Naogopa
๐ต 1594 characters
โฑ๏ธ 4:00 duration
๐ ID: 3187373
๐ Lyrics
Mmh hahaha
Ye ye
Mmmh aaah aahhh
Sounds by abbahaaa
Kwetu situnasherehe
Mapenzi, sio makasiriko ah haa
Kwetu ni fuhara tele
Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
Hata kama tukishindia tembele
Ooh! My love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
Ooh! My love
Hata kama tunapanda dala dala
Mi nawe my love
Et chetu chumba kina mavyombo tele
Inahusu?
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda
Umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
Ndo ninaogopa (aah)
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa (yao yao)
Hivi hushangai napendwa
Ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona sipo huru
Napagawaa
Siku sinavyozidi kwenda
Najiona kabisa nitakufuru
Maana naishi ka-kunguru
Kutwa kuzificha mbawaa
Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara nilipe vikoba upatu
Vipi ukija kutamani vya watu
Mimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindao
Wanaonizidi pesa muonekano
Si lazima nikutajie mifano
Niahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanipa mawaza
Nikikupost biashara matangazo
Sintoweza kukuechunga
Mbele za wenye mipunga
Mmh mmmh mmmh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more
Oh wooh wooh wooh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more
Mwenzako ooh
Aah aah aaaah naogopa
Kweli mwenzako naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Baisi kiota changu kiona choyo
Aah aah aaaah naogopa
Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
Aah aah aaaah naogopa
Na na na na hi aah
Konde boy call me number one Bahkresa
Mimwenzako naogopa aah
Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)
Ye ye
Mmmh aaah aahhh
Sounds by abbahaaa
Kwetu situnasherehe
Mapenzi, sio makasiriko ah haa
Kwetu ni fuhara tele
Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
Hata kama tukishindia tembele
Ooh! My love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
Ooh! My love
Hata kama tunapanda dala dala
Mi nawe my love
Et chetu chumba kina mavyombo tele
Inahusu?
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda
Umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
Ndo ninaogopa (aah)
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa (yao yao)
Hivi hushangai napendwa
Ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona sipo huru
Napagawaa
Siku sinavyozidi kwenda
Najiona kabisa nitakufuru
Maana naishi ka-kunguru
Kutwa kuzificha mbawaa
Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara nilipe vikoba upatu
Vipi ukija kutamani vya watu
Mimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindao
Wanaonizidi pesa muonekano
Si lazima nikutajie mifano
Niahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanipa mawaza
Nikikupost biashara matangazo
Sintoweza kukuechunga
Mbele za wenye mipunga
Mmh mmmh mmmh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more
Oh wooh wooh wooh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more
Mwenzako ooh
Aah aah aaaah naogopa
Kweli mwenzako naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Baisi kiota changu kiona choyo
Aah aah aaaah naogopa
Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
Aah aah aaaah naogopa
Na na na na hi aah
Konde boy call me number one Bahkresa
Mimwenzako naogopa aah
Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:08.52] Mmh hahaha
[00:11.12] Ye ye
[00:13.48] Mmmh aaah aahhh
[00:18.39] Sounds by abbahaaa
[00:21.91] Kwetu situnasherehe
[00:24.11] Mapenzi, sio makasiriko ah haa
[00:31.77] Kwetu ni fuhara tele
[00:34.54] Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
[00:41.97] Hata kama tukishindia tembele
[00:45.73] Ooh! My love
[00:48.06] Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
[00:50.95] Ooh! My love
[00:52.79] Hata kama tunapanda dala dala
[00:56.38] Mi nawe my love
[00:58.16] Et chetu chumba kina mavyombo tele
[01:01.38] Inahusu?
[01:03.06] Wala sidhani kama hunipendi
[01:08.03] Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
[01:13.31] Mwenzako najua kamaa unanipenda
[01:17.46] Umeniweka moyoni
[01:18.55] Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
[01:22.09] Ndo ninaogopa (aah)
[01:25.55] Aah aah aaaah naogopa
[01:29.70] Aah aah aaaah naogopa
[01:35.22] Aah aah aaaah naogopa
[01:40.28] Aah aah aaaah naogopa (yao yao)
[01:46.00]
[01:54.53] Hivi hushangai napendwa
[01:57.89] Ila sura bado inakosa nuru
[02:00.75] Yani najiona sipo huru
[02:03.64] Napagawaa
[02:05.57] Siku sinavyozidi kwenda
[02:08.17] Najiona kabisa nitakufuru
[02:10.85] Maana naishi ka-kunguru
[02:13.27] Kutwa kuzificha mbawaa
[02:15.47] Ridhiki yangu a papatu papatu
[02:18.66] Mara nilipe vikoba upatu
[02:21.36] Vipi ukija kutamani vya watu
[02:23.62] Mimi si utaniacha
[02:26.69] Ukiachilia mbali mashindao
[02:29.24] Wanaonizidi pesa muonekano
[02:32.06] Si lazima nikutajie mifano
[02:34.64] Niahidi kama utayaweza mapambano
[02:37.29] Icho ndo kinanipa mawaza
[02:39.34] Nikikupost biashara matangazo
[02:41.22] Sintoweza kukuechunga
[02:44.04] Mbele za wenye mipunga
[02:46.61] Mmh mmmh mmmh baby (Abee)
[02:50.09] What can I do?
[02:51.87] Baby, I no go let you go
[02:55.43] And I want you more
[02:57.14] Oh wooh wooh wooh baby (Abee)
[03:00.42] What can I do?
[03:02.51] Baby, I no go let you go
[03:05.29] And I want you more
[03:07.52] Mwenzako ooh
[03:10.13] Aah aah aaaah naogopa
[03:12.77] Kweli mwenzako naogopa
[03:15.05] Aah aah aaaah naogopa
[03:18.03] Baisi kiota changu kiona choyo
[03:20.93] Aah aah aaaah naogopa
[03:21.48] Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
[03:25.59] Aah aah aaaah naogopa
[03:28.11] Na na na na hi aah
[03:34.44] Konde boy call me number one Bahkresa
[03:39.66] Mimwenzako naogopa aah
[03:42.47] Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)
[03:50.06]
[00:11.12] Ye ye
[00:13.48] Mmmh aaah aahhh
[00:18.39] Sounds by abbahaaa
[00:21.91] Kwetu situnasherehe
[00:24.11] Mapenzi, sio makasiriko ah haa
[00:31.77] Kwetu ni fuhara tele
[00:34.54] Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
[00:41.97] Hata kama tukishindia tembele
[00:45.73] Ooh! My love
[00:48.06] Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
[00:50.95] Ooh! My love
[00:52.79] Hata kama tunapanda dala dala
[00:56.38] Mi nawe my love
[00:58.16] Et chetu chumba kina mavyombo tele
[01:01.38] Inahusu?
[01:03.06] Wala sidhani kama hunipendi
[01:08.03] Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
[01:13.31] Mwenzako najua kamaa unanipenda
[01:17.46] Umeniweka moyoni
[01:18.55] Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
[01:22.09] Ndo ninaogopa (aah)
[01:25.55] Aah aah aaaah naogopa
[01:29.70] Aah aah aaaah naogopa
[01:35.22] Aah aah aaaah naogopa
[01:40.28] Aah aah aaaah naogopa (yao yao)
[01:46.00]
[01:54.53] Hivi hushangai napendwa
[01:57.89] Ila sura bado inakosa nuru
[02:00.75] Yani najiona sipo huru
[02:03.64] Napagawaa
[02:05.57] Siku sinavyozidi kwenda
[02:08.17] Najiona kabisa nitakufuru
[02:10.85] Maana naishi ka-kunguru
[02:13.27] Kutwa kuzificha mbawaa
[02:15.47] Ridhiki yangu a papatu papatu
[02:18.66] Mara nilipe vikoba upatu
[02:21.36] Vipi ukija kutamani vya watu
[02:23.62] Mimi si utaniacha
[02:26.69] Ukiachilia mbali mashindao
[02:29.24] Wanaonizidi pesa muonekano
[02:32.06] Si lazima nikutajie mifano
[02:34.64] Niahidi kama utayaweza mapambano
[02:37.29] Icho ndo kinanipa mawaza
[02:39.34] Nikikupost biashara matangazo
[02:41.22] Sintoweza kukuechunga
[02:44.04] Mbele za wenye mipunga
[02:46.61] Mmh mmmh mmmh baby (Abee)
[02:50.09] What can I do?
[02:51.87] Baby, I no go let you go
[02:55.43] And I want you more
[02:57.14] Oh wooh wooh wooh baby (Abee)
[03:00.42] What can I do?
[03:02.51] Baby, I no go let you go
[03:05.29] And I want you more
[03:07.52] Mwenzako ooh
[03:10.13] Aah aah aaaah naogopa
[03:12.77] Kweli mwenzako naogopa
[03:15.05] Aah aah aaaah naogopa
[03:18.03] Baisi kiota changu kiona choyo
[03:20.93] Aah aah aaaah naogopa
[03:21.48] Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
[03:25.59] Aah aah aaaah naogopa
[03:28.11] Na na na na hi aah
[03:34.44] Konde boy call me number one Bahkresa
[03:39.66] Mimwenzako naogopa aah
[03:42.47] Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)
[03:50.06]