Ulimwengu Wa Leo
๐ต 385 characters
โฑ๏ธ 3:29 duration
๐ ID: 3188089
๐ Lyrics
Mother alinifunza jinsi ya kusimama kukaa chonjo/
I used to get beaten nikikataa kuosha vyombo/
But later then I know that hizi ndo zinanijenga vitu mob zilifanyika some of them I can't remember/wale unaofikiri ni marafiki ndo watakuja kukusaliti/watafurahi ukiteseka ukiwaita hawaitiki but then again nadhani hizi ndo tabia za binadam watakutenga ukiwa umesoya na wajifanye hwakufaham