Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kioo

๐Ÿ‘ค Anjella feat. Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Kioo โ€ข โฑ๏ธ 4:22
๐ŸŽต 1655 characters
โฑ๏ธ 4:22 duration
๐Ÿ†” ID: 3187032

๐Ÿ“œ Lyrics

Bboy beats
Konde boy call me number one
Bakhresa aiiih
Angella aaaah

Na ikitokea umemuona mvute chini umvambie
Mwenzake me sijiwezi
Yeye ndio wakunifanya nikapona mwana wa mwenzie
Haya maradhi ya mapenzi
Anaposhika akipaacha sipaoni
Sometimes i feel kaniita peponi
Akija pangoni ulimi sikioni
She turn me oooh on

Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah)
Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah)

Baby nataka kiwe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe

Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe

Ah kwenye kivuli cha picha yangu nakuona wewe my boo yeah
You do me like I do (mmmmh)
Tuwapa maswali yasiyo na jibu tuwapunguze gubu
Tuzichore tattoo mmmh yeeeeiiih
Yani nimeoza kwako chaka chaka
Kipa magoli kwako nanyaka nyaka
Chochea kuni moto tayari nishawaka (mmmh yooo)

Ukizama unapagusa unapotaka
Swala la ufundi sina shaka
Ndani ya moyo nishakupa madaraka aaah
Only you baby mwengine sidhani
Nimekuweka ndotoni nimekuvika kidani cha mapenzi

Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah)
Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah)

Baby nataka kiwe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe

Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Only you baby mwengine sidhani
Nimekuweka ndotoni nimekuvika kidani cha mapenzi

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings