Napendwa Na Baba
๐ต 203 characters
โฑ๏ธ 6:27 duration
๐ ID: 3187376
๐ Lyrics
Napendwa na baba ananipenda
Mimi ijapopitia shida dhiki
Hunifariji na kuniliwaza baba
Ndiye mfariji wa wale waliopondeka
Moyo nakufadhaika na kuchoka
Yeye ndiye bwana wa majeshi
Yeye ndiye mkuuu wa vyote
Mimi ijapopitia shida dhiki
Hunifariji na kuniliwaza baba
Ndiye mfariji wa wale waliopondeka
Moyo nakufadhaika na kuchoka
Yeye ndiye bwana wa majeshi
Yeye ndiye mkuuu wa vyote