Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Under 18

๐Ÿ‘ค JIMWAT EDUTAINMENT โ€ข ๐ŸŽผ Under 18 โ€ข โฑ๏ธ 4:41
๐ŸŽต 2625 characters
โฑ๏ธ 4:41 duration
๐Ÿ†” ID: 3188099

๐Ÿ“œ Lyrics

Kapuka-puka
Naskia tu ikinuka-nuka
Vitamu
Inanipa hamu
Ya kutirika, leo mambo kufurahi hakuna kujamu
Life ni stressing sikatai
Lakini ni Blessing kuwa hai
Ndio maana kila furahi day hio hunibidi nafurahi
Saa hii siku mi nishaingia klabu
Pesa hazitoshei mfuko ziko kwa kikapu
Dame ashawika, "hi there supuu"
Haiya hii ni ile klabu ya ajabu?
Nahanywa, acha nikuonyeshe venye hao hufanywa
Reverse-psychology, mwambie kitu haezi fanywa
Si unani-like?
Na mi naku-like?
So tuna? like-iana
Si una psyche?
Na mi nina psyche?
So, tunaeza anza "?
Ashararuka, ashaanza kucheka
Kiswahili narusha hata na kamba haezi ruka
Kabla hajaamka, hajaanza kuenda
Nishamwagizia smirnoff ice na sambuca
Eh, kumbe ni under 18?
Saa mi ningejuaje?
Eh, kumbe ni under 18?
Vyenye anapewa maji
Eh, kumbe ni under 18?
Sijui itakuwaje
Eh, kumbe ni under 18?
Nitambiaje jaji
Waiter hulete chupa tatu for me, myself and i
Juu kawaida mi huwaga pekee yangu
Sinanga wife
Lakini today, ni kunasty
Nina shorty, nina manzi
Wale hunikataanga leo wanaskia ouch
Juu huu ana mahaga zina-fit kwa couch
Vizuri sana, yaani, ni mzuri sana
Saa nishamwuliza, "ushamaliza skuli bana?"
"Niko third year University of Nairobi"
Huyu " itakuwanga hobby
Akaniskiza twende walk-in-the-park
Nikamshika tuna talk-in-the-dark
Ma body-language a.k.a bubu-talk
Hapo jeevanjee gardens, tushastukia ma-cop
"Wapi ID msichana, pia wee nyang'au?"
Mi kutoa yangu, ye anawika amesahau
Eh, kumbe ni under 18?
Saa mi ningejuaje?
Eh, kumbe ni under 18?
Vyenye anapewa maji
Eh, kumbe ni under 18?
Sijui itakuwaje
Eh, kumbe ni under 18?
Nitambiaje jaji
Kabla story sijatell, nilijipata kwa cell
Wameacha shorty heaven, wakanipeleka hell
Eti hii kijana mang'aa, inanunulia mtoto chang'aa
Eh eh ei, Kumbe ni under 18?
Officer aki hakuniambia
Wakanivunja viboko 18
Kisha wakaniachilia
Kufika kwa gate ndio huyu dame amejikunja
Wewe ile vita ntakuvunja
Akaniambia badala ya kumpiga makumbo
Twende home kwao nikampige "
Nikacheka tu
Nikaweka tu
Kwa kitanda hadi saa saba " tu
Kucjiekelea ili nilale kidogo
Naskia, "stranger unafanya nini na mtoto?"

Eh, kumbe ni under 18?
Saa mi ningejuaje?
Eh, kumbe ni under 18?
Vyenye anapewa maji
Eh, kumbe ni under 18?
Sijui itakuwaje
Eh, kumbe ni under 18?
Nitambiaje jaji
Ei maze, maze, ata akuwe msawa aje
Hata akuwe " aje
Under 18 kizee
Tafash jo, tafash
Lakini kuna wale huwa wame-stand
Wako hapa ndani ya club
Mikono juu ya hewa ni ka umepewa
Onyesha hawa watu unaelewa
Mikono juu ya hewa ata ka umepewa
Onyesha hawa watu unaelewa
Kumbe ma-under 18
Wanaeza chizisha mdhii jo
Clemo jo
Clemo jo
Hii beat inanibamba
Hii beat inanibamba
Ipump kidogo
Ipump kidogo

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings