Siwezi
๐ต 1128 characters
โฑ๏ธ 3:05 duration
๐ ID: 3187801
๐ Lyrics
Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
Kumbe kuachwa inaumaga ivii
Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
Kumbe kuachwa ina umaga ivii
Umeniumbua bora niseme
Kiapo nilicho kula bora nikiteme
Mapenzi shikamo sirudii tena
Umepatwa na nini si useme
Kinachokufanya we uniteme
Mapenzi shikamo sirudiii tena
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
Siwezi, siweziii (nakumbuka uliniambia)
Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
Unanifanya mi nalewa sana
Haipiti siku bila kugombana
Mapenzi yako ya kibabe sana
Malumbano ya mapenzi siyawezi
Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana
Mapenzi gani haya kutesana
Wasi wasi wa mapenzi
Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:11.61] Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
[00:17.24] Kumbe kuachwa inaumaga ivii
[00:22.52] Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
[00:28.31] Kumbe kuachwa ina umaga ivii
[00:33.86] Umeniumbua bora niseme
[00:36.96] Kiapo nilicho kula bora nikiteme
[00:39.55] Mapenzi shikamo sirudii tena
[00:45.21] Umepatwa na nini si useme
[00:48.37] Kinachokufanya we uniteme
[00:50.92] Mapenzi shikamo sirudiii tena
[00:56.09] Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
[01:02.33] Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[01:07.72] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[01:13.67] Siwezi, siweziii (nakumbuka uliniambia)
[01:18.49] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[01:25.10] Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[01:30.94]
[01:41.51] Unanifanya mi nalewa sana
[01:44.62] Haipiti siku bila kugombana
[01:47.42] Mapenzi yako ya kibabe sana
[01:50.10] Malumbano ya mapenzi siyawezi
[01:53.09] Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana
[01:58.76] Mapenzi gani haya kutesana
[02:01.36] Wasi wasi wa mapenzi
[02:03.14] Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
[02:08.81] Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi
[02:14.87] Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
[02:21.31] Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[02:26.62] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[02:32.85] Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[02:38.15] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[02:44.11] Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[02:49.95]