Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nibebe

๐Ÿ‘ค Kusah โ€ข ๐ŸŽผ Nibebe โ€ข โฑ๏ธ 3:16
๐ŸŽต 1609 characters
โฑ๏ธ 3:16 duration
๐Ÿ†” ID: 3187426

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmm ooh yea
Ooh lalala ooh yea
Mmm mmm (Mafia)
Labda mbingu na dunia vije vishikane
Wabadili mchana uwe usiku wa manane
Wakitaka tuachane
Watupige mapanga baby tufe tuzikane
Si unajua nakujua sasa walimwengu mimi wataniambia nini
Na wakitaka kukwambia waambie baby wewe ndo unanijua mimi
Na vile vipengele si ungehama
Ningeingia maji ningezama
Walikuvua nguo ukachutama
Ukasema uniachi ukang'ang'ana na mimi
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali
Ooh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali
Ooh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Ooh lala
Basi nibebe nibebe (Unibebe)
Nibebe nibebe (Aah nimechoka)
Basi nibebe nibebe (Mmm)
Nibebe nibebe
Unibebe nibebe nibebe
Kwa kila hali nibebe
Wambea hawaishi maneno nibebe (Ooooh)
Nibebe nibebe tuende mbali
Namwaza
Nikutunukie tuzo
Tumeshinda vikwazo
Tangu mwanzo
Si rahisi mammy love kuishi na yao maneno
Wanatamani nikudharau
Niseme nimepanda dau
Kisa nikusahau wewe
Wangemiliki mbuga
Wangeshatufukuza
Kama wanyama mie wee
Tule mihogo tule dagaa
Ugali wa kuchoma na vinguru kaa
Tuishi vile tunavyotaka
Binadamu hatuwezi kuwaridhisha
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali oh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali oh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Ooh lala
Basi nibebe nibebe (Unibebe)
Nibebe nibebe (Aah nimechoka)
Basi nibebe nibebe (Mmm)
Nibebe nibebe (Nibe nibebe)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.71] Mmm ooh yea
[00:03.99] Ooh lalala ooh yea
[00:06.13] Mmm mmm (Mafia)
[00:11.62] Labda mbingu na dunia vije vishikane
[00:14.67] Wabadili mchana uwe usiku wa manane
[00:18.32] Wakitaka tuachane
[00:20.03] Watupige mapanga baby tufe tuzikane
[00:23.94] Si unajua nakujua sasa walimwengu mimi wataniambia nini
[00:29.33] Na wakitaka kukwambia waambie baby wewe ndo unanijua mimi
[00:34.29] Na vile vipengele si ungehama
[00:36.89] Ningeingia maji ningezama
[00:39.59] Walikuvua nguo ukachutama
[00:42.36] Ukasema uniachi ukang'ang'ana na mimi
[00:45.96] Penzi ni kama kamari
[00:47.93] Tucheze hakuna dosari
[00:49.14] Tena hakuna kujali
[00:50.84] Ooh nana
[00:51.92] Tena lipigwe zumari
[00:53.37] Wapambe wakae mbali
[00:54.78] Tucheze tujivinjari ooh
[00:57.40] Penzi ni kama kamari
[00:59.24] Tucheze hakuna dosari
[01:00.40] Tena hakuna kujali
[01:02.17] Ooh nana
[01:03.36] Tena lipigwe zumari
[01:04.77] Wapambe wakae mbali
[01:06.27] Tucheze tujivinjari ooh
[01:07.94] Ooh lala
[01:08.90] Basi nibebe nibebe (Unibebe)
[01:11.03] Nibebe nibebe (Aah nimechoka)
[01:14.10] Basi nibebe nibebe (Mmm)
[01:17.02] Nibebe nibebe
[01:19.23] Unibebe nibebe nibebe
[01:21.64] Kwa kila hali nibebe
[01:24.84] Wambea hawaishi maneno nibebe (Ooooh)
[01:27.81] Nibebe nibebe tuende mbali
[01:30.46] Namwaza
[01:31.88] Nikutunukie tuzo
[01:33.56] Tumeshinda vikwazo
[01:35.09] Tangu mwanzo
[01:37.07] Si rahisi mammy love kuishi na yao maneno
[01:42.15] Wanatamani nikudharau
[01:44.68] Niseme nimepanda dau
[01:46.04] Kisa nikusahau wewe
[01:48.12] Wangemiliki mbuga
[01:50.22] Wangeshatufukuza
[01:51.88] Kama wanyama mie wee
[01:54.17] Tule mihogo tule dagaa
[01:56.14] Ugali wa kuchoma na vinguru kaa
[01:58.76] Tuishi vile tunavyotaka
[02:01.55] Binadamu hatuwezi kuwaridhisha
[02:04.94] Penzi ni kama kamari
[02:06.90] Tucheze hakuna dosari
[02:08.47] Tena hakuna kujali oh nana
[02:11.01] Tena lipigwe zumari
[02:12.87] Wapambe wakae mbali
[02:14.03] Tucheze tujivinjari ooh
[02:16.88] Penzi ni kama kamari
[02:18.11] Tucheze hakuna dosari
[02:19.64] Tena hakuna kujali oh nana
[02:22.32] Tena lipigwe zumari
[02:23.91] Wapambe wakae mbali
[02:25.26] Tucheze tujivinjari ooh
[02:27.26] Ooh lala
[02:28.05] Basi nibebe nibebe (Unibebe)
[02:30.31] Nibebe nibebe (Aah nimechoka)
[02:33.27] Basi nibebe nibebe (Mmm)
[02:36.02] Nibebe nibebe (Nibe nibebe)
[02:39.69]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings