atanipa good sex wewe unanipa true lover
[02:59.33] Hajui who's next. wewe unanipa tu mashavu
[03:01.13] Nikipaa. anaumia. anatamani nishuke chini
[03:04.68] Nami sikutamani ustaa
[03:07.06] Ustaa ulinitamani mimi
[03:08.12] Nilichohitaji ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi
[03:10.47] Hii zawadi. niliyopewa na mpaji ninayemuamini
[03:12.22] Mpaji aliyenivika taji ilimradi incharge ni win
[03:14.66] Na ninaamini kuna muda huongea kwa kupitia mimi
[03:17.80] Na hunisamehe ninapokosea. ni vyema mkanizoea nyinyi
[03:20.97] Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha
[03:22.63] Nikitoa ngoma wanaitaka wanaipata
[03:23.96] Coz wewe ni special
[03:26.16] Mimi na wewe, tangu long time
[03:27.61] Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
[03:31.49] Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream
[03:33.83] Bongo Hiphop
[03:34.62] Bongo Hiphop
[03:36.17] Mimi na wewe, tangu long time
[03:37.52] Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
[03:39.93] Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream
[03:42.64] Bongo Hiphop
[03:44.83] Bongo Hiphop
[03:48.09]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings