Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nakutazama

๐Ÿ‘ค Martha Mwaipaja โ€ข ๐ŸŽผ Naiona Kesho โ€ข โฑ๏ธ 7:27
๐ŸŽต 235 characters
โฑ๏ธ 7:27 duration
๐Ÿ†” ID: 3187366

๐Ÿ“œ Lyrics

Nakutazamia eeh Baba wa mbinguni
Nakungojea ktika siku zngu za taabu
Wewe ndiye faraj ya kweli msaada wa ajabu
Nitakungoja kama sio leo kesho na milele
Wewe huchelewi wala huwahi katika
Ahadi zako kwa waja wako
Ee baba sikia ombi langu

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings