Namtaka Yesu
๐ต 2158 characters
โฑ๏ธ 5:38 duration
๐ ID: 3187368
๐ Lyrics
Yahwรฉh!
Nainua macho nitazame pande zote
Nione kama yupo wa kumweleza shida zangu
Naona hakuna wote wamepungukiwa
Hawana furaha, hawana matumaini
Nakumbuka habari za yule mwanamke
Aliyetokwa damu miaka kumi na miwili
Aliposikia kwamba Yesu anapita, aliazimia akasema moyoni mwake
Nitajisogeza mpaka nifike kwa Yesu, nitajisogeza mbele ya umati wa watu
Nitajipenyeza mpaka nifike kwa Yesu, niguse pindo lake ili nipate uzima
Akajisogeza mpaka kafika kwa Yesu, akagusa pindo lake mara akawa mzima, akapona
Nami Bwana ni sawa na yule mwanamke, aliyetokwa damu miaka kumi na miwili
Nimeshasikia habari za matendo yako
Nimeazimia nami Bwana moyoni mwangu, nitahakikisha mpaka nifike kwako Yesu
Niguse pindo lako kansa iniondokee
Niguse pindo lako umasikini ukae mbali nami
Nimechoka kuonewa mimi namtaka Yesu
Nasema sikubali kufa na magonjwa yangu
Nitajisogeza mpaka nifike kwa Yesu, nipone
Kuna watu wengine jamani wananishangaza
Unapowaambia habari za kumwona Yesu
Wanaanza kuuliza eti unatoka wapi
Wananisahangaza na maswali ya ajabu
Unatokea wapi, kanisa lako ni lipi?
Nasema nipisheni, mimi namtaka Yesu
Maswali sitaki, mimi namtaka Yesu
Nimweleze shida zangu ili nipate kupona
Nimweleze shida zangu ili nipate amani
Nisikie furaha nipate kuburudika moyoni
Kwa habari ya dhambi huyu Yesu alishinda
Aliposhuka kuzimu mbona ilinyamaza kimya
Alikanyaga kifo nayo mauti ilimezwa
Akatoka yu hai sasa Yesu yuko mbinguni
Anatawala mbinguni anamiliki duniani
Acheni huyu Yesu jamani aitwe Mungu
Acheni huyu Yesu jamani aitwe Mungu milele
Nimechoka kuonewa mimi namtaka Yesu
Nimechoka kuonewa, mimi namtaka Yesu
Nimweleze shida zangu taabu ziniondokee
Nasema sitaki, mimi namtaka Yesu
Namtaka Yesu nipone (Yule bwana wa mabwana)
Namtaka Yesu nipone (Yesu ni Mungu wa huruma)
Namtaka Yesu nipone (yeye ni baba wa yatima)
Namtaka Yesu nipone (Yesu ni mume wa wajane)
Namtaka Yesu nipone (Nasema fitina sitaki)
Namtaka Yesu nipone (jamani majungu sitaki)
Namtaka Yesu nipone (nasema nimechoka kuonewa)
Namtaka Yesu nipone (aah)
Namtaka Yesu nipone (mimi majungu sitaki)
Namtaka Yesu nipone (marafiki wabaya sitaki, eeh)
Namtaka Yesu nipone (wenye fitina siwataki)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:13.49] Yahwรฉh!
[00:20.24] Nainua macho nitazame pande zote
[00:25.05] Nione kama yupo wa kumweleza shida zangu
[00:29.79] Naona hakuna wote wamepungukiwa
[00:34.60] Hawana furaha, hawana matumaini
[00:39.26] Nakumbuka habari za yule mwanamke
[00:44.15] Aliyetokwa damu miaka kumi na miwili
[00:49.01] Aliposikia kwamba Yesu anapita, aliazimia akasema moyoni mwake
[00:58.54] Nitajisogeza mpaka nifike kwa Yesu, nitajisogeza mbele ya umati wa watu
[01:08.17] Nitajipenyeza mpaka nifike kwa Yesu, niguse pindo lake ili nipate uzima
[01:17.86] Akajisogeza mpaka kafika kwa Yesu, akagusa pindo lake mara akawa mzima, akapona
[01:32.25] Nami Bwana ni sawa na yule mwanamke, aliyetokwa damu miaka kumi na miwili
[01:41.70] Nimeshasikia habari za matendo yako
[01:46.67] Nimeazimia nami Bwana moyoni mwangu, nitahakikisha mpaka nifike kwako Yesu
[01:56.21] Niguse pindo lako kansa iniondokee
[02:00.99] Niguse pindo lako umasikini ukae mbali nami
[02:05.56] Nimechoka kuonewa mimi namtaka Yesu
[02:10.69] Nasema sikubali kufa na magonjwa yangu
[02:15.38] Nitajisogeza mpaka nifike kwa Yesu, nipone
[02:23.57]
[02:34.43] Kuna watu wengine jamani wananishangaza
[02:39.33] Unapowaambia habari za kumwona Yesu
[02:44.17] Wanaanza kuuliza eti unatoka wapi
[02:48.97] Wananisahangaza na maswali ya ajabu
[02:53.74] Unatokea wapi, kanisa lako ni lipi?
[02:58.56] Nasema nipisheni, mimi namtaka Yesu
[03:03.32] Maswali sitaki, mimi namtaka Yesu
[03:07.96] Nimweleze shida zangu ili nipate kupona
[03:12.78] Nimweleze shida zangu ili nipate amani
[03:17.47] Nisikie furaha nipate kuburudika moyoni
[03:25.04]
[03:36.76] Kwa habari ya dhambi huyu Yesu alishinda
[03:41.73] Aliposhuka kuzimu mbona ilinyamaza kimya
[03:46.55] Alikanyaga kifo nayo mauti ilimezwa
[03:51.31] Akatoka yu hai sasa Yesu yuko mbinguni
[03:55.88] Anatawala mbinguni anamiliki duniani
[04:00.74] Acheni huyu Yesu jamani aitwe Mungu
[04:05.70] Acheni huyu Yesu jamani aitwe Mungu milele
[04:15.03] Nimechoka kuonewa mimi namtaka Yesu
[04:19.99] Nimechoka kuonewa, mimi namtaka Yesu
[04:24.61] Nimweleze shida zangu taabu ziniondokee
[04:29.66] Nasema sitaki, mimi namtaka Yesu
[04:36.25] Namtaka Yesu nipone (Yule bwana wa mabwana)
[04:41.07] Namtaka Yesu nipone (Yesu ni Mungu wa huruma)
[04:45.73] Namtaka Yesu nipone (yeye ni baba wa yatima)
[04:50.66] Namtaka Yesu nipone (Yesu ni mume wa wajane)
[04:55.34] Namtaka Yesu nipone (Nasema fitina sitaki)
[05:00.23] Namtaka Yesu nipone (jamani majungu sitaki)
[05:05.05] Namtaka Yesu nipone (nasema nimechoka kuonewa)
[05:09.81] Namtaka Yesu nipone (aah)
[05:14.50] Namtaka Yesu nipone (mimi majungu sitaki)
[05:19.42] Namtaka Yesu nipone (marafiki wabaya sitaki, eeh)
[05:24.22] Namtaka Yesu nipone (wenye fitina siwataki)
[05:29.34]