Kipi Sijasikia
๐ต 2624 characters
โฑ๏ธ 4:05 duration
๐ ID: 3187035
๐ Lyrics
Niliacha kazi nifanye mziki wakatabiri nitalost
Wengine wakanishawishi turoge kuondoa mikosi
Nakomaa na muziki ingawa jua la utosi
Naamini wote tunapita na kamwe maiti haijioshi
Jina langu lishatumika sana kutajirisha watu
Nyota Ndogo alishasema kuna watu na viatu
Bunduki haiuwi watu ila watu ndio wanauwa watu
Dunia kama jalala tazama kwa jicho la tatu
Ni saa mbaya watu wanahusda na roho mbaya
Tunawaita watakatifu kumbe ndio ma vampire
Yalisemwa mengi demu wangu alivyotoroka
Ni fundisho tosha na changamoto kwa mwanachoka
Nimepita mengi mitihani ya kila namna
Ndio maana mi sishangai wakiniita mbeba lawama
Washkaji wengine feki kwenye deal hawakujui
Wanadhani kila jogoo akiwika ni asubuhi
Riziki hamuezi iziba labda mtaichelewesha tu
Mnakesha mnishushe mwenyezi ananipaisha
Kote mlikobana kidume ndo natusua
Mnanijua nakamua roho za wanga zinaungua
Ah! unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde
Kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde
Unayehukumu ni wewe mwenyezi Mungu naomba unilinde
Kwenye hii vita milele mwanachoka daima nishinde
Walishazusha nimekufa eti nimepata ajali
Washindwe na walegee Mwenyezi niepushie mbali
Wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla
Wanataka kunizika mzima kabla sijafa
Waliosema nina ngoma wengine tushafukia
Wanaomba nife leo naamini watatangulia
Mama pumzika pema daima tunakulilia
Na bado wanachonga sana but man the king is here
Daima mtaji wangu ni nguvu zangu mwenyewe
Simwamini mtu kamwe najiamini mi mwenyewe
Hata nikinywa maji wanadhai nakunywa pombe
Mi sijali I knock them hard mwanalizombe
Bado tunapambana kibarua kisiote nyasi
Daima sitawadhuru wale wote walioniasi
Nikikaa kimya msidhani sijasikia
Sio bahati sio ngekewa ni sauti iliobarikiwa holla
Unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde

Mungu walaze pema waliyosemwa wakajiua
Ingawa wote tunapita naamini maisha ni hatua
Maneno ya watu sumu yanaponya na yanauwa
Please nipe ujasiri mpaka siku ukinichukua
Wape nguvu wale wote waliokata tamaa
Maneno yanaleta hila na mzozo kwenye mitaa
Wanahesabu mabaya tu na mema hawayaoni
Wanakuchekea machoni wanakuroga moyoni
Wanacheka chinichini wakati una msiba
Wa kwanza kukutangaza kwa watu ukiwa na shida
Wanatamani wapanguwe kila Mola alichopanga
Wanatangaza amani huku wameficha mapanga

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:17.32] Niliacha kazi nifanye mziki wakatabiri nitalost
[00:21.53] Wengine wakanishawishi turoge kuondoa mikosi
[00:24.08] Nakomaa na muziki ingawa jua la utosi
[00:26.85] Naamini wote tunapita na kamwe maiti haijioshi
[00:29.14] Jina langu lishatumika sana kutajirisha watu
[00:31.40] Nyota Ndogo alishasema kuna watu na viatu
[00:33.90] Bunduki haiuwi watu ila watu ndio wanauwa watu
[00:36.32] Dunia kama jalala tazama kwa jicho la tatu
[00:38.88] Ni saa mbaya watu wanahusda na roho mbaya
[00:41.25] Tunawaita watakatifu kumbe ndio ma vampire
[00:43.62] Yalisemwa mengi demu wangu alivyotoroka
[00:46.11] Ni fundisho tosha na changamoto kwa mwanachoka
[00:48.62] Nimepita mengi mitihani ya kila namna
[00:50.99] Ndio maana mi sishangai wakiniita mbeba lawama
[00:53.37] Washkaji wengine feki kwenye deal hawakujui
[00:55.95] Wanadhani kila jogoo akiwika ni asubuhi
[00:58.24] Riziki hamuezi iziba labda mtaichelewesha tu
[01:00.91] Mnakesha mnishushe mwenyezi ananipaisha
[01:03.25] Kote mlikobana kidume ndo natusua
[01:05.60] Mnanijua nakamua roho za wanga zinaungua
[01:08.28] Ah! unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde
[01:13.26] Kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde
[01:18.48] Unayehukumu ni wewe mwenyezi Mungu naomba unilinde
[01:23.04] Kwenye hii vita milele mwanachoka daima nishinde
[01:27.78] Walishazusha nimekufa eti nimepata ajali
[01:30.32] Washindwe na walegee Mwenyezi niepushie mbali
[01:32.75] Wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla
[01:35.16] Wanataka kunizika mzima kabla sijafa
[01:37.61] Waliosema nina ngoma wengine tushafukia
[01:40.15] Wanaomba nife leo naamini watatangulia
[01:42.45] Mama pumzika pema daima tunakulilia
[01:44.83] Na bado wanachonga sana but man the king is here
[01:47.48] Daima mtaji wangu ni nguvu zangu mwenyewe
[01:49.94] Simwamini mtu kamwe najiamini mi mwenyewe
[01:52.39] Hata nikinywa maji wanadhai nakunywa pombe
[01:54.82] Mi sijali I knock them hard mwanalizombe
[01:57.34] Bado tunapambana kibarua kisiote nyasi
[01:59.78] Daima sitawadhuru wale wote walioniasi
[02:02.15] Nikikaa kimya msidhani sijasikia
[02:04.73] Sio bahati sio ngekewa ni sauti iliobarikiwa holla
[02:07.53] Unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde
[02:12.29] Kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde
[02:17.35] Unayehukumu ni wewe mwenyezi Mungu naomba unilinde
[02:21.95] Kwenye hii vita milele mwanachoka daima nishinde
[02:26.97] Mungu walaze pema waliyosemwa wakajiua
[02:29.22] Ingawa wote tunapita naamini maisha ni hatua
[02:31.61] Maneno ya watu sumu yanaponya na yanauwa
[02:34.31] Please nipe ujasiri mpaka siku ukinichukua
[02:36.54] Wape nguvu wale wote waliokata tamaa
[02:39.06] Maneno yanaleta hila na mzozo kwenye mitaa
[02:41.42] Wanahesabu mabaya tu na mema hawayaoni
[02:43.82] Wanakuchekea machoni wanakuroga moyoni
[02:46.23] Wanacheka chinichini wakati una msiba
[02:48.71] Wa kwanza kukutangaza kwa watu ukiwa na shida
[02:51.27] Wanatamani wapanguwe kila Mola alichopanga
[02:53.52] Wanatangaza amani huku wameficha mapanga
[02:56.13] Unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde
[03:01.13] Kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde
[03:06.28] Unayehukumu ni wewe mwenyezi Mungu naomba unilinde
[03:10.95] Kwenye hii vita milele mwanachoka daima nishinde
[03:33.09]