Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Amejibeba

๐Ÿ‘ค FLEXX โ€ข ๐ŸŽผ Best of Kenyan Local Classics 6 โ€ข โฑ๏ธ 4:06
๐ŸŽต 2174 characters
โฑ๏ธ 4:06 duration
๐Ÿ†” ID: 3186471

๐Ÿ“œ Lyrics

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame amejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame amejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

Nimeamua ni wewe kabisa
Ata kama ex wako anajitisha
Ndio kwa maana wewe kimaisha
Nitakupa bila kukupima
Mtoto manze wewe umeiva
Wee jua ni ukweli sio sifa
Kama umbo ungeua
Ungeua wengi bila ata kujua

Attitude yako vile noma
Wee si m-softie na umesoma
Mpaka mabuda wanatamani
Vile wanaeza penya ndani
Uking'ara mini uvue nguo zangu
Wanakaribia kuchungulia ndio zao
Uki-smile alafu wakulie vako
Wanashika adabu
Wanatokwa

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame amejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame amejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

Nina kamoka sijaigongesha
Mchezo bado sijaipoteza
Ni vile nimekuwa nikikusoma
Sa na-fantasise vile naeza kuona
Smell ya perfume yako ni poa
Tena dress code yako ni ya power
Ina-show features zote uko nazo
No wonder kila mtu anataka apite nazo

Attitude yako vile noma
Wee si m-softie na umesoma
Mpaka mabuda wanatamani
Vile wanaeza penya ndani
Uking'ara mini uvue nguo zangu
Wanakaribia kuchungulia ndio zao
Uki-smile alafu wakulie vako
Wanashika adabu
Wanatokwa

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame amejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame amejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

Umejibeba ata usipunguze
Nikiweka ata usiulize
Nikiigeuza hata usitete
Na nikimaliza hata usinilenge
Wee ni definition poa ya mwanamke
Mjanja size yake na bado ana mateke
Nikakukosa inaeza kuwa blunder
Sababu nahofia naeza rudia kuhanya

Attitude yako vile noma
Wee si m-softie na umesoma
Mpaka mabuda wanatamani
Vile wanaeza penya ndani
Uking'ara mini uvue nguo zangu
Wanakaribia kuchungulia ndio zao
Uki-smile alafu wakulie vako
Wanashika adabu
Wanatokwa

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame amejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

Kujua vile manzi mi hum-feel
Nipatane na dame a
Mejibeba
Alafu awe mjanja tena
Lazima itanibamba vimeja

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings