Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mahaba

๐Ÿ‘ค Alikiba โ€ข ๐ŸŽผ Mahaba โ€ข โฑ๏ธ 3:17
๐ŸŽต 1121 characters
โฑ๏ธ 3:17 duration
๐Ÿ†” ID: 3187169

๐Ÿ“œ Lyrics

(Yo!)
(Yogo on the b-)

Siku hizi hakuna mahaba
Yeah, mahaba
Mapenzi ya mkataba
Mpaka kufa, yamekwisha

Ni neema ukiwa unahema
Mapenzi yanachosha, yanafuja raha
Nafsi yangu inasema
Bora nimpende tu alionizaa

Uchungu wa kulia daily
Mapenzi yalinifanya nisile
Sina kumbukumbu ile
Kwamba ulinikosha, no!

Uchungu wa kulia daily
Mapenzi yalinifanya nisile
Sina kumbukumbu ile
Yakwamba ulinikosha, no!

Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah
Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah

S'kiza kwanza we dada
We dada
Mi' sio mgeni alishanikaba
Mapenzi yalinikausha

Natamani kuwa single
Ila nna-upwilu unakaba koo
Mabinti wenye vifundo
Hao ndio mi' wananitoa roho

Na siri juu ya jambo lile
Ni kama chakula lazima nile
Mi' mbovu sana wa jambo lile
Na ufundi wa kutosha, ooh

Na siri yake tuu jambo lile
Ni kama chakula lazima nile
Mi' mbovu sana wa jambo lile
Na ufundi wa kutosha, ooh

Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah
Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:05.49] (Yo!)
[00:08.67] (Yogo on the b-)
[00:10.45] Siku hizi hakuna mahaba
[00:13.09] Yeah, mahaba
[00:15.99] Mapenzi ya mkataba
[00:18.04] Mpaka kufa, yamekwisha
[00:21.50] Ni neema ukiwa unahema
[00:23.86] Mapenzi yanachosha, yanafuja raha
[00:27.19] Nafsi yangu inasema
[00:29.77] Bora nimpende tu alionizaa
[00:33.20] Uchungu wa kulia daily
[00:35.75] Mapenzi yalinifanya nisile
[00:38.81] Sina kumbukumbu ile
[00:41.31] Kwamba ulinikosha, no!
[00:44.49] Uchungu wa kulia daily
[00:46.92] Mapenzi yalinifanya nisile
[00:50.03] Sina kumbukumbu ile
[00:52.31] Yakwamba ulinikosha, no!
[00:55.44] Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
[01:01.26] Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah
[01:07.31] Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
[01:12.63] Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah
[01:18.78]
[01:40.83] S'kiza kwanza we dada
[01:44.55] We dada
[01:46.32] Mi' sio mgeni alishanikaba
[01:48.46] Mapenzi yalinikausha
[01:51.70] Natamani kuwa single
[01:54.59] Ila nna-upwilu unakaba koo
[01:57.45] Mabinti wenye vifundo
[02:00.08] Hao ndio mi' wananitoa roho
[02:03.50] Na siri juu ya jambo lile
[02:06.15] Ni kama chakula lazima nile
[02:08.94] Mi' mbovu sana wa jambo lile
[02:11.54] Na ufundi wa kutosha, ooh
[02:14.45] Na siri yake tuu jambo lile
[02:17.25] Ni kama chakula lazima nile
[02:20.19] Mi' mbovu sana wa jambo lile
[02:22.74] Na ufundi wa kutosha, ooh
[02:25.91] Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
[02:31.58] Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah
[02:37.52] Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
[02:42.92] Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah
[02:49.74]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings