Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Ni Wetu

๐Ÿ‘ค Maandy โ€ข ๐ŸŽผ Flavour โ€ข โฑ๏ธ 3:02
๐ŸŽต 1313 characters
โฑ๏ธ 3:02 duration
๐Ÿ†” ID: 3187420

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmmh aah kabaya
(Ricco Beats Mr 808)

Unadhani ni wako sio wako
Ala! Unajam na mambo bado
Naiseti fiti anaihandle
Tukimaliza arudi kwako

Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu

Jaber, kairetu kwa Mpasho, Jicho pevu
Ulisorora simu ndo ujam tu
Na ukizubaa atapanda mbegu
Aliacha slay ju ya Kienyeji
Amberay hii kitu ni ya wengi
Yako ni ugali anataka keki
Wacha kujistress hakuna mapenzi

Hukuwai ambiwa plenty fish in the sea
Hii game ni ya wanjanja we cheza left wing
Thru'pass hadi mtu hungewaidhani
Ogopa mwenye atapea hadi wochi

Unadhani ni wako sio wako
Ala unajam na mambo bado
Naiseti fiti anaihandle
Tukimaliza arudi kwako

Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu

(Okwonko)
Ni wako akiwa kwako
Akitoka nje ni wetu
Nikuuulize ndio akuje kwako
Alikuwa wapi si alikuwa kwetu

Buda boss acha kubonda
Mimi na wewe ni shareholders
Asanti ulimbyia nguo
Alikuja ameing'ara

Nilimnyandua na hio nguo
Ile nguo ulimnunulia
Najua inauma isitoshe yaani
Kanairo sharing is caring

Kama umecatch we move on
Me am the shoulder to lean on
Ukifanya alie anakuja kwangu
Nambembeleza tunaenda kwangu

Unadhani ni wako sio wako
Ala unajam na mambo bado
Naiseti fiti anaihandle
Tukimaliza arudi kwako

Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings