Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nitaubeba

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Nitaubeba โ€ข โฑ๏ธ 4:11
๐ŸŽต 1584 characters
โฑ๏ธ 4:11 duration
๐Ÿ†” ID: 3187462

๐Ÿ“œ Lyrics

Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
And thats why today
To me yote tisa ila kumi
Umeonesha maana ya upendo
Si kwa maneno bali kwa vitendo
Umeridhika na nilichonacho
Vya watu hutoleagi macho
Siku nikiwa sina twalala
Oooh baby twalala
Aaaah baby if I close my eyes
Mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo
Pacha wangu mie

Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
Na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling
Na ntafika nao kiume

Imagine hujifahamu
Umezimia umewekewa damu zinaingia
Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
Mara dakitari wa zamu
Akaingia umepata fahamu unamwangalia
Machozi yanakuanguka unatamani funguka
And that's why today to me
Yote tisa ila kumi unanifurahisha
Kwenye tendo
Au unipe penzi la magendo
Aaaah baby if I close my eyes
Mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo pacha wangu mie

Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
Na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling
Na ntafika nao kiume

Iwe kwenye shida na raha
Ama kwenye shibe na njaa
La kwako ndo langu my darling

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:21.19] Imagine uko jangwani umepotea
[00:24.45] Mchana juani unatembea
[00:26.76] Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
[00:31.71] Mara ngamia mbebaji akatokea
[00:34.68] Na kukushusha mzigo uliokuelemea
[00:37.57] Upate afadhali pole na safari
[00:41.09] And thats why today
[00:43.31] To me yote tisa ila kumi
[00:46.10] Umeonesha maana ya upendo
[00:49.02] Si kwa maneno bali kwa vitendo
[00:51.69] Umeridhika na nilichonacho
[00:54.46] Vya watu hutoleagi macho
[00:57.02] Siku nikiwa sina twalala
[01:00.63] Oooh baby twalala
[01:02.75] Aaaah baby if I close my eyes
[01:06.20] Mi namuomba Mungu akulinde
[01:08.81] Na akusimamie we ndo
[01:11.95] Pacha wangu mie
[01:14.60] Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
[01:17.44] Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
[01:19.92] Niko busy na boo jamani nimeshasema
[01:22.47] Niko busy na baby na msalaba wake
[01:25.01] Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
[01:33.03] Na ntafika nao kiume
[01:35.72] Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
[01:38.93] Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
[01:42.11] La kwako ndo langu my darling
[01:44.14] Na ntafika nao kiume
[01:48.20]
[02:08.08] Imagine hujifahamu
[02:09.71] Umezimia umewekewa damu zinaingia
[02:13.58] Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
[02:18.68] Mara dakitari wa zamu
[02:20.55] Akaingia umepata fahamu unamwangalia
[02:24.15] Machozi yanakuanguka unatamani funguka
[02:28.29] And that's why today to me
[02:30.74] Yote tisa ila kumi unanifurahisha
[02:34.31] Kwenye tendo
[02:36.00] Au unipe penzi la magendo
[02:38.85] Aaaah baby if I close my eyes
[02:42.42] Mi namuomba Mungu akulinde
[02:45.02] Na akusimamie we ndo pacha wangu mie
[02:50.24] Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
[02:52.98] Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
[02:55.44] Niko busy na boo jamani nimeshasema
[02:58.28] Niko busy na baby na msalaba wake
[03:00.64] Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
[03:08.64] Na ntafika nao kiume
[03:11.69] Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
[03:14.09] Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
[03:18.15] La kwako ndo langu my darling
[03:20.24] Na ntafika nao kiume
[03:23.16]
[03:26.51] Iwe kwenye shida na raha
[03:28.03] Ama kwenye shibe na njaa
[03:29.26] La kwako ndo langu my darling
[03:29.72]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings