Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Pi Pii

๐Ÿ‘ค Marlaw โ€ข ๐ŸŽผ Sungura Na Fisi โ€ข โฑ๏ธ 4:15
๐ŸŽต 2450 characters
โฑ๏ธ 4:15 duration
๐Ÿ†” ID: 3187577

๐Ÿ“œ Lyrics

Ahaa, hey hey
Ahaa, hey hey

Ninataka niwahi kufika,
Njia ina jam sasa wapi ntapita,
Nimekaa karibia saa sita,
Sasa kukaa nimechoka, oh baby,
Sijamuona long time na,
Ndo narudi toka mwezi jana
Nimeshamwambia mama
Nimefika tangu mchana
Anajua nmeshafika, ameshapika, amekasirika
Alipika tangu mchana,
Ila sasa lunch imegeuka dinner,

Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby,
Natamani niwe nyumbani,
Nimekwama hapa njiani,
Kuna jam baby.
Ahaa, kuna jam baby
Ahaa, hallo
Ahaa, hallo
Ahaa, hallo

Unanikatia simu unanionea,
We ungekuwepo ungejionea,
Unafanya hivo, unakosea mama.
Unanikatia simu unanionea,
We ungekuwepo ungejionea,
Unafanya hivo, unakosea mama.
Nakuomba mpenzi ungojee,
Ni njiani, naja, niombee,
Nimechoka na kuja too late,
Huruma nionee.
Nakuomba mpenzi ungojee,
Ni njiani, naja, niombee,
Nimechoka na kuja too late,
Huruma nionee.

Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...
(Hatuelewani)
Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...
(Hatuelewani)

Nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)

Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby,
Natamani niwe nyumbani, (eh, eh)
Nimekwama hapa njiani,
Kuna jam baby.
Ahaa, I love you so much,
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you mama

Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...
(Hatuelewani)
Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...

(Hatuelewani)
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby
Natamani niwe nyumbani,
Nimekwama hapa njiani
Kuna jam baby.
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby,
Natamani niwe nyumbani,
Nimekwama hapa njiani,
Kuna jam baby.
I love you so much
I love you mama
I love you mama
I love you mama

I love you so much
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ahaa, I love you so much
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you so much
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.12] Ahaa, hey hey
[00:08.84] Ahaa, hey hey
[00:11.19] Ninataka niwahi kufika,
[00:12.49] Njia ina jam sasa wapi ntapita,
[00:14.28] Nimekaa karibia saa sita,
[00:16.36] Sasa kukaa nimechoka, oh baby,
[00:19.11] Sijamuona long time na,
[00:21.43] Ndo narudi toka mwezi jana
[00:23.54] Nimeshamwambia mama
[00:25.96] Nimefika tangu mchana
[00:28.09] Anajua nmeshafika, ameshapika, amekasirika
[00:31.78] Alipika tangu mchana,
[00:34.30] Ila sasa lunch imegeuka dinner,
[00:36.80] Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
[00:41.26] Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
[00:45.74] Pii pii; move out the way,
[00:48.39] Nimechoka kupoteza time,
[00:50.79] Nina siku nyingi kwenda home,
[00:52.83] I am missing ma baby.
[00:54.91] Pii pii; hallo baby,
[00:57.36] Natamani niwe nyumbani,
[01:00.10] Nimekwama hapa njiani,
[01:02.38] Kuna jam baby.
[01:03.99] Ahaa, kuna jam baby
[01:06.34] Ahaa, hallo
[01:09.21] Ahaa, hallo
[01:11.32] Ahaa, hallo
[01:13.30] Unanikatia simu unanionea,
[01:15.31] We ungekuwepo ungejionea,
[01:17.42] Unafanya hivo, unakosea mama.
[01:21.30] Unanikatia simu unanionea,
[01:24.33] We ungekuwepo ungejionea,
[01:27.76] Unafanya hivo, unakosea mama.
[01:30.31] Nakuomba mpenzi ungojee,
[01:33.23] Ni njiani, naja, niombee,
[01:35.13] Nimechoka na kuja too late,
[01:37.45] Huruma nionee.
[01:39.82] Nakuomba mpenzi ungojee,
[01:42.06] Ni njiani, naja, niombee,
[01:44.01] Nimechoka na kuja too late,
[01:46.79] Huruma nionee.
[01:48.86] Nimechoka kungoja highway,
[01:50.79] Nitapita kokote mradi we,
[01:53.09] Ili kama ni kesi na iwe...
[01:56.25] (Hatuelewani)
[01:59.45] Nimechoka kungoja highway,
[02:01.84] Nitapita kokote mradi we,
[02:03.55] Ili kama ni kesi na iwe...
[02:05.05] (Hatuelewani)
[02:06.88] Nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
[02:11.04] Nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
[02:15.22] Pii pii; move out the way,
[02:18.17] Nimechoka kupoteza time,
[02:20.52] Nina siku nyingi kwenda home,
[02:22.62] I am missing ma baby.
[02:24.44] Pii pii; hallo baby,
[02:27.67] Natamani niwe nyumbani, (eh, eh)
[02:29.87] Nimekwama hapa njiani,
[02:32.99] Kuna jam baby.
[02:33.78] Ahaa, I love you so much,
[02:36.33] Ahaa, I love you mama
[02:38.43] Ahaa, I love you mama
[02:40.59] Nimechoka kungoja highway,
[02:44.89] Nitapita kokote mradi we,
[02:47.20] Ili kama ni kesi na iwe...
[02:49.00] (Hatuelewani)
[02:51.66] Nimechoka kungoja highway,
[02:53.53] Nitapita kokote mradi we,
[02:56.46] Ili kama ni kesi na iwe...
[03:01.62] (Hatuelewani)
[03:02.26] Pii pii; move out the way,
[03:02.85] Nimechoka kupoteza time,
[03:05.18] Nina siku nyingi kwenda home,
[03:09.47] I am missing ma baby.
[03:09.66] Pii pii; hallo baby
[03:11.57] Natamani niwe nyumbani,
[03:14.46] Nimekwama hapa njiani
[03:16.82] Kuna jam baby.
[03:19.62] Pii pii; move out the way,
[03:22.16] Nimechoka kupoteza time,
[03:23.64] Nina siku nyingi kwenda home,
[03:25.78] I am missing ma baby.
[03:27.35] Pii pii; hallo baby,
[03:30.30] Natamani niwe nyumbani,
[03:38.23] Nimekwama hapa njiani,
[03:38.68] Kuna jam baby.
[03:38.93] I love you so much
[03:40.09] I love you mama
[03:41.96] I love you mama
[03:44.03] I love you mama
[03:44.48] I love you so much
[03:48.47] Ma baby
[03:49.45] Ma baby
[03:50.57] Ma baby
[03:51.56] Ma baby
[03:52.65] Ma baby
[03:53.96] Ma baby
[03:54.72] Ahaa, I love you so much
[03:57.20] Ahaa, I love you mama
[03:59.14] Ahaa, I love you mama
[04:02.15] Ahaa, I love you mama
[04:05.05] Ahaa, I love you so much
[04:06.08] Ma baby
[04:07.13] Ma baby
[04:08.52] Ma baby
[04:09.25] Ma baby
[04:10.51] Ma baby
[04:11.69] Ma baby
[04:13.47]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings