Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Baba Yao

๐Ÿ‘ค Jua Cali โ€ข ๐ŸŽผ Tugenge Yajayo โ€ข โฑ๏ธ 3:26
๐ŸŽต 1803 characters
โฑ๏ธ 3:26 duration
๐Ÿ†” ID: 3186517

๐Ÿ“œ Lyrics

Hauezi nieka chini Me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Chini ya maji naona wakinyemelea
Na roho zao mbaya na zimezea
Walichukua vako yangu wakapotea nayo
Sa wanataka kuchukua Jina yangu wapotee nayo haiezekani kabisa watu wangu
Kwani hamuoni bado napumua hewa yangu
Niliamua kuchukua break kidogo
Sa hii wanapiga kelele wakispread uongo
Wanajaribu kunieka chini nainuka
Wanajaribu kunipiga mpini lakini naziskuma
Wanachora picha mbaya haina noma
Badae watajua nani anasonga

Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Hii kitu nimepewa na Mungu uezininyanganya
Mafans wangu sugu uezi wadanganya
Tumekua hapa zaidi ya miaka kumi
Nadhani sahii mnajua hizo matusi zenu hazitusumbii
Mwenye nguvu chali yangu mpishe
Compe ni Compe yule noma ashinde
Msani ustegemee sana watu wa...
Chali yangu hivi karibuni watakukimbia
Wachore mtu wangu jisaidie
Watoke mtu wangu jismamie
Wanakueka chini ndio wao wafeel wako juu
Badae wanaonyesha nani ako juu

Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Kila siku kazi yangu imekua mistari
Kila siku kazi yao imekua utiaji
Nimedumu kwa industry nipe heshima yangu
Na hustle ndio uzeeni nikule bidii yangu
Unataka nisote mpaka nizimie
Ama mafans wangu wote wanikimbie
Haiwezekani kabisa watu wangu
Kwani hauoni namaliza album yangu
Utaharibu aje kitu haujatengeneza
Ama unajijazia ulisaidia kujenga
Tafadhali usifanye nicheke
Genge iko hapa mpende msipende
Hii ndio kitu me naminia
Na milele me nitasimamia
Nikisaidiwa na jeshi mzima
Na fans wangu zaidi ya milioni sita

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.65] Hauezi nieka chini Me ni baba yao me ni baba yao
[00:11.40] Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
[00:16.66] Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
[00:25.37] Chini ya maji naona wakinyemelea
[00:28.31] Na roho zao mbaya na zimezea
[00:31.18] Walichukua vako yangu wakapotea nayo
[00:33.26] Sa wanataka kuchukua Jina yangu wapotee nayo haiezekani kabisa watu wangu
[00:37.21] Kwani hamuoni bado napumua hewa yangu
[00:39.93] Niliamua kuchukua break kidogo
[00:41.91] Sa hii wanapiga kelele wakispread uongo
[00:44.27] Wanajaribu kunieka chini nainuka
[00:46.59] Wanajaribu kunipiga mpini lakini naziskuma
[00:48.59] Wanachora picha mbaya haina noma
[00:51.09] Badae watajua nani anasonga
[00:52.82] Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao
[01:01.33] Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
[01:08.08] Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
[01:10.15] Hii kitu nimepewa na Mungu uezininyanganya
[01:13.24] Mafans wangu sugu uezi wadanganya
[01:15.01] Tumekua hapa zaidi ya miaka kumi
[01:17.79] Nadhani sahii mnajua hizo matusi zenu hazitusumbii
[01:19.52] Mwenye nguvu chali yangu mpishe
[01:21.88] Compe ni Compe yule noma ashinde
[01:23.75] Msani ustegemee sana watu wa...
[01:26.42] Chali yangu hivi karibuni watakukimbia
[01:28.51] Wachore mtu wangu jisaidie
[01:31.22] Watoke mtu wangu jismamie
[01:33.29] Wanakueka chini ndio wao wafeel wako juu
[01:35.37] Badae wanaonyesha nani ako juu
[01:37.65] Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
[01:45.74] Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
[01:50.11] Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
[01:54.75] Kila siku kazi yangu imekua mistari
[01:57.10] Kila siku kazi yao imekua utiaji
[01:59.58] Nimedumu kwa industry nipe heshima yangu
[02:02.06] Na hustle ndio uzeeni nikule bidii yangu
[02:03.98] Unataka nisote mpaka nizimie
[02:06.44] Ama mafans wangu wote wanikimbie
[02:08.49] Haiwezekani kabisa watu wangu
[02:10.92] Kwani hauoni namaliza album yangu
[02:13.05] Utaharibu aje kitu haujatengeneza
[02:15.46] Ama unajijazia ulisaidia kujenga
[02:17.21] Tafadhali usifanye nicheke
[02:19.95] Genge iko hapa mpende msipende
[02:22.16] Hii ndio kitu me naminia
[02:23.93] Na milele me nitasimamia
[02:26.58] Nikisaidiwa na jeshi mzima
[02:28.54] Na fans wangu zaidi ya milioni sita
[02:31.00]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings