Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Shujaa Wa Msalaba

๐Ÿ‘ค Rose Muhando โ€ข ๐ŸŽผ Tazama Mungu Anacheka โ€ข โฑ๏ธ 5:56
๐ŸŽต 1457 characters
โฑ๏ธ 5:56 duration
๐Ÿ†” ID: 3187773

๐Ÿ“œ Lyrics

Nainua macho yangu
Nitazame mbinguni
Moyo Wangu unasema niwe Mungu wangu
Kilindi cha moyo Wangu kimefurika neno lako
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Kwenye kiti cha rehema, kumejawa utukufu wako
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Kileleni pa msalaba, kumeandikwa jina lako
Simba wa wayahudi ndiwe Mungu waangu

Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

Wingu la uwepo wako, limeshuka kwa watu wako
Utukufu una wewe ewe Mungu wangu
Nguvu zilizo shinda kaburi
Zionekane kwa watu wako.
Nani kama wewe ewe Mungu wangu
Makovu na misumari yatangaza utukufu wako Baba
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Taji ya miba na misumari
Yatangaza uwezo wako
Mfalme wa wafalme ndiwe Mungu wangu

Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

Siku ya msiba wangu
Nitalitaja jina lako
Bwana wa Mabwana ndiwe Mungu wangu
Sitanyamaza mchana sitakaa kimya usiku
Wacha nikusifu ewe Mungu wangu
Nguvu na uweza wako ziko mikononi mwako
Nani kama wewe ewe Mungu wangu
Ulipewa jina jipya lipitalo majina yote
Bwana wa mabwana ewe Mungu wangu

Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:13.41] Nainua macho yangu
[00:53.55] Nitazame mbinguni
[00:57.32] Moyo Wangu unasema niwe Mungu wangu
[01:02.77] Kilindi cha moyo Wangu kimefurika neno lako
[01:09.12] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[01:15.23] Kwenye kiti cha rehema, kumejawa utukufu wako
[01:21.53] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[01:28.43] Kileleni pa msalaba, kumeandikwa jina lako
[01:34.72] Simba wa wayahudi ndiwe Mungu waangu
[01:40.35] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.
[01:46.48] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[01:52.41] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.
[01:58.89] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[02:05.88] Wingu la uwepo wako, limeshuka kwa watu wako
[02:24.25] Utukufu una wewe ewe Mungu wangu
[02:30.34] Nguvu zilizo shinda kaburi
[02:33.40] Zionekane kwa watu wako.
[02:37.05] Nani kama wewe ewe Mungu wangu
[02:43.12] Makovu na misumari yatangaza utukufu wako Baba
[02:49.29] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[02:54.76] Taji ya miba na misumari
[02:58.23] Yatangaza uwezo wako
[03:01.32] Mfalme wa wafalme ndiwe Mungu wangu
[03:07.64] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
[03:14.48] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[03:19.84] Siku ya msiba wangu
[03:48.49] Nitalitaja jina lako
[03:51.04] Bwana wa Mabwana ndiwe Mungu wangu
[03:57.75] Sitanyamaza mchana sitakaa kimya usiku
[04:04.29] Wacha nikusifu ewe Mungu wangu
[04:09.90] Nguvu na uweza wako ziko mikononi mwako
[04:16.16] Nani kama wewe ewe Mungu wangu
[04:22.95] Ulipewa jina jipya lipitalo majina yote
[04:28.41] Bwana wa mabwana ewe Mungu wangu
[04:35.04] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
[04:46.56] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[04:48.15] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
[04:53.85] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[05:00.20] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
[05:05.97] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[05:13.01] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
[05:18.79] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[05:25.26] Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
[05:31.79] Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
[05:49.27]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings