Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mtaalam

๐Ÿ‘ค Mbosso โ€ข ๐ŸŽผ Definition of Love โ€ข โฑ๏ธ 3:37
๐ŸŽต 1340 characters
โฑ๏ธ 3:37 duration
๐Ÿ†” ID: 3187288

๐Ÿ“œ Lyrics

Na Mbosso Khan tena
(Sounds by Abbah)

Una kila sababu
Ya kusimama kimaso maso
Mungu kweli wa ajabu
Kanionyesha kwa yangu macho

Chukua zangu swahabu
Mi nibaki na dhambi zako
Unishikishe adabu
Mida ya kulala nitokwe jasho

Mi sijui kupigna mwili wangu wa mapensi dear
Tusipende kugombana mi mwepesi kulialia
Si kujibanabana, raha ya penzi kujiachia
Wako mahututi mama, nimekufa nimejifia

Eeeh! Nalambishwa asali
Kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
Nalambishwa asali
Nachezeshwa buzuki, dudu chalichali

Nimempata!
Nimempata mtaalam nimempata
Nimempata mtaalam nimempata
Nimempata mtaalamu nimempata
Nimempata mtaalamu nimempata

Mi mTanzania wa halali, ila chembechembe za India
Mungu kaninyima ufahari, ila kwa huba najisifia
Sitakuhonga magari, ila mahaba utasanzia
Penzi kachumbari kwa ugali na pilipili ya kushagia

Aah eeh! Nikuite nani?
Majina yote nishamaliza
Aah eeh! Wangu wa ubani
Umeweza kunituliza

Aah eeh! Mambo ya chumbani
Yaani nalala huku napulizwa
Aah eeh! Penzi zito tani
Napewa raha kupitiliza

Eeeh! Nalambishwa asali
Kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
Nalambishwa asali
Nachezeshwa buzuki, dudu chalichali

Nimempata! Nimempata mtaalam nimempata
Nimempata! Nimempata mtaalam nimempata
Mtaalamu wa mapenzi
Nimempata mtaalamu nimempata
Fundi wa mafundi kungwi
Nimempata mtaalamu nimempata

(Kwa Mix Lizer)
Wasafi

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.19] Na Mbosso Khan tena
[00:12.82]
[00:17.94] (Sounds by Abbah)
[00:20.01] Una kila sababu
[00:21.81] Ya kusimama kimaso maso
[00:24.39] Mungu kweli wa ajabu
[00:26.51] Kanionyesha kwa yangu macho
[00:29.02] Chukua zangu swahabu
[00:31.20] Mi nibaki na dhambi zako
[00:32.93] Unishikishe adabu
[00:35.96] Mida ya kulala nitokwe jasho
[00:38.41] Mi sijui kupigna mwili wangu wa mapensi dear
[00:40.61]
[00:43.22] Tusipende kugombana mi mwepesi kulialia
[00:45.90]
[00:48.02] Si kujibanabana, raha ya penzi kujiachia
[00:50.31]
[00:53.25] Wako mahututi mama, nimekufa nimejifia
[00:55.42]
[00:57.93] Eeeh! Nalambishwa asali
[01:00.08]
[01:03.06] Kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
[01:05.36]
[01:08.81] Nalambishwa asali
[01:12.89] Nachezeshwa buzuki, dudu chalichali
[01:17.96] Nimempata!
[01:19.09] Nimempata mtaalam nimempata
[01:22.40] Nimempata mtaalam nimempata
[01:26.75] Nimempata mtaalamu nimempata
[01:31.05]
[01:33.14] Nimempata mtaalamu nimempata
[01:37.34]
[01:55.74] Mi mTanzania wa halali, ila chembechembe za India
[01:59.85] Mungu kaninyima ufahari, ila kwa huba najisifia
[02:03.94] Sitakuhonga magari, ila mahaba utasanzia
[02:06.27]
[02:08.69] Penzi kachumbari kwa ugali na pilipili ya kushagia
[02:10.93]
[02:14.55] Aah eeh! Nikuite nani?
[02:16.62] Majina yote nishamaliza
[02:19.17] Aah eeh! Wangu wa ubani
[02:21.53] Umeweza kunituliza
[02:24.12] Aah eeh! Mambo ya chumbani
[02:25.84] Yaani nalala huku napulizwa
[02:28.66] Aah eeh! Penzi zito tani
[02:30.57] Napewa raha kupitiliza
[02:33.49] Eeeh! Nalambishwa asali
[02:39.28] Kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
[02:41.68]
[02:44.62] Nalambishwa asali
[02:48.62] Nachezeshwa buzuki, dudu chalichali
[02:53.78] Nimempata! Nimempata mtaalam nimempata
[02:57.38] Nimempata! Nimempata mtaalam nimempata
[03:00.36]
[03:03.50] Mtaalamu wa mapenzi
[03:04.91] Nimempata mtaalamu nimempata
[03:07.96] Fundi wa mafundi kungwi
[03:10.04] Nimempata mtaalamu nimempata
[03:12.50]
[03:23.17] (Kwa Mix Lizer)
[03:25.65]
[03:32.53] Wasafi
[03:32.85]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings