Amenisaidia
๐ต 206 characters
โฑ๏ธ 9:23 duration
๐ ID: 3186473
๐ Lyrics
Nilipokua uchi alinisitiri
Nilipolia pia alinifariji
Ni Mungu mwenye upendo
Onjeni y kwamba ni mwema
Mungu mwenye utajiri wa upendo
Ni nini kizidicho upendo wake
Wonyesho kamili wa upendo
Mtakatifu uinuliwe
Nilipolia pia alinifariji
Ni Mungu mwenye upendo
Onjeni y kwamba ni mwema
Mungu mwenye utajiri wa upendo
Ni nini kizidicho upendo wake
Wonyesho kamili wa upendo
Mtakatifu uinuliwe